Tarehe 21 Machi 1990, nchi ya Namibia ilipata uhuru na kujitenga na Afrika Kusini ambapo mwishoni mwa karne ya 19, wakoloni wa Kijerumani, Uingereza na Ureno walianza kuvutana kwa minajili ya kudhibiti na kupora utajiri na maliasili za Namibia. Namibia imekuwa mwanachama wa Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa
3 days ago
NA MWANDISHI WETU KIONGOZI wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga ameingia jijini kwa kishindo huku waandamanaji wakimshangilia. Msafara wake umeanzia katika hoteli ya Serena na amefululiza hadi katika mtaa wa Eastleigh. Akihutubia wafuasi wa Azimio saa tisa, Raila amesema maandamano yatakuwa yakifanyika kila Jumatatu. Amesema ni lazima serikali itimize ahadi zake na ishushe gharama
4 days ago
NA JURGEN NAMBEKA KWA kawaida, mchanga mweupe wa baharini katika Pwani za Kenya huaminika kuwa sehemu ya kivutio kikuu cha utalii. Lakini kwa wakaangaji na wauzaji njugu, mchanga huo ni kiungo muhimu cha mapishi yao. Mabw Charles Kiama na Dennis Maundu kutoka eneo la Changamwe, Kaunti ya Mombasa, ni baadhi ya wakaanga njugu wanaotumia mchanga
6 days ago
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amezindua boti ya utalii iitwayo TAWA SEA CRUISER, Machi 14,2023, katika Hifadhi ya Urithi wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyopo katika Mkoa wa Lindi. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mhe. Mchengerwa amewataka wananchi kutumia boti hiyo itakayounganisha shughuli za utalii katika kanda ya
1 week ago
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua boti ya utalii iitwayo TAWA SEA CRUISER, katika Hifadhi ya Urithi wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyopo katika Mkoa wa Lindi. Akizungumza Machi 14,2023 wakati wa uzinduzi huo, Mchengerwa amewataka wananchi kutumia boti hiyo itakayounganisha shughuli za utalii
1 week ago
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa, amemuapisha, Mabula Misungwi Nyanda kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), katika hafla iliyofanyika Machi 14, 2023, katika Hifadhi ya Urithi wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara Mkoani Lindi. Akizungumza baada ya hafla ya uapisho
1 week ago
Kundi kubwa la watalii wapatao 17 kutoka nchini ufaransa wametembelea mgodi wa kuzalisha madini aina ya Tanzanite katika mgodi wa kitalu C unaomilikiwa na kampuni ya franone Maining ya Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara Kundi hilo ambalo ndani yake wapo wataalamu wa kukata na kuongeza thamani ya madini pamoja na wanafunzi wa kuongeza thamani ya madini
1 week ago
Na Beatrice Kaiza, Mtanzania Digital Tanzania itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Wadau wa Gesi ya LPG Afriks Mashariki litakalofanyika Machi 15 na 16, mwaka huu katika hoteli ya Johari Lotans Dar es Salaam likihusisha nchi zaidi ya 30. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam mapema Machi 9, 2023 Mkurugenzi wa Maonyesho ya
2 weeks ago
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania ( TAWA) leo Machi 9, 2023, imepokea meli nyingine ya kimataifa iliyobeba watalii kutoka nchini Ufaransa. Meli hiyo ya utalii ijulikanayo kama LE JACQUES – CARTIER PONANT, imebeba watalii 125 ambao wametembelea Hifadhi ya Urithi wa Utamaduni wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara kwa ajili ya
2 weeks ago
Aliyekuwa mlimbwende wa mitindo wa Mexico pamoja na mpenzi wake walihukumiwa kifungo cha miaka minne nchini Uhispania kwa kuiba chupa 45 za mvinyo zenye thamani ya takriban $1.7m (£1.4m). Tukio hilo lilitokea mnamo mwaka 2021 katika hoteli ya kifahari katika jiji la Uhispania la Cáceres, ambapo wanandoa hao walikuwa wakikaa kama wageni. Mahakama iliwataja wanandoa
2 weeks ago
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja amezitaka taasisi zilizochini ya wizara hiyo kutumia Makumbusho za Taifa kama eneo mojawapo la kuiongezea Serikali mapato. Masanja ametoa maelekezo hayo Machi 6, 2023 katika Ukumbi wa Ofisi za Ngorongoro zilizopo Jijini Arusha wakati akiongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi
2 weeks ago
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ina mengi ya kujifunza uzoefu na weledi kutoka nchi ya Ufilipino hasa kwenye sekta za mafuta na gasi ,afya, utalii na uvuvi . Pia Dk.Mwinyi amemuomba Balozi wa Ufilipino kuitangaza Zanzibar katika fursa mbalimbali ambazo zinapatikana visiwa humo. Dk.Mwinyi aliyasema
