NA WANDERI KAMAU WAKATI mwanamuziki wa mtindo wa Mugithi, Salim Junior, alipofariki mnamo 2021, kifo chake bila shaka kilikuwa pigo kubwa kwa tasnia ya muziki huo katika ukanda wa Mlima Kenya. Wengi walisema ingekuwa vigumu kwa pengo aliloliacha kujazwa, kwani uimbaji wake kwa kucheza gitaa moja (one man guitar), ulikuwa wa kipekee. Yeye ndiye aliyekuwa […]