Mwanaspoti Sports

Mwamnyeto: Tulieni, Yanga bado ina nafasi

WAKATI mashabiki na wapenzi wa Yanga wakiingiwa ubaridi kutokana na timu hiyo kulazimishwa sare ya pili mfululizo kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha wa kikosi hicho, Bakar Mwamnyeto amewatuliza kwa kusema nafasi bado ipo kwani mechi mbili za uwanja wa nyumbani zitakazowavusha.

4 hours ago


Mwanaspoti Sports

Chanongo ashtukia kitu Pamba Jiji

NYOTA wa Pamba Jiji, Haruna Chanongo amewaonya mastaa wenzake wa kikosi hicho kutobweteka na ushindi walioupata katika michezo miwili mfululizo ya ugenini. Chanongo alisema kikosi chao kimefanya vizuri licha ya kukutana na upinzani mkali huku akisisitiza ligi ni ngumu na ushindani ni mkali na kila timu inataka kupanda. “Tusibweteke kwa hizi alama sita tulizopata tuendelee kujituma na kujitoa naamini mechi mbili za mwisho raundi ya kwanza tutakazocheza nyumbani, basi tutashinda, Wana Mwanza tuwatoe hofu kwa sababu kwa hizi mechi mbili...

4 hours ago


Habari Leo General

Wydad Vs Simba hesabu ngumu

MOROCCO: Wawakilishi wengine wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba watatupa karata yao muhimu usiku wa leo nchini Morocco dhidi ya Wydad Casablanca. Mchezo huo ni watatu kwa timu zote mbili huku kila upande ukitafuta pakutokea kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika michezo miwili iliyopita, ambapo bado timu hizo hazijaonja ladha ya ushindi …

The post Wydad Vs Simba hesabu ngumu first appeared on HabariLeo.


Mwanaspoti Sports

NYUMA YA PAZIA: Jude Bellingham sio Zidane wala Beckham

NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Florentino Perez atakuwa mmoja kati ya watu wanaoshangaa namna maisha yanavyokwenda. Katika umri wa miaka 76 ameona mambo mengi maishani mwake. Kazi yake kubwa ni mhandisi. Ameona namna ambavyo wakati fulani majengo ya Ulaya yalivyokuwa marefu zaidi duniani. Namna yalivyokuwa yanapendeza nyakati hizo. Ghafla majengo ya Bara la Asia yamekuwa majengo marefu zaidi duniani. Nyakati zinabadilika. Halafu atarudisha mawazo yake katika soka. Ndiye tajiri wa Real Madrid. Nadhani atakuwa ameona mambo mengi yanavyobadilika katika soka akiwa...

5 hours ago


Mwanaspoti Sports

Baresi akubali yaishe Mashujaa FC

MASHUJAA imecheza mechi nane mfululizo bila kupata ushindi katika Ligi Kuu Bara, kitu kimemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Mohamed 'Baresi' kuamua kubwaga manyanga kwa kuandika barua ya kujiuzulu kukinoa kikosi hicho.

9 hours ago


Wasomi Ajira General

Kikosi cha Simba vs Wydad AC Leo 9 December 2023 CAF Champions League

Kikosi cha Simba vs Wydad AC Leo 9 December 2023 CAF Champions League, Kikosi Simba vs Wydad Athletic Club, Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca , Simba vs Wydad leo, Kikosi cha Simba vs Wydad  Casablanca leo, Kikosi cha Simba dhidi ya Wydad Casablanca leo, Kikosi cha Simba leo 9 December 2023, Kikosi cha Simba leo 9.12.2023, Kikosi cha Simba vs Wydad AC Leo 9 December 2003 CAF

10 hours ago


Wasomi Ajira General

Kikosi cha Wydad Casablanca vs Simba leo 9 December 2023 CAF Champions League

Kikosi cha Wydad Casablanca vs Simba leo 9 December 2023 CAF Champions League, Kikosi cha Wydad AC vs Simba leo, Kikosi cha Wydad Athletic vs Simba Sc leo

