NA WINNIE ATIENO SEKTA ya Utalii nchini ilipigwa jeki Jumapili baada ya watalii kutoka nchi ya Bulgaria kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Moi. Ndege hiyo ambayo ni mara yake ya kwanza kuleta watalii, itakuwa ikisafiri Kenya mara kwa mara, kwa mujibu wa msimamizi wake, Bw Georgi Pasev. Watalii hao 170 watazuru fuo […]