Mtanzania News
Serikali yalenga kuimarisha usawa  mapambano virusi vya UKIMWI

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, George Simbachawene amepongeza Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania(TACAIDS), Wizara ya Afya na Wizara ya TAMISEMI katika Mkakati wa kupambana na Ukimwi kama janga la kitaifa. Waziri Simbachawene ameeleza hayo Novemba 29, 2022 jijini Dar es saalam, wakati wa uzinduzi

3 hours ago


Taifa Leo News
Tunisia ina kibarua kulaza Ufaransa leo Jumatano

NA MASHIRIKA AL RAYYAN CITY, Qatar UFARANSA tayari wamefuzu kwa hatua ya 16-Bora, lakini leo Jumatano watakutana na Tunisia ambao ushindi utafufua matumaini yao ya kutinga katika raundi hiyo ya maondoano. Baadhi ya mashabiki wanatarajia kocha Didier Deschamps kutumia wachezaji wengi wa akiba kutokana na sababu hiyo, lakini huenda mkongwe huyo akateremsha uwanjani kikosi kamili

6 hours ago


Taifa Leo News
Maandamano: Raila akunja mkia

CHARLES WASONGA Na MARY WANGARI KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga amefutilia mbali mkutano aliopanga kuuongoza leo Jumatano katika uwanja wa Kamukunji, Nairobi siku moja baada ya Rais William Ruto kuonya mrengo huo dhidi ya kuchochea fujo nchini. Muungano huo sasa umesema mkutano huo utafanyika Desemba 7 katika uwanja huo huo wa kihistoria,

7 hours ago


Taifa Leo News
Wachungaji Thika wawatolea wito Wakenya waiunge mkono serikali

NA LAWRENCE ONGARO WACHUNGAJI kutoka kaunti ndogo ya Thika, wametaka Wakenya kuiombea nchi hii ili serikali mpya iweze kufanikiwa katika kutekeleza ahadi ilizotoa. Wakiongozwa na Askofu wa Kanisa la Calvary Chosen Centre, Thika, David Gakuyo, walisema serikali mpya ya Rais William Ruto, inastahili kupewa muda wake ili iweze kutekeleza ahadi zake kwa wananchi. Alisema “huu

9 hours ago


Taifa Leo News
Afueni Mombasa kaunti ikirudishia vijana Kazi Mtaani

NA WINNIE ATIENO VIJANA wa Mombasa watapata afueni baada ya Bunge la Kaunti kupitisha mswada ambao utawapa vibarua vya kusafisha mazingiri ya mji huo. Kwa mujibu wa madiwani wa wadi za kaunti hiyo, mpango huo wa kugatua ‘Kazi Mtaani’ utasaidia vijana wasiopungua 1,500 kupata riziki. Mswada huo ulipitishwa wiki chache baada ya serikali ya kitaifa

9 hours ago


Mtanzania News
Wavuvi Bukoba wapigwa msasa jinsi ya kukabilina na majanga

*Ni kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Na Renatha Kipaka, Bukoba Siku chache baada ya kutokea ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air mjini Bukoba na kuua watu 19 na majeruhi 24, baadhi ya wavuvi walioshiriki katika uokozi wamepigwa msasa. Wavuvi hao ni kutoka katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na wengine nikutoka Katika wilaya

22 hours ago


Taifa Leo News
Kundi C: Argentina na Poland kukabiliana kesho Jumatano

NA MASHIRIKA DOHA, Qatar ARGENTINA ambao wanapewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa mwaka huu 2022 watamaliza katika nafasi ya kwanza iwapo watashinda Poland kwenye mechi ya mwisho ya Kundi C, na kuongoza kwa pointi sita. Baada ya kukumbana na kichapo cha 2-1 mbele ya Saudi Arabia katika mechi ya ufunguzi, vijana hao wa kocha

