NA FRIDAH OKACHI SOSHIOLAITI Zarinah Hassan ambaye wengi humuita Zari Hassan huku mwenyewe akipendelea kujiita Zari the Boss Lady, amepinga uvumi unaoenezwa mitandaoni kuwa sababu kuu ya kuvunjika kwa uhusiano wa Zuchu na Diamond Platnumz ni video yake na bosi wa lebo ya WCB Wasafi wakiwa wameshikana mikono kwa furaha. Kwenye mahojiano na chombo kimojawapo nchini Tanzania, Zari alikana kuhusika, akidai video hiyo […]