
Abdulla: Filamu ya Royal Tour imeongeza watalii 183%
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema filamu ya The Tanzania…
Category
Safari, beaches, mountains and city breaks: tourism news, destination ideas and travel updates for East Africa and beyond.

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema filamu ya The Tanzania…

WANANCHI wa Loliondo wilayani Ngorongoro na Simanjiro Mkoa wa Manyara wanatarajia kunufaika na huduma za mawasiliano kutoka kampuni…

WIZARA ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika…

TANZANIA nchi iliyopo Afrika Mashariki inajivunia utajiri mkubwa wa maliasili ilizo nazo pamoja na mwelekeo wake thabiti wa…

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amehimiza kukamilishwa kwa miradi mbalimbali ya miundombinu chini ya Mradi…

ZANZIBAR: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa…

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na…

BODI ya Utalii Tanzania(TTB) imeingia makubaliano ya miaka mitatu na Shirika la Ndege la Uturuki ‘Turkish Airlines ‘…

The post Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Hoteli kisiwa cha Bawe appeared first on HabariLeo.

MUHUDUMU katika sekta ya Utalii ameshtakiwa kwa kumlaghai na kumlipisha bei ghali mtalii kutoka Ubelgiji. Patrick Kiilu Muthini aliyefikishwa kortini Januari 2, 2025 alikana kumlaghai Filip Martiens Dola za Marekani (USD-$)8,180 (KSh1,055,220). Bw Muthini, mahakama ilielezwa, alikuwa amemhadaa Mbelgiji huyu atampeleka kuona maeneo ya ajabu nchini pamoja na kumpeleka katika hifadhi tajika za Wanyama porini kufurahia madhari ya kupendeza na kufurahisha moyo. Hata hivyo, hakimu mkazi Rose Ndombi alifahamishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson Ingonga kupitia wakili wa Serikali Ishmael Kiragu kwamba mshtakiwa alimhadaa Martiens na “hakumpeleka kule alimuahidi.” Baadhi ya mahala ambapo Martiens angelipelekwa ni vivutio vya watalii sawia na kutembezwa hifadhi tajika za wanyama wa pori pamoja na maeneo muhimu zaidi humu nchini. Kiongozi wa mashtaka Bw Ishmael Kiragu alieleza mahakama mshtakiwa hakutimiza ahadi yake ndipo akatiwa mbaroni. Muhudumu huyo katika kampuni ya Safari Herd alikabiliwa na shtaka la kupokea pesa kwa njia ya udanganyifu. Baada ya kukana shtaka hilo, mshtakiwa aliomba apewe fursa ya kusuluhisha suala hilo na chama cha watalii nchini-KATO. “Naomba niachiliwe kwa dhamana isiyo ya kiwango cha juu ndipo nisuluhishe suala hili na mlalamishi na KATO,” mshtakiwa aliirai mahakama kupitia kwa wakili aliyemwakilisha. Kiongozi wa mashtaka Bw Kiragu hakupinga ombi la mshtakiwa la kuachiliwa kwa dhamana ila alimsihi hakimu azingatie kiwango cha pesa alichotapeliwa mtalii huyo. Mahakama ilimwachilia mshtakiwa kwa dhamana ya Sh500,000 ama pesa tasilimu Sh100,000. Mahakama ilifahamishwa mshtakiwa alipokea pesa hizo kutoka kwa Martiens katika eneo la Westlands Nairobi kati ya Oktoba 4 na Desemba 30, 2024. Kesi hiyo itatajwa baada ya wiki mbili kutengewa siku ya kusikizwa.

Wananchi wa Kijiji cha Ngombo Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro wemeiomba Serikali ya Wilaya hiyo kusitisha zoezi la kuwaondoa katika Kijiji hicho Ili kupisha hifadhi ya Pori la Akiba la Kilombero, kwani baadhi Yao bado hajalipwa fedha za fidia huku wengine wakidai kupewa muda mchache wa kuhama pamoja kushindwa kuwatengea eneo la maalum la kwenda […] The post Wananchi Ngombo – Malinyi waomba zoezi kuwahamisha lisitushwe first appeared on Millard Ayo.