1 day ago


Taifa Leo News
Zogo lazuka kikao cha kutimua gavana

NA DAVID MUCHUI KIKAO cha kushirikisha umma kuhusu hatua ya kumtimua Gavana wa Meru, Kawira Mwangaza kilisitishwa mara kadhaa huku makundi hasimu yakikabiliana vikali katika Bunge la Kaunti hapo jana Jumatatu. Wakazi wanaozidi 700 walijitokeza Jumatatu asubuhi kutoa maoni yao kuhusu mswada wa utimuaji utakaojadiliwa hapo kesho Jumatano. Mawasilisho yanayozidi 100 yaliyoandikwa na kuwasilishwa huku

1 day ago


Taifa Leo News
Kamagiras 20 wakamatwa na polisi katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Kwa Reuben

NA SAMMY KIMATU [email protected] KINARA wa polisi eneo la Makadara Bw Timon Odingo na mkuu kitengo cha DCIO, Bw Felix Nyamai walishirikiana kuvunja mipango ya kundi haramu la wahalifu wanaojiita Kamagiras. Katika operesheni hiyo iliyofanyika maeneo ya mtaa wa mabanda wa Mukuru-Kwa Reuben, washukiwa 20 walikamatwa. Isitoshe, polisi walinasa pikipiki nne zinazoaminika kuwa ziliibiwa. Waendeshaji

1 day ago


Taifa Leo News
Chumvi nyingi huzidisha msongo wa mawazo – Utafiti

NA CECIL ODONGO ULAJI wa chumvi nyingi umekuwa ukihusishwa na maradhi tele kama vile shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, kiharusi kati ya mengineyo. Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza kuwa mtu anafaa kula chini ya gramu tano za chumvi kwa siku.Kwa mujibu wa WHO, idadi kubwa ya watu, wakiwemo Wakenya, hula gramu 10 au

1 day ago


Taifa Leo News
Makatibu: Mahakama yatupilia mbali kesi za kupinga bunge kuwapiga msasa watu 51

NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Kuanua Mizozo ya Wafanyakazi na Waajiri imetupilia mbali kesi za kupinga bunge kuwapiga msasa watu 51 waliopendekezwa na Rais William Ruto kuwa makatibu wakuu wa wizara mbalimbali. Jaji Mathew Nduma Nderi amesema kesi hizo zingewasilishwa baada ya uteuzi kamili kutekelezwa.

1 day ago


Taifa Leo News
Viongozi washinikiza Kuria atimuliwe kwa mpango wake wa GMO

NA SHABAN MAKOKHA BAADHI ya viongozi kutoka eneo la Magharibi wanataka wabunge waanzishe hoja ya kutokuwa na imani na Waziri wa Biashara, Moses Kuria. Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa na naibu wake Ayub Savula walisema kuagizwa kwa mahindi ya GMO kutaathiri uzalishaji wa mahindi ya humu nchini. Bw Barasa aliongeza kwamba wanaoathirika pakubwa ni wakulima

1 day ago


Taifa Leo News
Korti yazima serikali kuagiza mahindi tata

NA LEONARD ONYANGO MAHAKAMA imepiga breki mpango wa serikali ya Rais William Ruto wa kuagiza magunia milioni 10 ya mahindi yaliyobadilishwa maumbile (GMO). Jaji Thande Mugure wa Mahakama Kuu pia amewazima mawaziri Moses Kuria (Biashara) na Mithika Linturi (Kilimo) kuchapisha kwenye Gazeti Rasmi la Serikali taarifa ya kuruhusu wafanyabiashara kuleta humu nchini mahindi ya GMO,

1 day ago


Taifa Leo News
Cherera afeli kufika mwenyewe mbele ya JLAC

NA CHARLES WASONGA NAIBU mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Juliana Cherera Jumatatu, Novemba 28, 2022, alifeli kufika mbele ya Kamati ya Bunge Kuhusu Haki na Masuala ya Kitaifa (JLAC) inayosikiliza ombi la kutimuliwa kwake. Badala yake, Cherera, ambaye alitarajiwa kujitetea mbele ya kamati hiyo inayoongozwa na Mbunge wa Tharaka George Murugara,