10 hours ago


Wasomi Ajira General

Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca leo 9 December 2023

Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca leo 9 December 2023, Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca , Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca leo , Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca leo 9 December , Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca leo December 9 2023

10 hours ago


Wasomi Ajira General

Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca

Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca, Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca 9 December 2023, Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca December 9 2023, Kikosi cha Simba vs Wydad Casablanca leo

10 hours ago


Wasomi Ajira General

Kikosi cha Simba vs Wydad leo

Kikosi cha Simba vs Wydad leo, Kikosi cha Simba vs Wydad leo 9 December 2023, Kikosi cha Simba vs Wydad leo December 9 2023, Kikosi cha Simba vs Wydad

10 hours ago


Wasomi Ajira General

Wydad Athletics vs Simba Sc Today Results

Wydad Athletics vs Simba Sc Today Results, Wydad Athletics vs Simba Sc Today 9 December 2023 Results, Wydad Athletics vs Simba Sc Today , Wydad Athletics vs Simba Sc Results, Wydad Athletics vs Simba Sc December 2023

10 hours ago


Wasomi Ajira General

Wydad vs Simba Matokeo leo 9/12/2023 CAF Champions League

Wydad vs Simba Matokeo leo 9/12/2023 CAF Champions League, Wydad vs Simba Matokeo leo 9/12/2023 , Wydad vs Simba Matokeo leo, Simba vs Wydad leo

10 hours ago


Wasomi Ajira General

Matokeo Simba vs Wydad Casablanca leo 9 December 2023

Matokeo Simba vs Wydad Casablanca leo 9 December 2023, Matokeo Simba leo, Matokeo Simba dhidi ya Wydad Casablanca, Matokeo Simba vs Wydad Casablanca leo , Matokeo Simba vs Wydad Casablanca , Wydad VS Simba, Matokeo Simba vs Wydad Casablanca 9/12/2023

10 hours ago


Wasomi Ajira General

Matokeo Wydad Casablanca vs Simba leo

Matokeo Wydad Casablanca vs Simba leo, Matokeo Wydad Casablanca vs Simba leo 9 December 2023, Matokeo Wydad Casablanca vs Simba leo December 9 2023, Matokeo Wydad Casablanca vs Simba

10 hours ago


Habari Leo General

EPL kuendelea leo

LIGI Kuu nchini England ‘EPL’ inaendelea leo kwa michezo kadhaa, mchezo wa mapema utakuwa kati ya Crystal Palace dhidi ya Liverpool saa 9:45 Alasiri. Michezo mingine itayopigwa saa 12 jioni, Brighton dhidi ya Burnley, Manchester United itakuwa Old Trafford kuwaalika Bournemouth, Sheffield United dhidi ya Brentford. Mchezo mwingine utakaopigwa muda huo, Wolver dhidi ya Notts …

The post EPL kuendelea leo first appeared on HabariLeo.


Habari Leo General

Kampuni uchimbaji madini yapandikiza vifaranga vya samaki

KAMPUNI ya Diamond Williamson Ltd inayojishughulisha na uchimbaji wa madini ya almas iliyopo Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, wamepandikiza vifaranga 5000 vya samaki aina ya Sato katika bwawa jipya la Mwang’olo ili kuinua kipato cha wananchi na chakula. Upandikizaji wa vifaranga vya samaki aina hiyo limefanyika jana tarehe 8,2023 kwa kuzinduliwa na Katibu Tawala wa …

The post Kampuni uchimbaji madini yapandikiza vifaranga vya samaki first appeared on HabariLeo.


