MICHUANO ya Nyerere Cup kwa mchezo wa mpira wa wavu inatarajiwa kuanza oktoba 10 hadi 14 mwaka huu katika Uwanja wa Hindumandal, Mkoani Kilimanjaro ambapo timu 11 za mataifa mbalimbali zimethibitisha kushiriki. Akizungumza na Mwanaspoti, Katibu mkuu wa Chama cha mchezo wa Wavu Tanzania (TAVA), Laurence Safari amesema kwa kawaida mashindano hayo hufanyika kila mwaka na huandaliwa na chama hicho kumuenzi aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Julius Nyerere. "Rais Nyerere enzi za uhai wake amefanya mambo mengi makubwa...
3 hours ago
SHANGAZI; Nina mpenzi ambaye nampenda kwa dhati. Amekuwa akiniambia ananipenda pia. Hata hivyo, nimesikia ana tabia ya kutumia wanawake kisha kuwatema. Nimeambiwa na mwanamume rafiki yake. Nipe ushauri.Utakosea kuchukulia habari hizo kuwa za kweli hasa kama hujaona dalili za yeye kutokuwa mwaminifu kwako. Labda rafiki yake anataka kuharibu uhusiano wenu. Kama ana tabia hiyo utajua
4 hours ago
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Silas Isangi amesema, mikoa iliyojitoa kushiriki mashindano ya taifa mwaka huu itachukuliwa hatua. Akionyesha kuchukizwa na mshindi wa pili wa mashindano yaliyopita, mkoa wa Arusha kujitoa kushiriki, amesema wachezaji hawajatendewa haki. "Kama leo ingekuwa ni uchaguzi mkuu au mkutano mkuu, viongozi hao wa mikoa wangekuwa hapa, lakini kwenye mashindano ya taifa hawajaleta timu, ili tutalishughulikia," alisema Isangi akitoa maelekezo kwa makamu wake, William Kalaghe katika kushughulikia hilo. Akizungumza kwenye ufunguzi wa mashindano ya...
4 hours ago
TIMU ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imesonga hatua inayofuata kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) mwakani zitakazofanyika Morocco baada ya kuitoa Ivory Coast kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya sare ya 2-2. Kila timu ilipata ushindi nyumbani kwake kwani baada ya Ivory Coast kushinda 2-0, juzi Tanzania ikacharuka na kushinda mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex na kulazimisha mchezo kuingia katika hatua ya kupigiana matuta. Mabao yote ya Tanzania yalifungwa kipindi cha pili na...
5 hours ago
ILE ndoto aliyokuwa akiiota mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Serengeti Girls U-17, Clara Luvanga imetimia. Clara aliwahi kufanya mahojiano na Mwanaspoti na kusema anatamani kucheza soka la kulipwa Ulaya hususan, England ambapo kwa sasa binti huyo amefanikiwa kujiunga na Klabu ya Dux Logrono ya Hispania kwa mkataba wa miaka mitatu. Timu hiyo inashiriki Ligi ya Wanawake Daraja la Kwanza ambayo ni ya pili kwa ukubwa inayojulikana kama Reto Iberdrolana ikiwa chini ya Kocha Gerardo Garca Lean, ambaye ni beki...
5 hours ago
Ulianza kuchezwa karne ya 15 huko Scotland, orijino yake ni huko eastern coast, Scotland. Bunge la Uskoti la Mfalme James wa Pili lilipiga marufuku mchezo huo mwaka wa 1457, Ingawa watu wengi walipuuza marufuku hiyo. Mwaka wa 1502 ulipata muhuri wa kifalme wa kuidhinishwa wakati wa Mfalme James IV wa Scotland (1473 -1513) alipokuwa mfalme wa kwanza wa gofu duniani. Umaarufu wa mchezo huo ulienea haraka katika karne ya 16 Ulaya kutokana na uidhinishaji huu wa kifalme. Mfalme Charles I...