ARUSHA: MINISTER for Natural Resources and Tourism Dr Pindi Chana has directed the Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)…

The commissions are tasked with providing in-depth assessments of land-related grievances and reviewing the progress and effectiveness of the voluntary relocation initiative

The minister for Tourism and Natural Resources, Dr Pindi Chana, affirmed that implementing the directives would not only expand the tourism sector but also align with the government’s ambitious targets of welcoming five million tourists and generating $6 billion in revenue by 2025

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt Pindi Chana amemuapisha na kumvika cheo kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro Dkt Elirehema Joshua Dorie na kumwagiza kuhakikisha anapanua wigo wa watalii Ngorongoro ili kuvutia watalii zaidi, kuimarisha miundo mbinu ya utalii pamoja na kuimarisha mahusiano ya watumishi na wadau mbalimbali ndani na nje ya […] The post Waziri Maliasili na Utalii amvika cheo Kamishna Dorie,ampa maagizo matatu first appeared on Millard Ayo.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Hazara Chana amemuapisha na kumvisha cheo cha kijeshi Kamishna wa…

Ndege ndogo imeanguka katika eneo la watalii kusini mwa Brazil, na kuua watu wote 10 waliokuwa ndani ya ndege hiyo na kujeruhi zaidi ya watu kumi na wawili waliokuwa chini, maafisa wamesema. Piper PA-42-1000 ya injini-mbili iligonga bomba la moshi la nyumba na ghorofa ya pili ya nyumba tofauti kabla ya kuanguka kwenye duka katika […] The post Ajali ya ndege nchini Brazil yaua watu 10 katika mji maarufu wa kitalii first appeared on Millard Ayo.

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya uwekezaji mkubwa katika Jiji la Dodoma kwa kujenga jengo la minara miwili ambalo litachochea ukuaji wa uchumi na utalii katika jiji hilo. Jambo limepongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule. Akizungumza wakati wa zoezi la kupanda miti katika kiwanja namba 3 kitalu […] The post Uwekezaji mkubwa waanza jengo kubwa la kibiashara Dodoma first appeared on Millard Ayo.

HALMASHAURI za Wilaya zote zimeagizwa kuanzisha matamasha ya utalii na uhifadhi huku zikitakiwa pia kuwalinda wananchi dhidi ya…

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Pindi Chana amewaasa watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi…

Na Mwandishi, NCAA. Jumla ya wananchi 97 waliokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Kwenda Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga, wametoa wito kwa wananchi wenzao waliobaki ndani ya hifadhi kujiandikisha ili wapate uhuru na fursa ya kuboresha maisha yao nje ya Hifadhi na kuepuka hatari ya kuishi na […]

MASHINDANO ya mashua huwa kivutio cha watalii katika maziwa Baringo na Bogoria lakini mabadiliko ya hali ya hewa yameleta athari mbaya katika Kaunti ya Baringo. Katika uzinduzi wa mashindano ya mashua ya Kaldich ziwani baringo, Gavana wa Kaunti ya Baringo Benjamin Cheboi alihimiza kuwepo kwa juhudi za pamoja kuvumisha sekta ya utalii inayopigwa na dhoruba Kaunti hii ambayo inajivunia wanyama, maziwa, milima na visiwa ambavyo aghalabu huvutia watalii wa Kenya na ng'ambo, inalenga kutumia mbinu za mauzo kidijitali kuvutia watalii. “Nilikutana na vijana wanaofanya kazi katika ufuo wa ziwa na kusikiliza wanachotaka kiimarishwe ili wanufaike. Tutaongeza juhudi katika kuvumisha vivutio vya utalii kutumia mitandao ya kidijitali,” akasema Bw Cheboi. Mshindi wa mbio za boti ambayo yaliingia katika makala ya kumi mwaka huu, Bw Luis Juma, alisema mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri vibaya vianzo vya uchumi Baringo. “Mvua kubwa ambayo imekuwa ikinyesha eneo hili imezamisha hoteli mbili za kifahari ambazo husaidia watalii wanaojivinjari,” akateta akisisitiza kuwepo kwa mikahawa mingine ambayo bado inaweza kuwafaa. Kadhalika, wavuvi wamekuwa wakilalama kuwa samaki asilia wamepunguka katika Ziwa Baringo baada ya kumalizwa na aina nyingine za samaki kutoka mataifa ya Bara Asia kama vile China. Kwa sababu ya upungufu huu, Bunge la Kaunti ya Baringo linashinikizwa kupitisha sheria ya kuhakikisha samaki wa kutosha wanaongezwa ziwani humo ili kuimarisha uchumi wa majini na utalii.

Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar imezinduliwa nchini India. Filamu hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya Swahili iliyopo Mumbai nchini India imezinduliwa rasmi na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi […] The post Filamu ya Tantalizing Tanzania yazinduliwa rasmi nchini India first appeared on Millard Ayo.

Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza kutoa kwa mara ya kwanza tuzo za uhifadhi na utalii katika hafla itakayofanyika Arusha, Desemba 20 kwa lengo la kutambua mchango wa wadau mbalimbali wa sekta ya umma na binafsi katika kuhifadhi maliasili za nchi. Mkurugenzi msaidizi wa usimamizi wa rasilimali watu wizara ya Maliasili na Utalii, Shani Kamala […] The post Tuzo za Uhifadhi kuchangamsha Utalii Arusha first appeared on Millard Ayo.

FILAMU ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan…

MOROGORO: MIKUMI National Park has recorded significant achievements attributed to the implementation of the Resilient Natural Resources Management…

WATALII wawili walifariki dunia baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Maji ya Chumvi huko Mariakani. Ajali hiyo iliyotokea Jumatano saa moja asubuhi, ilihusisha gari ya kuwasafirisha watalii na gari la mizigo la kusafirisha magari mapya. Kwa mujibu wa Afisa Mkuu wa trafiki ukanda wa Pwani George Kashmir, waliofariki ni raia wawili wa Uholanzi wanaume, waliokuwa wametoka Diani na wake zao. “Ni ukweli kumetokea ajali ambayo imewauawa wanaume wawili ambao walikuwa nchini kwa likizo. Walikuwa na wake zao ambao walipata majeraha katika ajali hiyo. Aliyekuwa akiwaongoza wakati wa ziara hiyo hakuumia sana,” akasema Bw Kashmir. Dereva wa gari hilo, wanawake hao wawili na afisa wa kuwaongoza watalii aliye katika gari hiyo walikimbizwa katika hospitali ya Mariakani kupata matibabu.

Zaidi ya magari 5,000 aina ya Toyota yatashiriki kwenye Tamasha kubwa la Utalii mkoani Ruvuma (Ruvuma Toyota Festive) litakalofanyika tarehe 25 Juni 2025. Aidha Tamasha hili linatarajia kuwakutanisha watu kutoka mikoa mbalimbali hapa nchini na nje ya Nchi. Maandamano ya Magari aina ya Toyota yataanzia katika Manispaa ya Songea na kumalizika katika mji mdogo wa […] The post Ruvuma Toyota Festive 2025 kukutanisha magari zaidi ya 5000 first appeared on Millard Ayo.

Katika kuendeleza kutangaza vivutio vya utalii na utunzaji wa mazingira nchini Wilaya ya Kilombero iliyopo Mkoani Morogoro imefanya tamasha maalum linalofahamika kwa jina la Kilombero Festival ambalo limejumuisha taasisi mbalimbali za utalii,Kilimo na utamaduni. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero wakili Dunstan Kyobya amesema hili ni tamasha la kwanza kufanyika katika wilaya huyo huku lengo ni […] The post Kilombero Festival kuchochea Utalii na kuvutia wawekezaji first appeared on Millard Ayo.

WAKALA wa Misitu Tanzania (TFS)imeanza kutangaza vivutio vyake vya utalii ndani ya misitu ikiwemo utalii wa Ziwa Duluti…

ZAIDI ya Sh milioni 400 zimekusanywa katika Hifadhi ya Msitu wa Asili wa Ziwa Duluti ikiwa ni mapato…

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ujerumani ukiongozwa na…

KATIKA kuhakikisha wanavuka malengo ya watalii wa ndani Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imekuja na mbinu mpya…

Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua msimu wa kampeni ya kuhamasisha utalii kwa wananchi kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka yenye kauli mbiu isemayo _MERRY AND WILD, NGORONGORO AWAITS_ ambayo inatarajiwa kuanza tarehe 4 Desemba, 2024 hadi tarehe 4 Januari, 2025. Akitangaza kampeni hiyo Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi anayesimamia […] The post Mamlaka ya Ngorongoro yazindua kampeni hii,watanzania watakiwa kwenda hifadhini first appeared on Millard Ayo.

WAKALA wa Misitu Tanzania (TFS) wametakiwa kuimarisha utalii wa misitu Ikolojia kwa kuvilinda na kuviendeleza vivutio hivyo ili…

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amekabidhi malori matano na mitambo mitano mitano yenye thamani…

KATIKA juhudi za kuhamasisha utalii wa ndani na kuchochea ukuaji wa uchumi, mbio za kipekee zinazojulikana kama “Mtembezi…

ARUSHA: PRESIDENT Dr Samia Suluhu Hassan has announced that she will form two commissions to address issues in…

