NA KASSIM ADINASI WAKAZI zaidi ya 10,000 wa Ramula katika Kaunti ya Siaya wana wasiwasi baada ya kuibuka fununu kwamba huenda wakahamishwa kupisha nafasi kwa uchimbaji wa dhahabu iliyogunduliwa katika eneo hilo. Inadaiwa kwamba mwekezaji, maafisa kutoka kwa Wizara ya Utalii na viongozi wengine wa eneo hilo wamepanga kuwahamisha wakazi hao na kugeuza eneo hilo […]