Mwanaspoti Sports

Simba, Yanga kazi imeanza WPL

KUMEKUCHA Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), wakati mechi za Ngao ya Jamii zikipigwa leo, huku vigogo Simba Queens, Yanga Princess, JKT Queens na Fountain Gate Princess zikisaka taji hilo linaloshindaniwa kwa mara ya kwanza kwenye ligi hiyo. Simba na Yanga zenyewe zinavaana leo jioni zitashuka kwenye Uwanja wa Azam Complex katika ufunguzi wa ligi hiyo huku kila timu ikiahidi kupambana ili ivuke na kwenda fainali itakayopigwa Desemba 12. Mechi hiyo ya Kariakoo Dabi itapigwa saa 12 jioni baada ya ile...

11 hours ago


Mwanaspoti Sports

Hii Azam FC, mnahesabu lakini?

UKICHUNGULIA msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa pale kileleni utawakuta Matajiri wa Dar es Salaam, Azam FC wakiwa wamepoa na alama zao 25, baada ya mechi 12, za Ligi Kuu huku uwanjani wakitandaza soka safi. Unaweza kusema wameamka na sasa wanautaka ubingwa wa ligi ambao wamewahi kuuonja mara moja tu walipobeba kombe msimu wa 2013/2014 bila kupoteza mechi yeyote huku kikosi chao kikiwa kimejaa mastaa watupu. Kwa sasa Azam inaongoza karibu kwenye kila kitu chanya katika ligi msimu huu kasoro...

11 hours ago


Mwanaspoti Sports

Simba, Wydad mechi ya kisasi, mastaa waapa

MASHABIKI wa Simba, wanasikilizia chama lao likishuka uwanjani usiku wa leo kwa mara ya pili chini ya kocha mkuu Abdelhak Benchikha ugenini dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco kwenye mechi ya tatu ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku mastaa wa timu hiyo wakiwatoa hofu kwa kuwaambia ‘msiwaze sana, hawa wetu’. Simba itashuka kwenye Uwanja wa Marrakech, Morocco katika pambano la Kundi B ikiwa na kumbukumbu ya kupata sare mbili mfululizo za mechi za awali, lakini mastaa wa Simba wameapa kushinda...

12 hours ago


Mwanaspoti Sports

Kwa hesabu hizi Yanga anatoboa makundi CAF

Matokeo ya suluhu iliyoipata Al Ahly nyumbani Cairo dhidi ya CR Belouizdad yameifanya Yanga kuwa na matumaini ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga ilipata sare ya bao 1-1 na Medeama ya Ghana mchezo wa tatu wa kundi D na kufikisha pointi mbili ikisalia nafasi ya mwisho kwenye msimao. Matokeo ya ushindi kwenye mechi mbili zijazo dhidi ya Medeama na CR Belouizdad kwenye Uwanja wa Mkapa na angalau sare dhidi ya Al Ahly ugenini, itaifanya Yanga kufikisha...

23 hours ago


Habari Leo General

Yanga nafasi ipo CAF

LICHA ya sare ya leo, kimahesabu klabu ya Yanga bado ina nafasi ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika endapo itashinda michezo miwili ya nyumbani na kupata sare Misri. Sare ya bao 1-1 ya leo inaifanya Yanga kuwa na pointi 2, katika msimamo wa kundi D, Al-Ahly wanaongoza kwa pointi 5, CR Belouizdad …

The post Yanga nafasi ipo CAF first appeared on HabariLeo.


Mwanaspoti Sports

Yanga matumaini bado yapo, Al Ahly ikishikwa

KLABU ya Yanga imeshikiliwa katika sare ya 1-1 dhidi ya Medeama ya Ghana, lakini makosa ya uamuzi yaliinyima bao ambalo lingetosha kuipa ushindi wa kwanza katika mechi yao ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Simba Queens tayari kwa Derby

KIKOSI cha Simba Queens chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Mussa Hassan Mgosi kipo tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii utakaokutanisha na Yanga Princess, Desemba 09 mwaka huu. Timu nne zitashiriki michuano hiyo hatua ya nusu fainali mechi zitapigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), JKT Queens itaanza kuvaana na Fountain Gate Princess saa 9:00 alasiri kabla ya saa 12:00 jionii Simba akikipiga na Yanga. Akizungumza na Mwanaspoti jana, Mgosi alisema wachezaji wote walifanya...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Wachezaji Yanga waomboleza vifo Hanang kimataifa