5 hours ago
Ulianza kuchezwa karne ya 15 huko Scotland, orijino yake ni huko eastern coast, Scotland. Bunge la Uskoti la Mfalme James wa Pili lilipiga marufuku mchezo huo mwaka wa 1457, Ingawa watu wengi walipuuza marufuku hiyo. Mwaka wa 1502 ulipata muhuri wa kifalme wa kuidhinishwa wakati wa Mfalme James IV wa Scotland (1473 -1513) alipokuwa mfalme wa kwanza wa gofu duniani. Umaarufu wa mchezo huo ulienea haraka katika karne ya 16 Ulaya kutokana na uidhinishaji huu wa kifalme. Mfalme Charles I...
5 hours ago
NA MWANGI MUIRURI WATU wanane wa familia moja katika Kaunti ya Murang’a, akiwemo ajuza wa miaka 78, waliponea kifo baada ya kushambuliwa na jamaa wao mraibu wa mihadarati mnamo Machi 14 mwaka huu. Akifunguka hivi majuzi, Bw Francis Maina asema aligundua mwanawe wa kiume wa kipekee Eric Mwangi, 20, alikuwa akitumia dawa za kulevya miaka
5 hours ago
Ni Septembe 29, 2023 ambapo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amewatembelea Wachezaji wa Yanga SC kwenye yao iliyopo huko AVIC Town wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Al-Merrikh utakaochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi Jijini Dar es Salaam. “Rais wetu Dkt. Mhe. Samia Suluhu Hassan anawapongeza sana kwa hatua
5 hours ago
LICHA ya Waingereza kuwa waanzilishi wa gofu duniani, kibao kimegeuka sasa katika Top Ten ya dunia, nchi hiyo imeingiza nyota mmoja ikitolewa kwenye reli na Wamarekani wanaongozwa na kinara wa dunia, Scottie Scheffler. Scheffler mwenye wastani wa pointi 11.617 katika michezo 51 amekaa kileleni akiwa na pointi 592.46 na kupanda kwa nafasi moja, kutoka ya pili mwishoni mwa mwaka jana. Kinara huyo wa dunia, aliyevuna dola 21 milioni kwenye gofu, katika renki za mwishoni mwa 2022 alikuwa wa pili huku...
5 hours ago
GOFU ni miongoni mwa michezo mikongwe hapa nchini ukiachana na soka, riadha na ngumi ikielezwa kwamba ulianza kuchezwa mwaka 1950. Wakati mchezo huo unaanza kuchezwa ilikuwa ni miaka 10 kabla ya Uhuru wa Tanganyika (sasa Tanzania Bara) na kipindi hicho ulipendwa zaidi na Waingereza, historia ikiwa inaonyesha kwamba Watanzania walikuja kuanza kuucheza baadaye. “(Watanzania) wengi walikuja baadaye, walioanza kujifunza wengi walikuwa na ukaribu na Waingereza waliokuwa wakicheza wakati ule baadhi yao walifanya kazi kwa Waingereza na huo ndiyo ukawa mwanzo...
5 hours ago
KATIKA mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Alhamisi iliyopita ilishuhudiwa beki wa Simba, Henock Inonga akichezewa rafu mbaAya na mshambuliaji wa soka wa Coastal Union, Haji Ugando. Ilikuwa sio mchezo wa kiungwana, kwani rafu hiyo ilisababisha Inonga kutolewa nje katika dakika ya 20 ya mchezo kwa machela na kuwahishwa katika huduma za afya kwa kutumia gari la wagonjwa. Mwamuzi wa mchezo huu alimpa kadi nyekundu mshambuliaji huyo wa Coastal na hivyo kuilazimu klabu...
5 hours ago
ALIPOKUWA kijana alivuma katika ndondi na sasa akiwa na miaka 74 ni maarufu kwa kuhimiza upendo anapohutubia kanisani na yakizungumzwa mapishi ya nyama za kuchoma kwa kutumia mashine iliyopewa jina lake. Huyu ni aliyekuwa mpiganaji maarufu wa ndondi duniani, George Foreman wa Marekani, mwenye asili ya Kiafrika. Foreman aliyekuwa bingwa wa dunia wa masumbwi kwa uzito wa juu ameweka kumbukumbu ya kipekee katika masumbwi. Aliporudi katika masumbwi, baada ya kustaafu kwa miaka 10, miongoni mwa waliomsihi akiwa mzee wa kanisa...