Wajasiriamali Wadogo na wa Kati Afrika wamehimizwa kuwekeza Nchini Tanzania hususani sekta ya Utalii kwani ndio sekta yenye uhakika wa kipato. Mbali ya kuwahimiza kuwekeza Nchini pia Wajasiliamali hao Wanawake na Vijana wametakiwa kujisajili katika mfumo rasmi wa kifedha ili waweze kutambulika na serikali na benki ili waweze kukopesheka. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa […] The post Wajasiriamali Afrika wapigwa msasa Arusha,Watakiwa kuingia kwenye utalii first appeared on Millard Ayo.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amezindua rasmi Bodi ya Magavana ya Chuo cha Usimamizi…

WAJASILIAMALI wadogo na kati kutoka barani Afrika wamehimizwa kuwekeza Tanzania hususan sekta ya utalii kwani ndio sekta yenye…

DAR ES SALAAM: Wanafunzi wanaosomea fani ya ukarimu katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) sasa watapata mafunzo…

SUSAN Gathoni Karuthi ameshtakiwa kwa kumlaghai mfanyakazi wa hoteli Sh447,000 akidai atamuuzia gari la kifahari. Bi Gathoni aliyefikishwa mbele ya hakimu mwandamizi mahakama ya Milimani Gilbert Shikwe alikana alimlaghai Delvis Muoki Mutua pesa hizo akijifanya alikuwa na uwezo wa kumuuzia gari. Gathoni mwenye umri wa miaka 33 alikabiliwa na shtaka la kupokea pesa kwa njia ya udanganyifu kinyume na sheria nambari 313 za uhalifu. Upande wa mashtaka ulisema katika kipindi cha miezi tisa kati ya Desemba 7 2023 na Agosti 16 2024, katikati mwa jiji la Nairobi, Gathoni alipokea Sh447,000 kutoka kwa Bw Mutua akidai atamuuzia gari, jambo alilojua hawezi. Kiongozi wa mashtaka Bi Judy Koech alimweleza hakimu baada ya Gathoni kupokea pesa hizo kutoka kwa Bw Mutua, alianza mchezo wa paka na panya hadi pale alipotiwa nguvuni Novemba 15, 2024 na maafisa wa polisi kutoka kituo cha Central. [caption id="attachment_163626" align="alignnone" width="300"] Susan Gathoni Karuthi akiwa kortini. Picha|Richard Munguti[/caption] Bi Koech alisema Gathoni hakumnunulia gari Bw Mutua kama alivyoahidi. Bi Gathoni aliomba hakimu amwachilie kwa dhamana na kuahidi, “nitatii maagizo nitakayopewa na mahakama endapo itaniachilia huru kwa dhamana.” Bi Koech hakupinga na mshtakiwa akaachiliwa kwa dhamana ya Sh1 milioni. Iwapo mshtakiwa atashindwa kulipa dhamana hiyo alimpa dhamana badala ya Sh200,000 pesa tasilimu. Kesi itatajwa Desemba 4, 2024 kwa maagizo zaidi.

Na Mwandishi wa NCAA. Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye amesema Mamlaka hiyo imejipanga kuhakikisha inalinda, inahifadhi na inaimarisha vivutio vya malikale inavyovisimamia. Akizungumza mara baada ya kutembelea Mapango ya Amboni mkoani Tanga yanayosimamiwa na Mamlaka hiyo Dkt.Doriye amesema mapango ya Amboni ni moja ya vituo vya malikale […]

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ngorongoro imenunua jumla ya dozi 44,000 za chanjo kwa ajili ya kuchanja mbuzi na…

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni muhimu kuunganisha taaluma na viwanda katika sekta…

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za…

Kassim Nyaki, Msomera Tanga. Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imefanya ziara ya kikazi kijiji cha Msomera Handeni mkoani Tanga kukagua utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu mbalimbali kwa ajili ya wananchi wa Ngorongoro wanaoendelea kuhamia eneo hilo. Akiongoza bodi hiyo Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi NCAA Jenerali Venance Mabeyo […]

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amesisitiza umuhimu wa kuwa na mikakati endelevu katika kukuza Sekta ya Utalii na Ukarimu hususan katika nyanja za utunzaji wa mazingira, ustawi wa jamii, kutumia teknolojia za kidijitali na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa maendeleo endelevu na ustawi wa Sekta ya Utalii. Ameyasema […] The post Waziri Chana kwenye mkutano mkubwa wa kimataifa Arusha,atoa mikakati hii first appeared on Millard Ayo.

SERIKALI ya Tanzania na Uturuki zimekubaliana kushirikiana kukuza sekta ya maliasili na utalii ili kuongeza idadi ya watalii…