NA CHRIS ADUNGO MWANAMUZIKI Shakira Isabel anazidi kuviziwa kimapenzi na vidume vizito tangu atemane rasmi na mwanasoka mstaafu raia wa Uhispania, Gerard Pique. Mnamo Julai mwaka jana, mrembo huyo raia wa Colombia alikiri kuwa “anakaribia kupata hifadhi mpya ya penzi lake” baada ya kuonekana akiponda raha na dereva mzoefu wa magari ya Langalanga, Lewis Hamilton. […]