NA WINNIE ATIENO WADAU wa sekta ya utalii wamefufua wito wa kutaka serikali za kaunti za Pwani kuweka mikakati mipya ya kukabiliana na kurabu. Hii ni baada ya idadi ya ndege hao ambao hufahamika pia kama kunguru kusemekana kuongezeka hadi kuanza kuelekea maeneo ya bara. Wakiongozwa na Bw Mohammed Hersi, wadau hao walisikitisha na jinsi […]