NA FRIDAH OKACHI MCHEKESHAJI Steve Thompson Maghana almaarufu Oga Obinna, ameshangaa baada ya kuambiwa ni makosa makubwa kwa mtu maarufu kama yeye kuishi katika nyumba ya kupanga. Shabiki mmoja kwa jina Kenzy Kenzia Abba, alimwachia ujumbe mchekeshaji huyo kwenye ukurasa wa Instagram akisema haelevi ni vipi msanii huyo wa jina kubwa anavyotumia pesa ‘kiholela’ kwa […]