NA LABAAN SHABAAN WAKENYA wengi wenye kipato cha chini na cha wastani hupendelea kula katika hoteli za kitaa almaarufu ‘vibandaski’. Hii ni kwa sababu vyakula huwa vya bei nafuu katika hoteli za aina hiyo. Kadri ukuaji wa kiteknolojia unavyozidi kushuhudiwa, ndivyo wamiliki wa hoteli wanavyokuwa wabunifu ili kuteka wateja walio mbali na upeo wa macho […]