NA JURGEN JACKSON MWENYEKITI wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini, Bw Steven Gitagama, amehimiza Serikali iwe ikitoa ripoti za mara kwa mara kuhusu utendakazi, ili kuimarisha taaluma hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa hali ya vyombo vya habari katika hoteli ya Stanley, Nairobi, Bw Gitagama alisema ni kupitia ukosoaji ambapo […]