Yanga Iko uwanjani muda huu ikicheza mechi ya ugenini dhidi ya Medeama ya Ghana lakini ikautumia mchezo huo kuomboleza vifo vya janga la mafuriko yaliyotokea Hanang Mkoa wa Manyara. Katika mchezo ambao unaendelea Sasa wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaopigwa Uwanja wa Baba Yara wachezaji wa Yanga wamefunga vitambaa vyeusi katika mikono yao ya kushoto. Hata hivyo uamuzi huo wa Yanga umepata baraka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambapo mabingwa hao wa Tanzania waliwasilisha maombi ya kutumia mchezo kuomboleza...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Yanga yaomboleza vifo Hanang kimataifa

Yanga Iko uwanjani muda huu ikicheza mechi ya ugenini dhidi ya Medeama ya Ghana lakini ikautumia mchezo huo kuomboleza vifo vya janga la mafuriko yaliyotokea Hanang Mkoa wa Manyara. Katika mchezo ambao unaendelea Sasa wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaopigwa Uwanja wa Baba Yara wachezaji wa Yanga wamefunga vitambaa vyeusi katika mikono yao ya kushoto. Hata hivyo uamuzi huo wa Yanga umepata baraka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambapo mabingwa hao wa Tanzania waliwasilisha maombi ya kutumia mchezo kuomboleza...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Ihefu yafufuka, Mashujaa hali tete Ligi Kuu

KLABU ya Ihefu imefufua matumaini katika Ligi Kuu Bara baada ya jioni ya leo kui-buka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Tabora United katika mchezo mkali na wa kusisimua uliopigwa kwenye Uwanja wa Highlands Estate Mbarali jijini Mbeya. Katika mchezo huo Ihefu ilipata mabao yake kupitia kwa Vedastus Mwihambi ali-yefunga yote mawili dakika ya 39 na 56 huku lile la kufutia machozi kwa upande wa Tabora United likifungwa kwa kichwa na nyota wa kikosi hicho Andy Bikoko dakika ya...

1 day ago


Taifa Leo General

Arsenal wataruka kamba ya Aston Villa ugani Villa Park?

LONDON, Uingereza LONDON, Uingereza: Baada ya Tottenham na Newcastle kuduwazwa Alhamisi, macho sasa yanaelekezwa kwa viongozi Arsenal wanaotarajiwa kupata mtihani mgumu dhidi nambari tatu Aston Villa ugani Villa Park. Tottenham ya kocha Ange Postecoglou walitangulia kufunga kupitia kwa Cristian Romero dakika ya 11, lakini wakaishia kunyamazishwa na West Ham kupitia mabao ya kipindi cha pili

1 day ago


Mwanaspoti Sports

AKILI ZA KIJIWENI: Kwa heri Basena, tuliyajua mapema

NI wachache sana wanaoweza kushangaa uamuzi wa Ihefu kumfukuza kocha Moses Basena kutoka Uganda ambaye amehudumu katika muda usiofika hata miezi miwili. Ilikuwa iko wazi kwamba Basena asingeweza kudumu kwa muda mrefu pale Ihefu kutokana na hulka na misimamo yake pamoja na zile za wachezaji wa Kitanzania. Basena ni kocha mkali ambaye huwa hapendi wachezaji magoigoi na wasiotambua wajibu wao katika timu iwe wakati wa mechi au muda wa mazoezi naye mara zote amekuwa akitaka wachezaji kuvuja jasho na kucheza...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

