The East African Business
Centum Investments records $10m half-year loss

All of the group’s trading, investments and subsidiary operations, save financial services, made losses.

1 day ago


Mtanzania Business
Tanzania inaongoza kwa biashara ya vinywaji-Dyre

*Kuzindua Grand Tripple Wood’s 12 Kesho Na Jeremia Ernest, Mtanzania Digital BALOZI wa Grants Duniani, Danny Dyer, ameeleza kuwa Tanzania ni nchi inayoongoza katika biashara ya vinywaji ndio sababu imepewa heshima ya kuwa nchi ya kwanza barani Afrika, kuzindua kinywaji cha Grand Tripple Wood’s 12. Grand Triple woods 12, ni kinywaji kipya ambacho kinatengenezwa na

1 day ago


The East African Business
Road tolls distort EAC cross-border trade

Traders are calling for harmonisation of fees for trucks criss-crossing the East African region.

4 days ago


The East African Business
Ruto, Museveni seek trade deals in Asia trips

Ruto’s trip means it is the first official visit to South Korea by a Kenyan head of state since 1990.

1 week ago


Taifa Leo Business
Vifo vya samaki vyazidi kutatiza wajasiriamali

NA GEORGE ODIWUOR WAFUGAJI samaki kwenye vizimba katika Ziwa Victoria wamepata hasara ya mamilioni ya fedha baada ya samaki wao kufa kwa njia ya kutatanisha. Hisia mseto zimeibuka kuhusu chanzo cha vifo vya samaki hao huku wataalamu wakidai hilo ni tukio la kimaumbile. Katika mitandao ya kijamii, wakulima tofauti wameweka picha za kuonyesha kiwango cha

1 week ago


The Citizen Business
Why Zanzibar exudes investment forum optimism

The main objective of the forum is to promote trade, investment, and finance opportunities between Zanzibar and the rest of Africa

1 week ago


Taifa Leo Business
CHARLES WASONGA: Wabunge walegeze masharti makali kuhusu mkopo wa Hazina ya Hasla

NA CHARLES WASONGA MUUNGANO wa Kenya Kwanza ulibuni wazo la kuanzisha Hazina ya Hasla kwa lengo la kuwasaidia wafanyabiashara wa kiwango kidogo kupanua biashara zao. Hili ni kundi la wafanyabiashara ambao wamekuwa wakisumbuliwa sana wakitaka kupata mkopo kutoka kwa benki na asasi nyingine za kifedha zinazotoa mikopo kwa masharti makali na riba ya juu. Isitoshe,

2 weeks ago


Taifa Leo Business
NJENJE: Wafanyabiashara wadogo wafaidika chini ya mpango maalum wa kuwapatia mikopo

NA WANDERI KAMAU JUMLA ya biashara ndogo ndogo 2,190 zimepokea Sh3.3 bilioni chini ya mpango wa serikali wa kutoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kiwango cha chini katika mwaka wa kifedha wa 2021/2022. Hata hivyo, wadau wamesema biashara nyingi hazikukua kwa kasi kama ilivyotarajiwa.Kulingana na Wizara ya Fedha, walemavu, vijana na wanawake walipewa mikopo ya Sh472.2

2 weeks ago


Taifa Leo Business
Majambazi kuona cha mtema kuni Nakuru

NA RICHARD MUNGUTI HIVI karibuni majambazi na wahalifu hawatakuwa na mahala pa kujificha jijini Nakuru kufuatia kuwekwa kwa kamera zitakazosaidia polisi kuwaandama wanaotekeleza uhalifu. Kamera hizo zimewekwa katikati mwa jiji hili ambako ni kitovu cha biashara (CBD). Kulingana wakuu wa jiji hili, hatua hiyo imechukuliwa kuhakikisha biashara zimeendelezwa masaa 24 bila hofu ya kuibiwa. Meneja wa

2 weeks ago


Taifa Leo Business
Mung’aro awatafutia wafanyabiashara mikopo

NA WINNIE ATIENO GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro ameanza kufanya vikao na mashirika ya fedha hasa benki, kuwashawishi kuanza kuwapa wafanyibiashara wadogo wadogo mikopo ya kukuza biashara zao. Alisema mikopo hiyo itapiga jeki biashara nyingi katika kaunti hiyo, na hatimaye kuinua uchumi kando na kuongeza nafasi za kazi. Akiongea kwenye mkutano na maafisa wakuu

