NA WINNIE ATIENO KWA miaka mingi, Mji wa Kale katika Kaunti ya Mombasa umekuwa mojawapo ya vivutio vikuu vya utalii kimataifa. Hii ni kutokana na kuwepo kwa vivutio kama vile Fort Jesus, majengo na vyakula vinavyoenzi tamaduni ya Waswahili, Msikiti wa Mandhry, ambayo ndio ya zamani zaidi yaliyojengwa mwaka wa 1570, miongoni mwa mengine. Lakini […]