NA MAUREEN ONGALA MENEJA wa hoteli ya kiutalii ya Malaika katika eneo la Mayungu mjini Malindi ameeleza kuwa kuwepo kwa barabara mbovu katika maeneo hayo imekuwa changamoto kubwa katika sekta ya utalii. Hali hiyo imechangia pakubwa kwa baadhi ya hoteli na mikahawa ya kitalii eneo hilo la ufuo wa bahari, kukosa watalii wa ndani na […]