1 day ago


Taifa Leo News
TALANTA: Dogo nguli wa Afrobeat

NA PATRICK KILAVUKA SHAUKU ya moyo wake ni kuwa mwanamitindo siku za majaliwa. Amezamia kujituma kuchonga talanta yake kupitia kusakata densi na kuimarisha uelewa wake wa masomo ya lugha na jamii kuimarisha njia faafu za utangamano na uhusiano mwema kwani, anaamini hivyo ndivyo vigezo ambavyo vinaweza kumpatia upenyo. Susan Wairimu,12, mwanafunzi wa darasa la nane

1 day ago


Taifa Leo News
Ruto afuata nyayo za Moi katika kutawala

NA BENSON MATHEKA RAIS William Ruto amejitokeza kuwa mwanafunzi stadi wa mlezi wake wa kisiasa, Daniel Moi kwa kuiga mbinu alizotumia marehemu rais wa pili wa Kenya katika utawala wake wa miaka 24. Rais Ruto alilelewa kisiasa na Mzee Moi akiwa mmoja wa viongozi wa kundi la vijana wa chama cha Kanu lililofahamika kama YK

2 days ago


Taifa Leo News
Hasira polisi aliyehusishwa na ubakaji akitoweka

NA MAUREEN ONGALA VIONGOZI katika Kaunti ya Kilifi, wameghadhabishwa baada ya idara ya usalama kudai haijui aliko afisa wa polisi alyehusishwa na ubakaji katika kaunti hiyo. Polisi wa kituo cha Marereni, eneobunge la Magarini, alikuwa amedaiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 15 mnamo Novemba 5. Naibu Kamanda wa Polisi wa Kilifi, Bw Willy Simba,

2 days ago


Taifa Leo News
DRC kuandaa uchaguzi mkuu mzozo ukichacha

NA MASHIRIKA KINSHASA, DRC JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) itafanya uchaguzi ujao wa urais Desemba 20, 2023. Tangazo hilo la tume ya uchaguzi lilijiri huku wanamgambo wakiendeleza mashambulio yao mashariki mwa taifa hilo, ambapo wamewafurusha maelfu ya watu kutoka makwao. Katika taifa hilo, uchaguzi wa urais huwa unafanyika wakati sawa na chaguzi za ubunge,

2 days ago


Taifa Leo News
Coe afurahia juhudi za Kenya kuimarisha vita dhidi ya pufya

AYUMBA AYODI Na GEOFFREY ANENE RAIS wa Shirikisho la Riadha Duniani Sebastian Coe amefurahia hatua ya Kenya kuahidi kuwekeza raslimali zaidi katika vita dhidi ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Katika taarifa kwa Waziri wa Michezo, Ababu Namwamba mnamo Jumamosi, Coe alipongeza mpango wa serikali wa kukabiliana na hatari ya kufanya uovu huo. Taarifa

2 days ago


Taifa Leo News
ZARAA: Mfumo ulioboreshwa kuendeleza kilimo mijini

NA SAMMY WAWERU MOJAWAPO ya ajenda kuu za serikali ni kukabiliana na kero ya uhaba na usalama wa chakula nchini.  Hata ingawa kuidhinishwa kwa uagizaji bidhaa za GMO kumezua mjadala moto, Waziri wa Biashara Moses Kuria mwishoni mwa wiki iliyopita alitangaza kuanza kununuliwa nje mahindi yaliyoboreshwa kupitia mfumo huo tata. Akitetea uamuzi huo, Waziri Kuria

2 days ago


Taifa Leo News
TUSIJE TUKASAHAU: Walioathiriwa na wanyamapori eneo la Masimba waitaka serikali iwalipe fidia

HAZINA ya Kitaifa inapaswa kutenga fedha kila mwaka za kushughulikia wanaothiriwa na mizozo kati ya binadamu na wanyamapori. Hii ni kwa sababu Sheria ya Fidia kwa Wanaoshambuliwa na Wanyamapori ilianza kutekelezwa Novemba 2013 baada ya kutiwa saini na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Ni kwa misingi ya sheria hii ambapo mnamo Julai 14, 2022, aliyekuwa Waziri

