
Sir Elton John kazi yake bado inatikisa
UINGEREZA; SIR Elton John ni mwimbaji, mpigaji kinanda, na mtunzi maarufu kutoka Uingereza. Alizaliwa Machi 25,1947 akiwa kama Reginald Kenneth Dwight. Kuanzia miaka ya sabini, Elton John amekuwa akikusanya sifa tele kwa muziki wake wa kinanda. Yeye ni mahiri katika utunzi wa nyimbo na kushirikiana kwake na Bernie Taupin kumewezesha kuandika nyimbo nyingi za mafanikio. … The post Sir Elton John kazi yake bado inatikisa first appeared on HabariLeo.











































