NA KALUME KAZUNGU TAKRIBAN saa 36 za kupotea kwa stima kuliwageuza wavuvi wa Lamu kuwa wachuuzi wa matikitimaji na vitumbua kukimu mahitaji ya familia zao. Jumatano na Alhamisi, kaunti ya Lamu iliachwa gizani pale umeme ulipopotea ghafla, hali iliyopelekea wavuvi, wafanyabiashara na wenye hoteli za watalii wakikadiria hasara ya bidhaa zao kuoza kwenye friji. Wavuvi […]