
OSHA yawaandaa wafanyabiashara kushriki fursa za kiuchumi
Na Mwandishi Wetu, Tanga Wadau wa sekta ya utalii na hoteli mkoani Tanga wametakiwa kuzingatia viwango vya usalama na afya mahali pa kazi ikiwa ni mkakati mojawapo wa kujiandaa kunufaika na fursa mbali mbali za kiuchumi ukiwemo mradi mkubwa wa bomba la mafuta la Hoima-Tanga. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam […]



