6 hours ago
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Damas Ndumbaro amefanya ziara fupi kwenye kambi ya Yanga inayojiandaa kumalizana na Al Merreikh ya Sudan kesho. Ndumbaro amefanya ziara hiyo akiongozana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallece Karia aliyeambatana na makamu wake Athuman Nyamlani kisha wakateta na kikosi hicho. Ndumbaro amewataka wachezaji wa Yanga kuhakikisha wanafanya kweli kwenye mchezo wa marudiano wa kesho utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex wakiwania tiketi ya kukata tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya...
6 hours ago
A SADC report said the Zimbabwe polls did not meet regional and international standards.
6 hours ago
NA CECIL ODONGO RAIS William Ruto mnamo Ijumaa amepigia debe pendekezo la baadhi ya vyama tanzu ndani ya Kenya Kwanza kuvunjwa ndipo viungane na UDA kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 ila akasema havitalazimishwa. Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala amekuwa katika mstari wa mbele kupigia debe pendekezo kuwa vyama tanzu ndani UDA vivunjwe ili kuwe
6 hours ago
Na LABAAN SHABAAN Klabu ya Napoli nchini Italia imemuomba radhi mshambuliaji Victor Osimhen kufuatia kisa ambapo akaunti yao ya TikTok ilimkejeli nyota huyo alipokosa kufunga penalti. Ajenti wa mshambulizi huyo matata katika ligi kuu ya Seria A Roberto Calenda amesema video hiyo ‘imemwathiri sana mchezaji wao.” “Kilichofanyika leo katika akaunti rasmi ya Napoli TikTok haikubaliki.
6 hours ago
The wife of Gabon's ousted president Ali Bongo Ondimba has been charged with "money laundering" and other offences
6 hours ago
Matokeo Yanga sc vs Al Marrekh leo 30/09/2023 CAF Champions League, Matokeo Yanga dhidi ya Al Merreikh ya Sudan, Matokeo Yanga Sc leo, Matokeo Yanga vs Al Merreikh, Yanga vs Al Merrekh
7 hours ago
NA RICHARD MUNGUTI DEREVA wa Safari Rally Maxine Wahome anayekabiliwa na shtaka la mauaji, amekubaliwa kusherehekea sikukuu ya Krismasi na shamrashamra za Mwaka Mpya pamoja na familia yake baada ya Mahakama Kuu kumlegezea masharti ya dhamana. Akimruhusu Maxine kujumuika na dada yake Stephanie Wahome, dada na kaka wengine watakaosafiri kutoka ng’ambo kuja kusherehekea sikukuu hizi
7 hours ago
NA RICHARD MUNGUTI JITIHADA za kuzima Kamati ya Kitaifa ya Mazugumzo (NADCO ) yenye wajibu wa kukusanya maoni ya kubadilisha katiba na kutafuta suluhu ya matatizo yanayokumba nchi zimegonga mwamba baada ya Mahakama Kuu kukataa kusitisha vikao vyake. NADCO inawajumuisha wanasiasa wa mirengo ya Azimio na Kenya Kwanza. Badala ya kusitisha vikao vya kupokea maoni
7 hours ago
MAAFANDE wa JKT Tanzania imeambulia pointi moja ikicheza kwa mara ya kwanza nyumbani baada ya jioni hii kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Uwanja wa Kambarage, mjini Shinyanga.