AKILI ZA KIJIWENI: Muda wa usajili kutajirisha wajanja wajanja

KALENDA yangu inanionyesha kuwa leo ni Desemba 8 na zimebaki siku nane tu ili dirisha dogo la usajili kwa timu za Ligi Kuu ya NBC, Ligi ya Championship na ile ya wanawake kufunguliwa. Hapa timu zinapata fursa ya kuimarisha vikosi vyao kulingana na mahitaji ambayo kila moja imeyapata kulingana na tathmini ya mabenchi ya ufundi kwa michezo ambayo imeshachezwa ya mwanzoni mwa msimu. Huu ndio muda wa mavuno kwa wachezaji hasa wale walioonyesha viwango vizuri kwenye timu tofauti ambapo wanaweza...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

AKILI ZA KIJIWENI: Watani matokeo makundi yawape adabu

GHAFLA tu nimezikumbuka zile hesabu zilizokuwa zinapigwa baada ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu kupangwa, Simba ikidondokea Kundi B pamoja na Wydad, Asec Mimosas na Jwaneng Galaxy huku Yanga ikipangwa Kundi D na Al Ahly, CR Belouizdad na Medeama. Kundi kubwa la watu wa Simba likaanza hesabu ambazo zitaipeleka timu robo fainali kwamba watashinda mechi tatu nyumbani halafu katika mechi tatu za ugenini watachukua pointi nne dhidi ya Asec na Jwaneng Galaxy jambo litakalofanya imalize na pointi...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

NIONAVYO: Robo fainali ya Simba, Yanga bado kitendawili

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi inaendelea kwa kuingia raundi ya tatu wikiendi hii, leo kukiwa na mechi tatu ikiwamo ya Yanga itakayokuwa ugenini kuvaana na Medeama ya Ghana. Mechi nyingine za leo ni ile ya Al Ahly dhidi ya CR Belouizdad pamoja na ile ya Etoile du Sahel na Al Hilal, kabla ya kesho Jumamosi kupigwa michezo mingine minne ukiwa ule wa Wydad itakayoialika Simba jijini Marrakech, Morocco. Hadi sasa ni kwamba hakujapambazuka kwa timu zote...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Dube aanika siri ya 5-0 za Azam FC

AZAM gari lao limewaka kwani kwa sasa wanagawa vichapo kila timu inayokutana nayo kwani jana usiku iliinyoa KMC kwa mabao 5-0, huku mshambuliaji hatari wa timu hiyo kufunga mara mbili na kufunguka siri ya juu ya ushindi mfululizo wa timu hiyo na mzuka walionao kwa sasa kwenye Ligi Kuu Bara.

1 day ago


Habari Leo General

Medeama Vs Yanga mechi iliyobeba hatma

KUMASI, Ghana: Mabingwa wa kandanda nchini, Yanga leo wanatupa karata muhimu mno katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakapokuwa wageni wa Medeama ya Ghana katika mchezo wao wa tatu wa makundi ya michuano hiyo. Huu ni mchezo uliobeba dira ya wababe hao wa mitaa ya  Twiga na Jangwani kwani kama watashinda mchezo huo basi …

The post Medeama Vs Yanga mechi iliyobeba hatma first appeared on HabariLeo.


Milard Ayo General

Chelsea wakataa ofa zozote za kumnunua Armando Broja

Chelsea wanaripotiwa kukataa ofa zozote za kumnunua Armando Broja wakati wa dirisha dogo la usajili la Januari, licha ya kwamba wapinzani wao Fulham wana nia ya kutaka kumnunua mshambuliaji huyo. Broja ametatizika kwa muda wa kucheza Stamford Bridge msimu huu, akiichezea The Blues mara saba pekee katika mashindano yote na kufunga mara moja pekee hadi

