NA WINNIE ATIENO WADAU wa sekta ya utalii Pwani wameanza kuweka mikakati ya kutafuta faida wakati wa sikukuu za Pasaka. Wadau hao walikutana Jumapili kujadili mipango mipya ambayo wanaweza kutumia, baada ya mipango ya awali iliyolenga watalii kutoka Ukraine kupata pigo kufuatia vita vya Urusi nchini humo. Mwenyekiti wa muungano wa vyama vya utalii Pwani, […]