NA MASHIRIKA ZANZIBAR, TANZANIA WATALII zaidi ya 1,000 raia wa Ukraine, wamekwama hotelini Kisiwani Zanzibar huku mapigano yakichacha katika nchi yao. Waziri wa Utalii wa Zanzibar Leila Mohammed Mussa, jana alisema kuwa raia hao wa Ukraine wamekwama katika hoteli mbalimbali kisiwani hapo. Kulingana na Waziri Mussa, wengi wa watalii hao wanataka kurejea nyumbani kutangamana na […]