NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI mmiliki wa lebo ya WCB Wasafi Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz, yuko njiani kuelekea visiwani Zanzibar, nyumbani kwa kina Zuchu kumuomba msamaha warudiane. Katika taarifa yake kwenye mtandao mmojawapo wa kijamii, mwanamuziki huyo ametangaza yuko njiani kuelekea nyumbani kwa kina Zuchu visiwani Zanzibar–Zenji–kuomba radhi baada ya kushauriwa kuchukua hatua hiyo […]