NA JOHN ASHIHUNDU MWANDISHI wa miaka mingi wa habari za michezo, Titus Tavasi Maero atazikwa kesho Ijumaa katika kijiji cha Lulonda eneobunge la Navakholo, Kaunti ya Kakamega, siku moja tu baada ya mwili wake kuondolewa kwa hifadhi ya maiti. Maero, 59, ambaye ameacha mjane, Brenda Mung’ohe Matekwa, ambaye ni muuguzi, na watoto wawili Nelima, 37, […]