Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza kutoa kwa mara ya kwanza tuzo za uhifadhi na utalii katika hafla itakayofanyika Arusha, Desemba 20 kwa lengo la kutambua mchango wa wadau mbalimbali wa sekta ya umma na binafsi katika kuhifadhi maliasili za nchi.
Mkurugenzi msaidizi wa usimamizi wa rasilimali watu wizara ya Maliasili na Utalii, Shani Kamala na Afisa Utalii wa wizara hiyo, Maria Nyamsekela wamesema hafla hiyo itahuhuriwa na watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo wasanii.
“Tutawatunuku tuzo wadau mbalimbali wa sekta ya umma na binafsi, Desemba 20, 2025, Arusha ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa na mchango mkubwa kwenye sekta hii ya utalii,” alisema Kamala.The post Tuzo za Uhifadhi kuchangamsha Utalii Arusha first appeared on Millard Ayo.
Tuzo za Uhifadhi kuchangamsha Utalii Arusha

This story was originally published by Milard Ayo.
Read the full story at Milard AyoRelated stories
TravelMiss World Kufungua Milango ya Utalii
ZANZIBAR imeendelea kujitokeza kama moja ya vivutio muhimu vya utalii nchini, safari hii ikipokea ugeni wa Miss World 2026, Joheirry Molla aliyewasili visiwani humo Novemba 19, 2026, akiwa ameambatana na warembo kutoka mabara sita.
TravelAskari Tanapa, TFS mbaroni mauaji ya wabeba mkaa
KAGERA; Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari 13, wakiwemo wa wanyamapori wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), askari wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na askari mgambo, kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne yaliyotokea Kijiji cha Kanyamika, Kata ya Karambi, Tarafa ya Kimwani, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera. Taarifa…
TravelNgorongoro scoops continental gong
ACCRA: THE Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) has won the Excellence in Sustainable Tourism and Conservation Management Award at the Africa Business Forum & Awards 2026. The award recognises Ngorongoro’s contribution to biodiversity conservation, sustainable tourism development and the protection of its outstanding natural and cultural heritage. The awards ceremony was held in Accra, Ghana,…
TravelDk Kijaji: Mashindano makubwa gofu Afrika kufanyika Serengeti
MARA; Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema Uwanja wa Gofu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti utawezesha Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa ya gofu ya Afrika na kimataifa, hatua inayotarajiwa kuongeza idadi ya watalii, mapato na kuitangaza nchi kupitia utalii wa michezo. Akizungumza leo Oktoba 18, 2026, wakati wa uzinduzi wa…