7 hours ago
Droo Makundi AFCON 2024 Africa Cup of Nations, Makundi AFCON 2023, Droo AFCON 2023, Draw AFCON 2024, Africa Cup of Nations
7 hours ago
Na MERCY KOSKEI SOSHIOLAITI Vera Sidika, amewaacha wanamitandao vinywa wazi baada ya kudai kuwa hununua nguo za watoto wake wawili nchini Marekani kutokana na ubora wake. Kupitia kwa mtandao wake wa kijamii wa Intagram (Instastories), Alhamisi Septemba 28, 2023,Vera ambaye kwa sasa yuko Marekani, alisema kuwa alienda kufanya manunuzi na kuishia kununua nguo za Asia na Ice
8 hours ago
NA WACHIRA MWANGI KINARA wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga amedai kwamba Rais William Ruto anawatolea vitisho na kuwahangaisha magava wa mrengo wa Azimio, hali inayowanyima mazingira tulivu ya kutekeleza kazi zao. Bw Odinga amesema serikali imeteka baadhi ya majukumu ya magavana kinyume na katiba hali ambayo imewafanya magavana wake kushindwa kutekeleza kazi zao
8 hours ago
Liberians are scheduled to go to the polls on October 10 to vote for president and lawmakers.
9 hours ago
Kamishna wa Polisi Utawala Menejimenti ya rasilimali watu, CP Suzan Kaganda amewataka askari Polisi wanawake kuchangamkia fursa za elimu ili kuongeza ujuzi na weledi wa utendaji kazi wa Jeshi la Polisi. Kamishna Kaganda ameyasema hayo leo Septemba 29, 2023 wakati wa kikao na askari Polisi wanawake kilichofanyika katika bwalo la maafisa wa Polisi Oysterbay, jijini
9 hours ago
Bondia Karim Mandonga ametangaza ngumi yake mpya aliyoiita 'Ngumi Sato, ngumi Sangara' atakayotumia katika pambano lisilo la mkanda dhidi ya mpinzani wake, Salum Maarifa kutoka jijini Mwanza. Mandonga ametambulisha ngumi hiyo leo Ijumaa Septemba 29, 2023 jijini Mwanza wakati wa shughuli ya upimaji wa uzito kuelekea pambano la mkanda kati ya bondia Mtanzania, Fadhir Magiha dhidi ya Mfilipino, Renz Rosia litalopigwa kesho usiku kwenye viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza. "Mabondia wanaokutana na Madonga wanapigwa kama ngoma sasa leo...
10 hours ago
SERIKALI imetaja moja ya sababu iliyoipa nafasi Tanzania kuwa moja ya nchi itakayoandaa fainali za mataifa ya Africa (AFCON) kuwa ni Simba na Yanga.
10 hours ago
SERIKALI imetaja moja ya sababu iliyoipa nafasi Tanzania kuwa moja ya nchi itakayoandaa fainali za mataifa ya Africa (AFCON) kuwa ni Simba na Yanga.
10 hours ago
Wakala wa Majengo Tanzania TBA imesema itahakikisha Miradi yote wanayoitekeleza ya serikali na Watumishi ya Umma itaendelea kuwa Bora na kumalizika kwa wakati uliopangwa kutokana WATAALAMU waliokuwa wanaitekeleza miradi kwa ufanisi na kwa mda uliopangwa Akielezea namna Makala wa Majengo Tanzania TBA Mkoa wa Geita kwenye viwanja vya Maonyesho 6 ya Tenchonoliji ya Madini ulivyotekeleza
10 hours ago
NA WYCLIFFE NYABERI ALIYEKUWA kaimu Mkurugenzi wa Fedha katika Nairobi Hospital, Eric Maigo Onchari amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Amasago karibu na kituo cha kibiashara cha Keumbu, eneobunge la Nyaribari Chache, Kaunti ya Kisii. Maigo alipatikana akiwa ameuawa katika nyumba yake ya Woodley jijini Nairobi mnamo Septemba 15, 2023. Alidungwa kisu kifuani na shingoni
10 hours ago
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara ya Madini ya Serikali ya Uganda kushiriki na kujifunza namna Kampuni ya GGML inavyotumia teknolojia za kisasa katika shughuli za uchimbaji wa chini kwa chini ya ardhi pamoja na wa wazi. Wageni hao walioongozwa
11 hours ago
Jeshi la Polisi ya Jimbo la Lagos limethibitisha kuwa Balogun Olamilekan Eletu, almaarufu Sam Larry, sasa yuko kizuizini. Sam Larry anachunguzwa kuhusu kifo cha mwimbaji wa Nigeria, Ilerioluwa Aloba, anayejulikana pia kama Mohbad. Msemaji wa amri hiyo, SP Benjamin Hundeyin, aliandika kwenye X: “Balogun Olamilekan Eletu almaarufu Sam Larry sasa yuko chini ya ulinzi wetu.
