NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI Rihanna kutoka Amerika amelipwa Sh1.3 bilioni baada ya kutumbuiza wageni kwenye hafla ya matayarisho ya harusi ya mwanawe bwanyenye tajiri zaidi nchini India, Mukesh Ambani. Mwanamuziki huyo alilipwa fedha hizo Ijumaa, Februari 2, 2024 baada ya kutumbuiza wageni mashuhuri waliohudhuria hafla ya Anant Ambani na mpenziye, Radhika Merchant. Mukesh Ambani ni mfanyabiashara […]