NA BRIAN OCHARO WAZIRI wa Utalii na Wanyamapori Alfred Mutua atalazimika kuhamisha choo chake kilichoko katika makazi yake ya likizo huko Kilifi, ambayo kimekuwa kero kwa kutoa harufu mbaya kwa majirani kwa miaka mitano sasa. Hii ni baada ya Mahakama ya Mazingira na Ardhi huko Malindi kukataa ombi la Waziri huyo kusitisha agizo la kumtaka […]