11 hours ago
NA MERCY KOSKEI SENETA wa Nandi Samson Cherargei amemkashifu vikali Waziri wa Michezo Ababu Namwamba kwa madai ya kukosa kuchukua hatua baada ya mwanariadha wa Kenya kushambuliwa na mbwa nchini Argentina. Mwanariadha huyo alishambuliwa na mbwa wakati wa mbio za Buenos Aires zilizofanyika Jumapili, Septemba 24, 2023. Katika taarifa kupitia mtandao wake wa kijamii Twitter,
11 hours ago
Nahodha wa Chelsea Reece James huenda akarejea uwanjani dhidi ya Arsenal baada ya mapumziko ya Oktoba ya kimataifa. Beki huyo wa kulia amekuwa nje ya uwanja kutokana na kusumbuliwa na msuli wa paja wakati The Blues wakitoka sare ya 1-1 nyumbani na Liverpool wikendi ya ufunguzi wa Ligi Kuu ya Uingereza. Kikosi cha Mauricio Pochettino
11 hours ago
NA AFP LONDON, UINGEREZA WINGA wa klabu ya Manchester United, Antony, anatarajiwa kujiunga na wenzake kambini kwa mazoezi huku akiendelea kushirikiana na polisi wanaochunguza madai yanayomwandama ya udhalilishaji wanawake, klabu imetangaza Ijumaa. Staa huyo raia wa Brazil, ambaye amekanusha vikali madai hayo, alipewa likizo na Man-U mnamo Septemba 10. Alirejea nchini Uingereza mapema wiki hii
11 hours ago
Rais wa Urusi Vladimir Putin alikutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group kujadili kuweka vitengo vya kujitolea kwa vita vya Ukraine, chombo cha habari cha serikali ya Urusi Tass kiliripoti. Putin alinukuliwa akimwambia kamanda wa zamani Andrey Troshev, “Katika mkutano wetu uliopita, tulijadili mradi kwako kujenga vitengo vya wanajeshi wa kujitolea ambao wataweza
11 hours ago
Christopher Nkunku hatimaye ametoa update ya jeraha la goti, kwa kuwapa mashabiki wa Chelsea kionjo cha video ambazo yupo gym kwenye ukurasa wake wa instagram. Mchezaji huyo wa majira ya kiangazi bado hajacheza mechi yake ya kwanza ya ushindani akiwa na Chelsea tangu alipowasili kwa pauni milioni 52 kutoka BRB Leipzig. Alipata jeraha la goti
11 hours ago
Mbrazil huyo anashirikiana na uchunguzi wa polisi kuhusu tuhuma za unyanyasaji wa nyumbani. Antony alitua nchini Uingereza mapema wiki hii akitokea nyumbani kwake, ambako hakukabiliwa na mashtaka yoyote baada ya uchunguzi wa polisi wa Brazil. Taarifa ya Manchester United iliyotolewa asubuhi ya leo inasomeka: “Tangu madai yalipotolewa kwa mara ya kwanza mwezi Juni, Antony ameshirikiana
12 hours ago
Flamengo ya Brazil ilimfukuza kazi kocha Jorge Sampaoli siku ya Alhamisi, chini ya wiki moja baada ya Muargentina huyo kukosa jaribio lake la mwisho la kushinda taji katika klabu hiyo. Kocha huyo wa zamani wa Argentina, Sevilla na Marseille Sampaoli alichukua kazi huko Rio de Janeiro mnamo Aprili. Mkataba wake ulipaswa kumalizika mwishoni mwa 2024.
