
Wananchi 97 wahamia kwa hiyari Msomera kutoka hifadhi ya Ngorongoro
Na Mwandishi, NCAA. Jumla ya wananchi 97 waliokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Kwenda Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga, wametoa wito kwa wananchi wenzao waliobaki ndani ya hifadhi kujiandikisha ili wapate uhuru na fursa ya kuboresha maisha yao nje ya Hifadhi na kuepuka hatari ya kuishi na […]










