2 days ago


Mtanzania News
Kwa nini tubadili mfumo wa usajili magazeti

Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital SERIKALI imeshauriwa kubadili utaratibu wa toaji leseni za magazeti kutoka mfumo wa sasa wa kila mwaka badala yake yapewe usajili wa kudumu uliokuwa ukitumia awali. Aidha, imeshauriwa kuwepo kwa sheria ya adhabu ya miezi sita jela kwa kampuni zitakazoshindwa kulipa fedha za matangazo kwa vyombo vya habari ndani ya siku

2 days ago


Taifa Leo News
Usalama waimarishwa Bondeni mitihani iking’oa nanga

NA ERIC MATARA SERIKALI imeimarisha usalama katika maeneo ya Bonde la Ufa yanayokumbwa na uhalifu mtihani wa kitaifa wa darasa la nane (KCPE) unapoanza leo Jumatatu. Baadhi ya vituo vya mitihani katika maeneo ambayo hushuhudia mashambulio ya majangili kila mara yamehamishiwa maeneo salama. Kamishna wa Bonde la Ufa Maalim Mohammed jana alifichua kuwa usalama umeimarishwa

2 days ago


Taifa Leo News
Kalonzo tayari ‘kurithi’ Raila kura za 2027

NA PIUS MAUNDU KINARA wa Wiper Kalonzo Musyoka ametangaza kuwa atawania urais 2027 huku akisema kuwa tayari anaungwa mkono na ngome ya kinara wa Azimio Raila Odinga. Bw Musyoka amesema kuwa yuko tayari kupambana na Rais William Ruto ili kumzuia ‘kumpokonya’ eneo la Ukambani. Makamu huyo wa Rais wa zamani, aliwataka wakazi wa eneo la

2 days ago


Mtanzania News
Tuendelee kuishinikiza Serikali kuhusu mabadiliko sheria ya habari- Wanahabari

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wadau wa Tasnia ya Habari nchini wamesema kuwa mabadiliko ya Sheria ya Habari ni muhimu katika kuvirejeshea nguvu vyombo hivyo. Hivyo wamehimiza kuendelea kuishinikiza serikali juu ya mabadiliko hayo. Wakizungumza na Mtanzania Digital kwa nyakati tofauti baadhi ya waaandishi wa habari wamesema kuwa serikali inapaswa kuharakisha mchakato huo wa mabadiliko

2 days ago


Mtanzania News
Serikali imeitikia wito wa wadau kuhusu mabadiliko ya sheria ya habari-Balile

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Serikali imeitikia kilio cha wadau wa tasnia ya habari nchini baada ya kuchukua sehemu kubwa ya mapendelezo ya wadau kuhusu mabadiliko ya sheria ya habari. Hayo yamebainishwa Dar es Salaam Novemba 27, 2022 na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF), Deodatus Balile ambapo amesema kuwa wadau wa habari nchini wanasubiri

2 days ago


Mtanzania News
Makalla ataka wanaotupa taka ovyo wazomewe

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amependekeza watu wanaotupa taka ovyo wazomewe ili kudhibiti uchafuzi wa mazingira katika mkoa huo. Amesema mbinu hiyo ilianza kutumiwa na Jiji la Kigali nchini Rwanda na kuliwezesha kuwa la mfano kwa usafi wa mazingira katika Afrika. Akizungumza Novemba 26,2022 wakati wa

2 days ago


Mtanzania News
Tangazeni mazuri yanayofanywa na Serikali – Sidde

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala, Said Sidde, amewataka wanachama wa chama hicho kuwaeleza wananchi mambo ambayo yamefanyika kwenye maeneo yao ikiwamo miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa. Sidde ameyasema hayo Novemba 26,2022 wakati wa hafla ya kumpongeza iliyoandaliwa na wanachama wa CCM tawi la Shaurimoyo. Amesema mwaka 2024/25 kutakuwa na

2 days ago


Taifa Leo News
Mgawanyiko Azimio ikikaribia kuvunjika

NA BENSON MATHEKA HUKU kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga akisisitiza kwamba,upinzani hautalegeza kamba katika kukosoa serikali, dalili zinaonyesha kuwa chama cha Jubilee kinaweza kujiondoa katika muungano huo wakati wowote. Matukio na matamshi ya hivi majuzi ya viongozi wa chama hicho yanaashiria kuwa, kiko mbioni kuvunja ndoa yake na vyama vingine tanzu

