NA WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya utalii na usafiri wa ndege za kimataifa, wanatarajia sekta hiyo itapigwa jeki baada ya serikali kulegeza zaidi kanuni za kupambana na maambukizi ya virusi vya corona. Miongoni mwa agizo ambalo linatarajiwa kusaidia sana sekta hiyo ni kusitishwa kwa sharti la kupima wageni waliochanjwa, kama wameambukizwa virusi hivyo. Wageni […]