2 weeks ago


The Citizen Business
AD: Financial Enlightenment Through Trading with Axiory

The importance of financial enlightenment has increased in recent years as online financial trading becomes more attractive around the world

2 weeks ago


Mtanzania Business
Meridianbet Yawashika Mkono Hospitali ya Tumbi

Kampuni ya Meridianbet iliyoambatana na timu nzima ya masoko, akiwemo meneja masoko wa kampuni hiyo Ndugu Matina Nkurlu, pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Maudhui Bw Twaha Ibrahimu, leo Novemba 11, 2022 ilitembelea Hospital ya Rufaa ya Tumbi mkoa wa Pwani, kwaajili ya kutoa msaada wa vifaa kwa matumizi ya wagonjwa katika hospitali hiyo. Katika

2 weeks ago


The Citizen Business
KCB's Islamic bond kicks off trading

The central bank on Wednesday, November 9,urged commercial banks to introduce new financial products into the market in order to support economic growth and meet rising demand.

2 weeks ago


Mtanzania Business
BRELA, ARIPO zawapiga msasa wadau

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kwa kushirikiana na Shirika la Miliki Ubunifu Kanda ya Afrika (ARIPO) imetoa mafunzo kwa wadau juu ya uwasilishaji wa maombi kwa njia ya mtandao wa ARIPO. Akifungua mafunzo hayo Novemba 8, 2022 katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, kwa niaba ya

2 weeks ago


Taifa Leo Business
Corona ilivyofumbua macho kampuni ya macadamia 

NA SAMMY WAWERU JANGA la Covid-19 lilipolipuka mwaka wa 2020, shughuli na biashara nyingi ziliathirika kufuatia sheria na mikakati iliyowekwa kudhibiti maenezi zaidi. Amri ya ama kuingia au kutoka kaunti zilizotajwa kuwa katika hatari ya maambukizi na huduma za usafirishaji mizigo ng’ambo kwa ndege kusitikishwa kwa muda, sekta ya kilimo ilikadiria hasara kubwa. Ni gonjwa

3 weeks ago


Taifa Leo Business
Wanavyogeuza taka kuwafaidi kimaisha

NA LABAAN SHABAAN AGHALABU taka na harufu mbaya ni taswira ya kawaida katika maeneo ya masoko mijini na hali si tofauti katika Soko la Korogocho jijini Nairobi. Kundi la vijana na wanabiashara wa Korogocho wanadhibiti takataka sokoni kutengeneza makaa, mafuta, sabuni, kuni, chakula cha mifugo, mbolea na sharubati. Kulingana na ripoti ya Shirika la Chakula

3 weeks ago


Taifa Leo Business
TAHARIRI: Magavana wasifiche maovu ya watangulizi wao

NA MHARIRI MAGAVANA walioingia mamlakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti, wanafaa kutendea haki wananchi kwa kusaidia kulinda mali zote za umma. Katika baadhi ya kaunti ambazo zilipata magavana wapya, viongozi hao waliingia kwa mbwembwe tele wakionyesha nia ya kuleta mabadiliko. Mabadiliko makuu yalilengwa katika sekta ya fedha na ajira za wafanyakazi. Kuna magavana waliounda

3 weeks ago


Mtanzania Business
Vidokezo 5 vya kuchagua Wakala Bora wa fedha za kigeni nchini Rwanda

Kuchagua wakala wa fedha ni uamuzi muhimu sana ambao unaweza kufanya kama mfanyabiashara nchini Rwanda. Unaiamini kampuni hii kwa pesa zako zote kwa matumaini kwamba unaweza kuitumia kufanya biashara na kutoa pesa ulizoshinda wakati utakapofika. Ukifuata miongozo hii mitano ya kina, utapata wakala wa fedha ambaye anaaminika na anayeweza kuendana na matakwa yako bila kukuweka

3 weeks ago


Mtanzania Business
NMB yatoa elimu ya fedha kwa Chama cha Wakandarasi Wanawake Tanzania

Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB jana imetoa elimu kuhusu masuala ya fedha kwa mamia ya wakandarasi wanawake wa Kitanzania waliokutana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wakandarasi wanawake lililoandaliwa na Chama cha Wakandarasi Wanawake Tanzania (TWCA). Mkutano huo ulifadhiliwa na Benki ya NMB kwa shilingi milioni 10 ulifanyika chini ya kaulimbiu “Elimu ya

3 weeks ago


The Citizen Business
CRDB stocks drive Dar bourse trading

CRDB Bank Plc shares accounted for 67.5 percent of the turnover registered at the DSE from October 31 to November 4

3 weeks ago


Taifa Leo Business
JURGEN NAMBEKA: Vijana watumie maonyesho ya ASK kuzamia kilimo

NA JURGEN NAMBEKA MAONYESHO ya Kilimo (ASK) ya Kaunti ya Mombasa yanayoendelea katika uwanja wa Mkomani eneo la Nyali, ni fursa nzuri ya vijana Pwani kujifunza mengi kuhusu kilimo biashara. Kwa sasa, asilimia 13.84 ya vijana hawana ajira, hali ambayo inasononesha mno. Licha ya kuwa vijana wengi Pwani wamekuwa wakitafuta njia za kujikwamua kutoka kwa

3 weeks ago


Taifa Leo Business
TAHARIRI: Ushuru zaidi ni sawa ila sharti mianya yote ya wizi izibwe

NA MHARIRI RAIS William Ruto wiki jana ameelekeza Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini (KRA), kuhakikisha kuwa inafikisha pato la angaa Sh3 trilioni katika kipindi cha kifedha cha mwaka huu. Naam, shabaha hiyo iko juu zaidi na huenda isiwezekane ikizingatiwa kuwa mwaka uliopita wa kifedha KRA ilifanikiwa kukusanya Sh2 trilioni pekee. Hakika ongezeko la Sh1 trilioni

4 weeks ago


Mtanzania Business
W/biashara NMB:  Ziara ya Uturuki imetubadili kutoka uuzaji hadi uzalishaji

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital WANACHAMA wa Klabu za Biashara za Benki ya NMB (NMB Business Club), waliotembelea Maonesho ya Biashara, nchini Uturuki, wamerejea nchini, huku wakifichua kwamba ziara hiyo imebadili mbinu, mifumo na falsafa zao kiutendaji na kuwapandisha kutoka daraja la uchuuzi na uuzaji, hadi kuwa wazalishaji wa bidhaa. Oktoba 17, wafanyabiashara 15 wa

4 weeks ago


Taifa Leo Business
TUSIJE TUKASAHAU: Sakaja anataka kujenga masoko gani wakati yale yaliyoanzishwa na NMS hayajakamilika?

GAVANA wa Nairobi Johnson Sakaja amekataa Sh500 milioni zilizotengewa afisi yake kufadhili ujenzi wa makazi rasmi ya Gavana na Naibu Gavana. Akiongea juzi katika mtaa wa Kibera, Bw Sakaja ambaye alikuwa ameandamana na Rais William Ruto, alitangaza kuwa badala yake pesa hizo zitatumiwa katika ujenzi wa masoko ambayo yatafaidi wakazi wengi wa Nairobi. “Nimeona bajeti

1 month ago


The Citizen Business
What EU's type C charger rule means for Tanzania

Tanzanian traders are staring at stockouts and dead stock in coming years, following the European Union (EU)’s move to standardise all smartphone chargers to USB-C cables.

1 month ago


The Citizen Business
Why EAC goods must meet global rules

Poor quality and failure to meet international standards are some of the factors identified as causing almost a half of the products produced in East African states not to reach international markets, according to a trade expert.

1 month ago


The East African Business
After poachers, countries dread bushmeat trade

In Tanzania, official data estimates that more than 2,000 tonnes of illegal game meat is seized annually in the country.

