NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Zuhura Othman almaarufu Zuchu ametangaza rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake mpenzi wake Diamond Platnumz. Katika ukurasa wake wa Instagram mnamo Ijumaa, mwanamuziki huyo alikiri kwa muda mrefu amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na bosi huyo wa WCB. “Habari familia, nahitaji kuweka sawa dhamiri yangu. Kuanzia leo hii mimi na Nasibu (Diamond) hatuko pamoja,”  alianza Zuchu. […]