DOMOKAYA: Hivi kweli haya mapenzi yana maana gani haswa? Binadamu hapendeki!

NA MWANAMIPASHO Duh! Hivi wanazengo hebu soogeni karibu niwaulize jambo. Hivi kweli haya mapenzi yana maana? Maana mimi binafsi sioni. Bwana binadamu hawapendeki. Kheri umpende mbuzi maana utakuja kufaidi mchuzi, ila binadamu, utaishia kudharauliwa na kuteseka mtima. Juzi mumeona jinsi Zuchu alivyolia Insta kwa machungu akisema amechoka na dharau za Diamond baada ya msela kuposti […]