NA CHARLES ONGADI KRISMASI mara nyingi katika eneo la Pwani hufika wakati wenyeji na wakazi na watalii wamejiandaa kisawasawa kusherehekea, huku wakimwaga noti kwa kununua nguo, mavazi na chakula bila kujali na kujirusha sehemu mbalimbali. Lakini hali ni tofauti jijini Mombasa mwaka huu 2023, kwani wengi tangu juzi hadi leo Desemba 25, 2023, wamekuwa wakinunua […]