1 month ago


Taifa Leo Business
Wamatangi aahidi kugeuza Kiambu kitovu cha maendeleo

NA LAWRENCE ONGARO WACHUUZI wa bidhaa tofauti wa mji wa Thika watapewa nafasi ya kuendesha biashara yao bila kutatizwa. Gavana wa Kiambu Bw Kimani Wamatangi, alifanya mkutano muhimu mnamo Jumanne na wachuuzi  hao mjini Thika kwa lengo la kutatua shida zao. Hivi majuzi ilani ya wiki mbili iliwekwa kwa wachuuzi hao Kwa lengo la kuwataka kuondoka

1 month ago


Mtanzania Business
Wanachama 15 NMB Business Club wapaa Uturuki

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital WAFANYABIASHARA 15 Wanachama wa Klabu za Biashara za Benki ya NMB (NMB Business Club), wameagwa jijini Dar es Salaam jana asubuhi na kuondoka jioni kwenda Istanbul, Uturuki kwa aziara ya siku tisa – kutembelea Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Trade Fairs 2022). Hafla ya kuwaaga wafanyabiashara hao imefanyika Makao Makuu ya

1 month ago


The East African Business
Ruto navigates EAC muddy waters with grand trade plan

He has been pushing the agenda of eliminating barriers in trade, customs, financial services and even cultures across the bloc.

1 month ago


The East African Business
Taxes still giving traders in East Africa sleepless nights

Business community complained that protectionist policies and taxes make products uncompetitive.

1 month ago


Mtanzania Business
Ufaransa yaridhishwa na mazingira ya Biashara, Uwekezaji nchini

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Ufaransa imeonesha kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini Tanzania. Kauli hiyo imetolewa na Seneta wa Ufaransa anayeshughulikia masuala ya Wafaransa waishio Nje ya Ufaransa, Olivier Cadic wakati alipokutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje

6 months ago


Mtanzania Business
Wafanyabiashara wapewa somo kumudu soko la nje

Na Clara Matimo, Mwanza Ili kuhakikisha wafanyabiashara wa ndani wanapata fursa ya kupeleka bidhaa zao kwenye masoko ya nje ya nchi wamepewa mafunzo  yatakayowasaidia kufahamu vikwazo visivyo vya kikodi waweze kuyafikia masoko hayo kwa urahisi. Mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoanza Mei 9 hadi 11, mwaka huu  yanatolewa jijini hapa  na Kituo cha Biashara za Kimataifa (ITC) kupitia Mradi

6 months ago


The Citizen Business
Prime Minister directs MSD officials probe

Prime Minister Kassim Majaliwa visited the Medical Stores Department (MSD) yesterday where he discovered suspicious findings, which forced him to direct the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to take immediate action against some officials.

6 months ago


The Citizen Business
TBS labs put on the CAG spotlight

Half of ten important areas of measurements under the Tanzania Bureau of Standards (TBS) are not accredited according to international standards, the Controller and Auditor General report reveals

6 months ago


The East African Business
Uhuru Kenyatta's scorecard at the helm of EAC

Region hails him for the admission of the DRC into the bloc, but he is also criticised for emerging trade disputes.

6 months ago


The Citizen Business
Over 7,000 coming for the Kilifair 2022

The international tourism trade fair ‘Karibu-Kilifair 2022’ is set to be held in Arusha starting June 3 to June 5 with a view to creating new business opportunities.

6 months ago


The Citizen Business
Over 7,000 visitors coming for the Kilifair 2022

The international tourism trade fair ‘Karibu-Kilifair 2022’ is set to be held in Arusha starting June 3 to June 5 with a view to creating new business opportunities.

6 months ago


Taifa Leo Business
Pigo kwa uchumi pato la kilimo likishuka mno

LEONARD ONYANGO na CECIL ODONGO RIPOTI ya Kuhusu Hali ya Uchumi wa Nchi 2022 Alhamisi ilifichua kuwa sekta ya Kilimo iliathirika zaidi mwaka 2021 kimapato ikilinganishwa na 2020. Kiwango cha mapato kilipungua kutoka asilimia 5.2 hadi asilimia tano. Ukosefu wa mvua ulichangia kupungua kwa mavuno katika sekta ya majanichai, mahindi na ngano. Kwa mujibu wa

6 months ago


Taifa Leo Business
Siri kuokoa nyanya zinazopotelea shambani na kwenye masoko

NA SAMMY WAWERU REUBEN Muriithi amekuwa mkulima wa nyanya kwa zaidi ya miaka minane na huzalisha kiungo hicho cha mapishi eneo tambarare na kwenye kivungulio. Alianza kilimo cha nyanya kiungani mwa jiji la Nairobi kabla kuhamia eneo la Meru anakokiendelezea. Sawa na wakulima wengine, Muriithi amekuwa akipitia changamoto za soko hasa kwa sababu ya masoko

6 months ago


The Citizen Business
Tucta says Samia has met workers’ demands by 90 percent

Tanzanian workers are happy with the way President Samia Suluhu Hassan was handling their demands, Trade Union Congress of Tanzania (Tucta) said yesterday.

