NA ALEX KALAMA MAHAKAMA Kuu ya Malindi mnamo Ijumaa imemuachilia kwa dhamana aliyekuwa Waziri wa Utalii Najib Balala pamoja na wenzake wawili ambao walikuwa wameshtakiwa pamoja katika kesi ya ufujaji wa Sh8.5 bilioni za ujenzi wa Chuo cha Utalii cha Ronald Ngala kilichoko eneo la Vipingo katika Kaunti ya Kilifi. Wakiwa mbele ya hakimu mkuu […]