
Zuchu afungiwa miezi sita
BARAZA la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa Zuhura Othman, ‘Zuchu’ kuendesha shughuli za sanaa visiwani Zanzibar kwa muda wa miezi sita na faini ya Sh million 1. Kifungo hicho kimetokana na onesho lake la Februari 24 mwaka huu ambapo alitoa maneno yenye ishara mbaya ambazo ni kinyume na maadili. Zuchu … The post Zuchu afungiwa miezi sita first appeared on HabariLeo.





