2 days ago


Mtanzania News
Dk. Mpango aagiza ukerewe ichunguzwe utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Clara Matimo, Mwanza Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, amemuagiza Naibu Waziri wa OR- TAMISEMI David Silinde kukagua mwenendo wa uendeshaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe iliyopo Mkoani Mwanza kutokana na uwepo wa malalamiko mengi ya ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali. Pia amemuagiza Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuchunguza

3 days ago


Taifa Leo News
Gachagua, Mudavadi wajipanga kwa 2027

NA BENSON MATHEKA NAIBU Rais Rigathi Gachagua na Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi wanaonekana kushindana vikali kila mmoja akiimarisha uungwaji mkono katika ngome yake huku tofauti kati yao zikisemekana kuongezeka. Viongozi hao wawili wamekuwa wakikutana na viongozi kutoka ngome zao za kisiasa wakiwemo wale wa upinzani na kuhubiri umoja wakilenga kujiimarisha kama vinara wa jamii

4 days ago


Taifa Leo News
Hatutambui mkataba wa kusitisha vita – M23

NA AFP KINSHASA, DRC KUNDI la waasi la M23 limesema tangazo kuhusu kusitishwa kwa vita lililotolewa wiki hii haliwahusu huku likiitisha mazungumzo ya moja kwa moja kati yake na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). “M23 imeona stakabadhi hiyo katika mitandao ya kijamii… Hakukuwa na mtu yeyote katika mkutano huo wa viongozi (kutoka

4 days ago


Taifa Leo News
Vinara wakuu Azimio washutumu Kenya Kwanza kwa kulipiza kisasi

NA MACHARIA MWANGI VIONGOZI wa Muungano wa Azimio One Kenya wamelaumu serikali ya Kenya Kwanza kwa kuendeleza kisasi dhidi ya viongozi na maafisa wa serikali ambao wametofautiana na sera zake. Wakizungumza baada ya mkutano mjini Naivasha, viongozi hao Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Martha Karua walisema watapinga hatua zozote za serikali za kuua demokrasia na

4 days ago


Mtanzania News
“Twenzetu na Dorice Mgetta Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa”

Na Mwandishi Wetu,Mtanzania Digital Jumapili ya Novemba 27, mwaka huu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM)utafanya Uchaguzi wake Mkuu wa kuwapata viongozi mbalimbali ikiwamo Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolea Novemba 15, mwaka huu na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Kihongosi (MNEC),

4 days ago


Taifa Leo News
GMO: Ruto aokoa Kuria kwa kuzima wabunge

NA ONYANGO K’ONYANGO RAIS William Ruto ameingillia kati kumwokoa Waziri wa Biashara, Moses Kuria dhidi ya vitisho vya kumtimua. Wabunge kutoka ngome ya Rais Ruto ya Rift Valley mapema wiki hii walisema watakusanya sahihi za kuunga mkono mswada wa kumtimua kazi Bw Kuria, kuhusiana na mpango wa kuagiza mahindi yaliyobadilishwa maumbile kisayansi (GMO) kutoka nje

5 days ago


Taifa Leo News
Utata kuhusu mahindi ya GMO wazua maswali tele

NA LEONARD ONYANGO HATUA ya Wizara ya Kilimo kujitenga na mpango wa serikali kutaka kuagiza magunia milioni 10 ya mahindi yaliyobadilishwa maumbile (GMO) imezidi kuibua maswali tele. – Kwa nini Bw Kuria aliingilia suala la uagizaji wa mahindi ya GMO ilhali jukumu hilo ni la Wizara ya Kilimo? Kulingana na amri iliyotolewa na Rais Ruto