6 months ago


Taifa Leo Business
Raila arai wakazi wa Mlima Kenya kwa kuahidi kuimarisha kilimo

NA IRENE MUGO MWANIAJI urais wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, Jumapili alirai wapigakura wa eneo la Mlima Kenya akiahidi kuimarisha uchumi, kujenga barabara na kuwasaidia wakulima. Bw Odinga alisema iwapo atatwaa uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, atapunguza bei ya mbolea, pembejeo za kilimo na kuhakikisha kuna soko la

6 months ago


Taifa Leo Business
Wakazi wa Syokimau wakerwa na kelele za vilabu

NA COLLINS OMULO WAKAZI wa Syokimau katika kaunti ya Machakos wamelalamikia ongezeko la kelele kutoka kwa vilabu 36 vya burudani vinavyoendeshwa biashara katika eneo hilo. Chini ya mwavuli wa Muungano wa Wakazi wa Syokimau (SRA), wakazi hao wanataka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wamiliki wa vilabu hivyo na maduka ya kuuza vileo kwa kuvunja sheria

6 months ago


Taifa Leo Business
Biashara zanoga Waislamu wakisherehekea Idd-Ul-Fitr

NA KALUME KAZUNGU WAUZAJI wa bidhaa mbalimbali wamefurahia mavuno ya faida huku Waislamu wakiendeleza mipango ya dakika za mwisho mwisho ya matayarisho ya sikukuu ya Idd-Ul-Fitr wanayosherehekea leo Jumatatu. Hii ni baada ya Kadhi Mkuu Ahmed Muhdhar kutangaza Jumapili kwamba mwezi ulikuwa umeonekana katika maeneo kadhaa nchini. Licha ya malalamishi kuhusu hali ngumu ya maisha, Taifa

6 months ago


The Citizen Business
How police beat vehicle theft syndicate in Tanzania

Data from the National Bureau of Statistics shows a five-year nationwide decline in motor vehicle and motorcycle theft with police attributing the steady downward trend to effective countermeasures

7 months ago


The Citizen Business
Data reveals how police beat vehicle theft syndicate in Tanzania

Data from the National Bureau of Statistics shows a five-year nationwide decline in motor vehicle and motorcycle theft with police attributing the steady downward trend to effective countermeasures

7 months ago


The East African Business
Kenya’s mitumba dealers push for setting up of re-export facilities

The traders’ association says if used clothes are graded locally for export, Kenya would create 14,000 new jobs.

7 months ago


Mtanzania Business
TanTrade wakutana na wadau wa ngozi nchini

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeratibu na kushiriki kikao cha wadau wa ngozi hapa nchini kilichowajumuisha wataalam kutoka Taasisi ya Ushirikiano ya Kijerumani (GiZ leather technical team). Kikao hicho kilifanyika Aprili 26, 2022 kwa lengo la kujadili hatua za awali za utekelezaji wa Mradi wa ‘Support towards Industrialization

7 months ago


The Citizen Business
Private teachers body and Tucta on collision course ahead of Labour Day

Tanzania Private School Teachers Union (TPTU) and Trade Union Congress of Tanzania (Tucta) yesterday tussled over registration of worker unions where the former claimed that some of the unions are discriminated against.

7 months ago


Mtanzania Business
Smart Africa Group yafuturisha wadau, watoto Dar

Sheikh wa Wilaya ya Ilala, Adam Mwinyipingu aliyemwakilisha Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zuber akizungumza jambo wakati wa futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Smart Africa Group (SAG) kwa wadau wao wa biashara na watoto yatima wanaolelewa katika Msikiti wa Mtambani, Dar es Salaam jana jioni.
Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya Smart Africa Group (SAG),Emmanuel Kawedi akizungumza jambo wakati wa futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wadau wao wa biashara na watoto yatima wanaolelewa katika Msikiti wa Mtambani,...

7 months ago