Kenya kusafirisha shehena kubwa zaidi ya mbegu ya ng’ombe wa kiasili

Taifa Leo
Published: Sep 16, 2023 05:55:02 EAT   |  Travel

Na JAMES MURIMI Kenya itafikia hatua muhimu hivi punde kwa kusafirisha idadi kubwa ya mbegu za ng’ombe aina ya Borana na Ankole kwa taifa la nje. Kikosi cha wanasayansi kimekamilisha mradi wa kuandaa viinitete (embryo) 2,954 katika kituo cha Sirima, kwenye hifadhi ya Ol Pajeta, Kaunti ya Laikipia tayari kusafirishwa Afrika Kusini. Aina hizo za […]