NA MWANGI MUIRURI JULAI 1, 2023 Bi Esther Ruguru, mama mwenye umri wa miaka 43 alifunga hoteli yake ndogo katika mji wa Kiria-ini mwendo wa saa mbili usiku na akatoweka, kufikia sasa isijulikane alikoenda. Baada ya kungojewa na mama yake Bi Alice Njoki, 71, na watoto wake watatu wa kati ya miaka 21 na 13 […]