1 day ago


Milard Ayo General

Ter Stegen afanyiwa upasuaji ‘uliofanikiwa’ kwenye jeraha la mgongo

Kipa wa Barcelona, ​​Marc-Andre ter Stegen amefanyiwa upasuaji ambao klabu hiyo imeeleza kuwa “uliofanikiwa” kwenye jeraha la mgongo ambalo limemlazimu kukosa mechi za hivi majuzi. Ter Stegen hajaichezea Barca tangu kabla ya mapumziko ya kimataifa ya Novemba na utimamu wake ulikuwa unatathminiwa mchezo hadi mchezo, ikitegemea maumivu na usumbufu wa mgongo wake. Uamuzi wa upasuaji

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Simba yamtisha beki wa Wydad

WAKATI klabu ya Simba ikiendelea na maandalizi kabla ya kuivaa Wydad Casablanca kesho jijini Marrakech, Morocco huku beki wa timu hiyo ya Afrika Kaskani, Arsene Zolla akionekana kuingiwa ubaridi kwa kuihofia Simba. Beki huyo ameliambia Mwanaspoti kwa simu kuwa mchezo dhidi ya Simba siyo rahisi kutokana na mabadiliko ya kikosi cha wekundu hao. Zolla alisema, Simba sio timu rahisi kutokana na wachezaji walionao kwenye kikosi chao ambao wengi ni wale wenye uzoefu mkubwa na mashindano kama hayo ya Ligi ya...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Hausung:Yanga ni kubwa ila tunayo ASFC

WAKATI michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) hatua ya 64 ikitarajia kuendelea kati ya Desemba 15-17, Hausung inasubiri mchezo dhidi ya Yanga kwa hamu kubwa ili kuionesha maajabu Tanzania. Hausung inashiriki michuano hiyo kwa mara ya kwanza baada ya kufanya vizuri hatua ya awali ilipoichapa Mgololo FC 2-0, katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa. Timu hiyo yenye makazi yake katika Kata ya Ihanga huko Igomini nje ya Mji wa Njombe, ndio mabingwa wa mkoa huo ilipoilaza Michael Jackson...

1 day ago


Milard Ayo General

Luis Suárez ashinda mpira wa dhahabu kama mchezaji bora wa ligi ya Brazil

Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suárez alishinda Mpira wa Dhahabu siku ya Alhamisi kama mchezaji bora wa msimu katika ligi ya Brazil kabla ya kuondoka kwake katika klabu hiyo. Suárez mwenye umri wa miaka 37, ambaye alicheza na Lionel Messi huko Barcelona baada ya misimu kadhaa na Liverpool na Ajax, alifunga mabao 17 kwa mshindi wa

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Mashujaa yachukua mfungaji bora

Klabu ya Mashujaa imedaka saini ya aliyekuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu wa 2016/17, Abrahman Mussa kwa jili ya kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji.

1 day ago


Habari Leo General

Bashungwa awasili shinyanga kukagua athari za mvua

SHINYANGA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasili mkoani  Shinyanga kwa ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme,  Desemba 8, 2023. Katika ziara hiyo, Waziri Bashungwa atakagua miundombinu ya barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa za El-nino zinazoendelea kunyesha katika mkoa huo pamoja na maeneo mbalimbali  nchini. Miundombinu hiyo iliyoharibiwa na …

The post Bashungwa awasili shinyanga kukagua athari za mvua first appeared on HabariLeo.


Mwanaspoti Sports

Yasaka rekodi tu kwa Mnyama ASFC

WAKATI Tembo FC ikipangwa dhidi ya Simba, timu hiyo ya mkoani Tabora imesema inahitaji kuandika historia kwa kushinda mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na kufuzu hatua inayofuata. Timu hiyo kwa sasa haishiriki mashindano yoyote zaidi ya michuano hiyo ya shirikisho, inahitaji kuweka historia kwa kuifunga Simba na kutinga 32 bora ya ligi hiyo. HISTORIA YAO Tembo FC yenye maskani yake wilayani Nzega mkoani Tabora siyo wageni kwenye soka la ushindani kwani waliwahi kushiriki Ligi Daraja la...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Tembo yasaka rekodi tu kwa Mnyama ASFC