12 hours ago
Nahodha wa Bayern Munich Manuel Neuer alirejea kwenye mazoezi ya timu siku ya Alhamisi, miezi 10 baada ya kuvunjika mguu katika ajali ya kuteleza kwenye theluji. “Ni hisia nzuri kurejea uwanjani na wachezaji wenzangu,” alisema. “Nilikuwa nikitarajia hilo.” Neuer alishiriki katika mazoezi ya walinda mlango na Sven Ulreich na Daniel Peretz, makipa wengine wawili wa
12 hours ago
Zaidi ya wanachi mia mbili wilayani Uyui waliotoa maeneo yao kupisha ujenzi wa umeme Gridi ya Taifa wameiomba serikali kuwalipa fidia ya maeneo hayo kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 500 kwa kuwa kwasasa wamekosa maeneo mbadala ya kufanya shughuli zao za kuwaingizia kipato. Wananchi hao wametoa malalamiko hayo wakati zoezi la kuwasha wa meme
12 hours ago
Klabu ya Napoli imesema “hawakuwa na nia ya kumuudhi au kumkejeli” Victor Osimhen katika chapisho la mtandao wa kijamii lakini hawakumuomba msamaha hadharani. Klabu hiyo ilishirikisha umma video kwenye akaunti yao ya TikTok ya Osimhen wa Nigeria akikosa penalti, iliyopewa jina la sauti ya juu ikisema ”Nipatie penati tafadhali”-“gimme penalty please”. Wakala wa mchezaji huyo
12 hours ago
Tukio la Roketi iliyolipuka kwa bahati siku ya Alhamisi katika uwanja wa michezo katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kulingana na mamlaka imesemekana kuwa iliua mtu mmoja na kujeruhi kumi na mmoja, Karibu saa 4:00 jioni (14:00 GMT), kurusha roketi ya “RPG-7” ya askari wa Congo “ilidondoka bila kukusudia” risasi
12 hours ago
NA TITUS OMINDE MWANAMUME anayedaiwa kumuua babake aliyekuwa na umri wa miaka 68 baada ya mzee huyo kukataa kumpa pesa za kwenda hospitalini kwa matibabu, ameshtakiwa kwa mauaji. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 32 alishtakiwa baada ya ripoti ya uchunguzi wa kimatibabu kutoka hospitalini kuthibitisha kwamba alikuwa sawa kiakili kujibu mashtaka. Upande wa mashtaka
12 hours ago
TIMU ya Simba ukitaka kuibana, basi hakikisha unamalizana nayo ndani ya dakika ya dakika 45 za kwanza za mchezo husika kwani bila hivyo sahau kupata ushindi dhidi yao.
14 hours ago
Mafuriko mabaya ambayo yaliharibu mashariki mwa Libya mnamo Septemba 10 yaliwafanya zaidi ya watoto 16,000 kukosa makazi yao UNICEF ilionya Alhamisi (Sep. 28). Wengi zaidi wameathirika kutokana na ukosefu wa huduma muhimu, kama vile afya na usambazaji wa maji salama, shirika la Umoja wa Mataifa la watoto liliongeza. Dhoruba Daniel ilikumba miji mingi ikijumuisha Derna,
14 hours ago
Jeshi la Mali limeripoti mashambulizi katika vituo vyake vitatu kaskazini, magharibi na katikati mwa nchi tangu Jumatano, huku wapiganaji wanaotaka kujitenga na wanajihadi kutoka kundi lenye mafungamano na al-Qaeda Groupe de soutien à l’islam et aux musulmans (GSIM) kila mmoja akidai udhibiti wa muda wa wawili wao. Jeshi lilisema kwenye mitandao ya kijamii Alhamisi jioni
14 hours ago
NA FRIDAH OKACHI MAMAKE msanii wa jina kubwa Diamond Platnumz, Mama Dangote amepokea zawadi ya manukato na maua kutoka kwa Tanasha Donna ambaye aliwahi kutoka kimapenzi na mwanamuziki huyo. Tanasha Donna na Diamond walifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye ni mjukuu wake Mama Dangote. Juma hili, siku ya Jumatano, Sandra Sanura almaarufu Mama Dangote alitoka kwenye
14 hours ago