5 days ago


Taifa Leo News
Kenya yahimizwa kuchukua bima dhidi ya majanga

NA MARY WANGARI KENYA ni miongoni mwa mataifa ya Afrika ambayo yamehimizwa kuanza kutumia mbinu za kisasa kama vile bima kufidia waathiriwa wa majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabianchi. Kinyume na kutegemea mbinu za kijadi kupitia msaada kutoka kwa wahisani, serikali ya Kenya imeshauriwa kuchukua bima katika viwango vya kitaifa na kaunti dhidi ya majanga

5 days ago


Taifa Leo News
NGUVU ZA HOJA: Hadhari iwepo katika kubuni maneno ya lugha ya Kiswahili

NA PROF CLARA MOMANYI HAKUNA lugha isiyotanuka na kukua duniani. Kila lugha hukua kulingana na mabadiliko katika jamii, yawe ni ya kiteknolojia, kidini au hata kiutamaduni. Aidha, lugha huweza kunyauka hata kufa kama vile tanzu za mti zinavyonyauka na kukauka. Katika lugha, hali hii hutokea pale ambapo hakuna wazungumzaji wa kuikuza na kuidumisha kama vile

6 days ago


Taifa Leo News
NGUVU ZA HOJA: Tujifunze Kiswahili kutoka kwa wazee mikota wenye tajiriba pevu

NA PROF IRIBE MWANGI JUMATATU nilikuwa na kikao na watu muhimu katika ulimwengu wa Kiswahili. Mmoja wao ni Balozi Wanjohi, Mkurugenzi wa Diplomasia ya Utamaduni katika Wizara ya Maswala ya Kigeni na Dayaspora. Balozi Wanjohi amekuwa mpenzi na shabiki mkubwa wa Kiswahili na kuna matumaini kwamba atasaidia katika usambazaji wa Kiswahili hasa kupitia balozi zetu.

6 days ago


Taifa Leo News
KINYUA KING’ORI: Serikali itathmini upya mpango wake wa kuagiza mahindi ya GMO nchini

NA KINYUA KING’ORI HATUA ya serikali ya Rais William Ruto kuagiza mahindi yanayokuzwa kwa njia ya kisayansi (GMO) kwa lengo la kudhibiti baa la njaa nchini huenda isiwafaidi wengi kwa hofu ya kuhatarisha maisha yao. Serikali imepanga kuagiza mahindi hayo kutoka ughaibuni kwa kipindi cha miezi sita, jambo ambalo limetia tumbojoto baadhi ya wanasiasa na

6 days ago


Taifa Leo News
CHARLES WASONGA: Ruto azingatie ahadi yake ya kutoangusha upinzani

NA CHARLES WASONGA SIKU chache baada ya ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuidhinishwa na Mahakama ya Upeo, Rais William Ruto alitangaza kuwa angependa mrengo wa upinzani wenye nguvu. Upinzani ambao ungeangazia utendakazi wa serikali yake ili iweze kuwajibikia Wakenya waliomchagua kuwa rais wao.Rais Ruto alisema ili kutimiza lengo hilo hangeteua viongozi wa

6 days ago


Taifa Leo News
TAHARIRI: GMO: Serikali ielimishe wananchi kuondoa dukuduku

NA MHARIRI HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini. Suala la GMO limetekwa nyara na wanasiasa huku mamilioni ya Wakenya wakijipata njia panda bila kujua ukweli kuhusu mahindi hayo. Viongozi kutoka maeneo yanayokuza mahindi, kwa mfano, wamejitokeza kupinga mpango wa serikaliw kuagiza magunia milioni 10 ya mahindi ya

6 days ago


Taifa Leo News
Kenya Kwanza yaanza kutikiswa na mivutano

NA BENSON MATHEKA DALILI zimeanza kuibuka katika muungano tawala wa Kenya Kwanza, zikionyesha unakumbwa na mzozo wa ndani, miezi miwili pekee baada ya kuingia madarakani. Hali hii imejitokeza baada ya viongozi wake kuanza kutofautiana kuhusu maamuzi muhimu, yakiwemo ya kiserikali, hasa kuhusu uteuzi wa wawakilishi katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA), uagizaji wa mahindi yaliyobadilishwa

