NA SAMMY KIMATU WENYEJI na wakazi wa Kaunti ya Machakos wameomba serikali ya kaunti ikiongozwa na Gavana Wavinya Ndeti kufufua mpango wa kujenga kituo cha utalii katika kijiji kya Kyamwilu. Katika kijiji hicho, wakazi na wasafiri hujionea maajabu ya dunia ambapo maji hukaidi sayansi na badala ya kuteremka, huwa yanapanda mlima. Wageni, wakiwemo wa kutoka […]