WAKATI Tembo FC ikipangwa dhidi ya Simba, timu hiyo ya mkoani Tabora imesema inahitaji kuandika historia kwa kushinda mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na kufuzu hatua inayofuata. Timu hiyo kwa sasa haishiriki mashindano yoyote zaidi ya michuano hiyo ya shirikisho, inahitaji kuweka historia kwa kuifunga Simba na kutinga 32 bora ya ligi hiyo. HISTORIA YAO Tembo FC yenye maskani yake wilayani Nzega mkoani Tabora siyo wageni kwenye soka la ushindani kwani waliwahi kushiriki Ligi Daraja la...

1 day ago


Wasomi Ajira General

Matokeo Al Ahly vs CR Belouizdad leo 8 December 2023

Matokeo Al Ahly vs CR Belouizdad leo 8 December 2023, Matokeo Al Ahly vs CR Belouizdad leo , Matokeo Al Ahly vs CR Belouizdad , Matokeo Al Ahly vs CR Belouizdad , Al Ahly vs CR Belouizdad leo , Matokeo ya Al Ahly leo

1 day ago


Wasomi Ajira General

Medeama vs Yanga Matokeo Leo 8 December 2023

Medeama vs Yanga Matokeo Leo 8 December 2023, Medeama vs Yanga Matokeo Leo , Matokeo Yanga vs Medeama leo, Matokeo Yanga dhidi ya Medeama

1 day ago


Wasomi Ajira General

Kikosi cha Yanga Vs Medeama SC Leo 08 December 2023

Kikosi cha Yanga Vs Medeama SC Leo 08 December 2023, Yanga vs Medeama, Medeama vs Yanga

1 day ago


Wasomi Ajira General

Line Up Yanga vs Medeama Kikosi cha Leo 8 December 2023

Line Up Yanga vs Medeama Kikosi cha Leo 8 December 2023, Kikosi cha Yanga vs Medeama leo, Kikosi cha Yanga dhidi ya Medeama leo 8 December 2023, Kikosi cha Yanga leo, Kikosi Yanga vs Medeama leo

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Simba yapewa ramani kuwaua Waarabu

NYOTA wa zamani wa Simba wameipa ramani timu hiyo ya kuibuka na ushindi kesho katika mchezo wa tatu wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika wakati itakapokuwa wageni wa Wydad Casablanca ya Morocco katika mechi itakayopigwa Marrakesh.

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Lomalisa aisubiria Medeama Dar

Licha ya kuukosa mchezo wa leo wa ugenini dhidi ya Medeama wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika huko Kumasi, Ghana, beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa atakuwa tayari kuitumikia timu yake katika mechi ya marudiano baina ya timu hizo itakayochezwa Desemba 20 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Yanga sasa wanaanzia hapa

YANGA wameamua kwamba kuanzia leo saa 1: 00 usiku dhidi ya Medeama kila dakika ni fainali kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Baba Yara jijini Kumasi ambao ni mji ambao una kadiriwa kuwa na watu 3.348 Milioni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2020 nchini humo. Habari njema kwa Yanga ni kutua kwa staa wao, Stephanie Aziz KI ambaye mara baada ya mchezo wa Al Ahly alitimka nchini kwa ruhusa maalum akirejea...

1 day ago


Mwanaspoti Sports

Haikuwa rahisi Twiga Stars kufuzu Wafcon

HATIMAYE ile kiu ya Twiga Stars kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) imetimia baada ya juzi kufuzu kwa jumla ya mabao 3-2 dhidi ya Togo ugenini na kufuta unyonge wa miaka 13. Stars ilifuzu baada ya kuanza vyema mchezo wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam, Novemba 30 kwa ushindi wa mabao 3-0, mawili yakiwekwa kambani na Opah Clement anayeichezea timu ya Besiktas ya Uturuki na moja wakijifunga wageni na katika marudiano...

1 day ago


Peruzzi