6 days ago


Taifa Leo News
Galana-Kulalu kukabidhiwa wawekezaji wa kibinafsi

NA ANTHONY KITIMO SERIKALI inajiandaa kukabidhi shamba la unyunyizaji la Galana-Kulalu kwa wawekezaji wa kibinafsi. Mamlaka ya Kitaifa ya Unyunyizaji (NIA) inayosimamia utekelezaji wa mradi huo wa kilimo, imesema shamba litapeanwa kwa Shirika la Ustawishaji wa Kilimo (ADC) ambalo ndilo husimamia shughuli za kibiashara katika miezi michache ijayo. Tangazo hilo limetokea siku chache baada ya

6 days ago


Taifa Leo News
Mung’aro sasa afichua ushirikiano na Jumwa

NA ALEX KALAMA GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, amefichua kuhusu ushirikiano uliokuwepo kati yake na Waziri wa Utumishi wa Umma, Jinsia na Haki za Waliotengwa, Bi Aisha Jumwa, kuelekea kwa uchaguzi uliofanyika Agosti 2022. Akihutubia umma akiwa Ganda, eneobunge la Malindi, Bw Mung’aro ambaye ni mwanachama wa ODM, alisema yeye na Bi Jumwa aliyewania

6 days ago


Taifa Leo News
Kura ‘ziliuzwa’ kwa Sh600, shahidi adai

NA BRIAN OCHARO SHAHIDI katika kesi inayopinga ushindi wa Gavana wa Kwale, Bi Fatuma Achani, amedai kuwa wapigakura walikuwa wakilipwa hadi Sh600 baada ya kuthibitisha walimpigia kura gavana huyo. Bw Samson Kaginya, aliambia mahakama kuwa wapigakura walikuwa wakilipwa hadi Sh600 baada ya kuthibitisha kumpigia kura Bi Achani. “Wangepiga kura, kupiga picha za karatasi za kupigia

6 days ago


Taifa Leo News
Ruto ajipatia njia kukwepa kosa la Uhuru

NA ONYANGO K’ONYANGO RAIS William Ruto ameamua kusimamia masuala ya muungano wa Kenya Kwanza (KKA) kutumia mbinu ya mashauriano hali ambayo imemfanya kupata uungwaji mkono kutoka kwa wabunge. Tofauti na mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta, ambaye wabunge walilalama kuwa ilikuwa vigumu kwao kumfikia, Rais Ruto aliamua kufungua milango yake kwa viongozi wote katika muungano wa KKA.

6 days ago


Taifa Leo News
Bidhaa zilizoundwa kwa maganda ya miwa, magazeti na vitabu kulinda mazingira

NA SAMMY WAWERU BIDHAA za plastiki zinakisiwa kuchukua miaka na mikaka kabla kuoza, zinapotupwa au kuzikwa udongoni. Ni uhalisia unaochangia kuharibu udongo na zaidi ya yote mazingira. Itakumbukwa kwamba mwaka 2017 serikali ya Rais Mstaafu, Uhuru Kenyatta ilipiga marufuku matumizi ya mifuko ya karatasi za plastiki. Amri hiyo hata hivyo inaendelea kupuuzwa, baadhi ya wafanyibiashara

6 days ago


Mtanzania News
Dk. Mpango atoa maagizo Tamisemi

Na Clara Matimo,  Mwanza Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, ameziagiza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) na Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kuandaa mpango mkakati utakaoainisha namna ya kufanya uwekezaji na kuendeleza fukwe zilizopo nchini. Amesema asilimia kubwa ya fukwe zilizopo nchini hazijaendelezwa na zinakabiliwa na changamoto ya

6 days ago


Taifa Leo News
Wabunge wa Azimio wataka Chebukati, Guliye, Molu wachunguzwe kuhusu ubadhirifu wa raslimali

NA CHARLES WASONGA WABUNGE wa Azimio la Umoja-One Kenya sasa wanapendekeza kubuniwa kwa Kamati Teule ya Bunge ili ichunguze mienendo ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati na makamishna wenzake wawili kubaini jinsi “wanavyotumia vibaya raslimali za umma na mamlaka ya afisi zao.” Wabunge hao wa upinzani pia wanamtaka Bw

6 days ago