Mtanzania Travel

Miaka Miwili ya The Royal Tour Mabalozi wampongeza Rais Samia ongezeko la watalii

Na Mwandishi wetu, Ngorongoro Kreta. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi...

1 day ago


Milard Ayo Travel

Filamu ya The Royal Tour yaipaisha Tanzania na ongezeko la wageni nchini

Filamu ya “The Royal Tour ambayo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ameshiriki akiwa mshiriki/mwongozaji mkuu imekua na mafanikio makubwa sana katika kutangaza vivutio...

3 days ago


Mtanzania Travel

Waliohama Ngorongoro wamtumia salamu Rais Samia

Na Mwandishi wetu, Handeni. Wananchi waliohama kwa hiyari kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga wamemuomba mkuu wa mkoa huo mhe. Balozi Dkt.Batilda...

5 days ago


Taifa Leo Travel

Wahudumu wa hoteli wakomesha mlofa aliyezoea kula bila kulipa

BOMBOLULU, MOMBASA Na JANET KAVUNGA UJANJA wa jombi wa hapa wa kutolipia mlo aliotafuna hotelini nusura umtumbukize pabaya wahudumu walipomkabili wakitaka kumvua nguo. Duru zinasema kuwa jamaa aliingia hoteli moja...

6 days ago


Milard Ayo Travel

Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wa 6 wa Usalama wa Usafiri wa Anga Afrika Mashariki

Mkutano wa Sita (6) wa Taasisi inayosimamia Ulinzi na Usalama wa Usafiri wa Anga Afrika Mashariki (CASSOA) unatarajia kufanyika kuanzia tarehe 15 hadi 16 Mei 2024 , katika Hoteli ya...

1 week ago


Habari Leo Travel

Tamasha la utalii wa kiutamaduni laiva Bariadi

SIMIYU: Mkuu wa Wilaya ya Bariadi,  Simon Simalenga ameipongeza kampuni ya Kilimanjaro one Travel and Tours kwa kuunga mkono kwa vitendo juhudi za serikali katika kukuza utalii wa kiutamaduni. Mkuu...

1 week ago


Taifa Leo Travel

Serikali kujenga vyoo kwenye mbuga ‘kuvutia watalii zaidi’

NA STANLEY NGOTHO SERIKALI kuu itajenga vyoo vya kisasa na sehemu za kupumzika katika mbuga ya wanyamapori ya Amboseli ili kukuza utalii katika kaunti ya Kajiado, asema Waziri wa Utalii...

2 weeks ago


Taifa Leo Travel

Nazizi afunguka jinsi mwanawe mdogo alifariki wakiwa hotelini Tanzania

NA SINDA MATIKO MIEZI mitatu baadaye, rapa Nazizi kwa mara ya kwanza amefunguka mazingira yaliyopelekea mwanawe kufariki huku akikana taarifa zilizosambaa. “Kuna bloga alianzisha uvumi kuhusu ajali ile pasi na...

2 weeks ago


Habari Leo Travel

Filamu ya Amazing Tanzania kuzinduliwa Mei

DODOMA; Tanzania imepanga kuzindua filamu nyingine ya kutangaza vivutio vya utalii ili kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania Bara na Zanzibar. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa bungeni mjini...

2 weeks ago


Taifa Leo Travel

Pombe: Hoteli 5 zafungwa msako ukiendelea

NA STEPHEN MUNYIRI HOTELI tano za hadhi mjini Karatina, Kaunti ya Nyeri, zilifungwa Jumatano baada ya Rais William Ruto kuzuru kaunti hiyo na kusema serikali haitalegeza kamba katika kupambana na...

3 weeks ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
Thumbnail
Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Rayvanny - Hongera (Music Audio)
Thumbnail
Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)
Thumbnail
Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
Thumbnail
Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)
Thumbnail
D Voice - Zoba (Official Lyric Audio)
Thumbnail
TitoM & Yuppe - Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue] (Official Music Video)
Thumbnail
Diamond Platnumz - Namleta (Official Audio)
Thumbnail
Chino Kidd Ft Daway - Binadamu (Official Lyrics Video)

Job Vacancies





Entertainment