NA MAUREEN ONGALA WAZIRI wa Utalii Alfred Mutua ametangaza hali ya hatari kufuatia ongezeko la visa vya fisi kuwavamia wakazi katika maeneo mbalimbali nchini. Kulingana na Dkt Mutua ni kuwa hali hii imesababishwa na ongezeko la idadi ya fisi nchini baada ya kuzaana kwa wingi. Waziri alisema pia wameongezeka kwa sababu wanakula mizoga ya wanyama […]