WANANCHI wa Loliondo wilayani Ngorongoro na Simanjiro Mkoa wa Manyara wanatarajia kunufaika na huduma za mawasiliano kutoka kampuni ya Yas ambapo awali mawasiliano yalikuwa shida maeneo hayo ya pembezoni.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Januari 16, 2025 Ofisa Mkuu wa Biashara kutoka YAS, Isack Nchunda amesema mabadiliko ya chapa ya kampuni hiyo yanakwenda sanjari na uboreshaji wa huduma za mawasiliano.
Amesema amesema hatua hiyo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Kaskazini amesema upelekeaji wa mawasiliano hayo haswa maeneo ya Loliondo na Simanjiro ni kuboresha huduma bora za mawasiliano.
“Tumefika maeneo yenye changamoto ya mawasiliano kwa kasi ya 4G na 5G lakini pia huduma zetu za tigo pesa sasa zinajulikana kwa Mixx by Yas ikiwemo kampeni yetu ya magift ya kigift ambayo wateja wetu wanashinda zawadi mbalimbali za fedha taslim pamoja na gari ”
Wakati huo huo, Kaimu Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya ameongeza kuwa kampeni ya “magifti ya kugift” bado inaendelea huku washiriki wakiendelea kujishindia zawadi za kila siku na kila wiki ikiwemo zaidi ya sh, milioni 156 na simu janja 172 zilizobakia.
The post Wananchi Loliondo kufikiwa huduma ya mawasiliano appeared first on HabariLeo.
Wananchi Loliondo kufikiwa huduma ya mawasiliano

This story was originally published by Habari Leo.
Read the full story at Habari LeoRelated stories
TravelMiss World Kufungua Milango ya Utalii
ZANZIBAR imeendelea kujitokeza kama moja ya vivutio muhimu vya utalii nchini, safari hii ikipokea ugeni wa Miss World 2026, Joheirry Molla aliyewasili visiwani humo Novemba 19, 2026, akiwa ameambatana na warembo kutoka mabara sita.
TravelAskari Tanapa, TFS mbaroni mauaji ya wabeba mkaa
KAGERA; Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari 13, wakiwemo wa wanyamapori wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), askari wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na askari mgambo, kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne yaliyotokea Kijiji cha Kanyamika, Kata ya Karambi, Tarafa ya Kimwani, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera. Taarifa…
TravelNgorongoro scoops continental gong
ACCRA: THE Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) has won the Excellence in Sustainable Tourism and Conservation Management Award at the Africa Business Forum & Awards 2026. The award recognises Ngorongoro’s contribution to biodiversity conservation, sustainable tourism development and the protection of its outstanding natural and cultural heritage. The awards ceremony was held in Accra, Ghana,…
TravelDk Kijaji: Mashindano makubwa gofu Afrika kufanyika Serengeti
MARA; Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema Uwanja wa Gofu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti utawezesha Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa ya gofu ya Afrika na kimataifa, hatua inayotarajiwa kuongeza idadi ya watalii, mapato na kuitangaza nchi kupitia utalii wa michezo. Akizungumza leo Oktoba 18, 2026, wakati wa uzinduzi wa…