NA SIAGO CECE USALAMA umeimarishwa katika barabara kuu za Pwani huku watalii wa ndani na wa kigeni wakifurika kwa msimu huu wa sherehe za sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya. Polisi wanafanya ukaguzi wa vitambulisho mara kwa mara kwenye barabara kuu kadha, ili kuthibitisha uraia wa abiria katika magari ya umma. Katika Kaunti ya Kwale, […]