NA WANDERI KAMAU DUNIA inaendelea kumwomboleza mwanamuziki-kiongozi wa kundi la Morgan Heritage kutoka Jamaica, Peter Morgan. Kundi hilo linafahamika kote duniani kutokana na utunzi wake wa kipekee wa nyimbo za miondoko ya Reggae. Kulingana na taarifa iliyotolewa na kundi hilo, mwanamuziki huyo, maarufu kama “Peeter”, alifariki Jumapili, Februari 25, 2024. Kundi hilo, hata hivyo, halikueleza […]