NA RICHARD MUNGUTI MWANAMUME aliyekaa katika hoteli moja ya kifahari jijini Nairobi kwa siku 12 akimsubiri mpenzi wake washerehekee sikukuu ya Mwaka Mpya 2024 ameshtakiwa kwa kushindwa kulipa bili ya Sh466,965. Sasa makao ya Bw Leavan Namayi Lubanga kutoka Kaunti ya Homa Bay yatakuwa ni gereza la Industrial Area alipopelekwa kuzuiliwa akisubiri kesi aliyoshtakiwa isikilizwe […]