Na PETER CHANGTOEK MALINDI ni mji unaotambulika mno kwa wageni wanaozuru nia ikiwa kuutalii. Ni mji ulioko umbali wa kilomita takriban 120 kutoka jijini Mombasa. Hata hivyo, ni katika mji huo ulioko katika Kaunti ya Kilifi, ambako kuna kampuni moja inayowafaa wakuzaji wa pilipili. Equator Kenya Limited, ni kampuni ambayo imewapa kandarasi wakulima kutoka kaunti […]