Na WINNIE ATIENO Wadau wa utalii katika eneo la Pwani wameitaka serikali kuweka mikakati ya kuboresha soko la humu nchini na barani Afrika kufuatia kupungua kwa idadi ya watalii wanaotoka nje ya bara hili kutokana na makali ya virusi vya corona. Hii ni baada ya ripoti ya hivi punde ya sekta hiyo kuonyesha mwaka jana […]