Jinsi watalii wawili walivyopoteza mali ya thamani wakiogelea

Taifa Leo
Published: Sep 20, 2023 08:12:14 EAT   |  Travel

NA FARHIYA HUSSEIN WATALII wawili waliokuwa wamezuru Kaunti ya Mombasa wamekwama baada ya kuibiwa bidhaa zao ndani ya hoteli eneo la Shanzu. Kulingana na wawili hao waliokuwa wakilala katika hoteli ya kifahari ya Royal Shaza, walikuwa wametoka chumbani mwao jioni ya Septemba 13, 2023, na waliporudi walipata mali yao ikiwa imeibwa. “Kando na sababu za utalii, […]