NA FRIDAH OKACHI MCHEKESHAJI David Oyando, almaarufu Mulamwah amefichua kuwa atatoza Sh 100 milioni ili kufichua sura ya mwanawe. Kwenye mahojiano ya hivi punde katika mtandao wa TikTok, baba huyo wa watoto wawili alisema atafanya mambo tofauti na watu mashuhuri kwa kufichua sura ya mwanawe. Katika mahojiano ya hivi punde, mcheshi huyo alitaja kuwa anatamani kufanya […]