3 weeks ago
NA MAUREEN ONGALA WAWEKEZAJI katika hoteli za kifahari wamelalamika kuwa vijana wa kuwatembeza watalii fuoni almaarufu beach boys wamekuwa kero kubwa katika sekta ya utalii. Katika fuo nyingi za Pwani ambazo huvutia watalii wengi, vijana wengi wanaojitokeza kufanya shughuli hiyo hujitahidi kuanzisha urafiki na watalii hao ila mwishowe huanza kuombaomba pesa huku wengine wakituamai kufikishwa
3 weeks ago
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Kampuni kinara wa huduma za malipo ya Pesapal imewataka wadau wa shughuli za utalii na ukarimu nchini kuzichangamkia na kuzitumia teknolojia za kisasa kujikwamua na mathira ya janga la Uviko-19 na kuiimarisha upya sekta hiyo muhimu ya utalii. Maafisa waandamizi wa Pesapal walitoa rai hiyo jana huku Zanzibar kwenye mkutano shirikishi
1 month ago
NA ALEX KALAMA RAIA watatu wa kigeni wamejeruhiwa vibaya katika mkasa wa moto uliounguza hoteli tatu eneo la Watamu kaunti ya Kilifi. Watatu hao ambao ripoti za awali zinasema ni Wataliano, walikuwa wamekodi vyumba vya kuishi katika hoteli ya Mubuyu Lodge iliyoko Watamu, inasemekana walikuwa wamelala wakati moto huo ulipozuka na kuunguza hoteli hiyo waliyokuwa
1 month ago
*Ahimiza kuchapa kazi Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa Februari 16, 2023 amezindua magari 22 ya TAWA yatakayotumika Kwa ajili ya shughuli za doria na kudhibiti Wanyamapori Wakali na Waharibifu. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa magari hayo iliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya TAWA Mkoani Morogoro,
1 month ago
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) leo Februari 16, 2023 amezindua magari 22 ya TAWA yatakayotumika Kwa ajili ya shughuli za doria na kudhibiti Wanyamapori Wakali na Waharibifu. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa magari hayo iliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya TAWA Mkoani Morogoro Mhe. Mchengerwa ameushukuru uongozi wa
1 month ago
NA JOSEPH NDUNDA MAKANGA wa matatu ambaye alikiri kuiba chombo cha kuhifadhi chai almaarufu thermos katika hoteli moja mtaani Kayole, Nairobi na vile vile kuzozana na wahudumu kuhusu deni la Sh60 ameambia mahakama imwonee huruma akisema ana dalili za kisonono. Samuel Muriuki,26, aliyeiba chombo hicho chenye thamani ya Sh3, 800 amemwambia Hakimu Mwandamizi Hellen Okwani
1 month ago
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewataka Watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii wasimamie utekelezaji wa programu zinazoelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa Uhifadhi na kutembelea vivutio vya Utalii hapa nchini. Ameyasema hayo leo alipofanya kikao kazi na watendaji hao katika Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori –
1 month ago
NA LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya nchini Rwanda (MKU-Rwanda) kimeandika kitabu kipya kuhusu masomo yanayohusu hoteli na ambayo yanapatikana katika chuo hicho. Alhasili, kitabu hicho ni wasifu na kinaeleza mengi kuhusu kitengo cha chuo hicho kilipobuniwa mwaka wa 2010 nchini Rwanda. Kitabu hicho cha kipekee na chenye anwani ‘Mlima waungana na nchi yenye milima
1 month ago
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja amezitaka mamlaka na taasisi zilizochini ya wizara hiyo kuacha mara moja kukamata na kutoa adhabu kwa wananchi wanaovamia mapori na hifadhi badala yake watoe elimu kwani wananchi wengi hawajui umuhimu ya uhufadhi. Masanja ametoa maelekezo hayo wakati akitatua mgogoro uliodumu kwa mrefu kati ya wananchi na hifadhi
1 month ago
Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii. Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo Tanzania ambayo tayari hatua madhubuti zimechukuliwa. Amesema miongoni mwa hatua ambazo Tanzania imechukua ni pamoja na Rais
1 month ago
Leo nakukutanisha na na Elias Patrick, Mtaalamu wa masuala ya Biashara na Teknolojia kutoka Tanzania ambaye katika juhudi za kuunga mkono Serikali katika kutangaza Utalii na vivutio vya Tanzania, Elias ametengeneza Mobile games tano ambazo zinapatikana Google Playstore ndani ya nchi 176 duniani. Games hizi zimepewa majina ya baadhi ya vivutio vya kitalii hapa Nchini
1 month ago
Na RUSHDIE OUDIA SERIKALI ya Kaunti ya Kisumu imetishia kufunga lojing’i na hoteli zote ikiwa hazitachukua hatua ya kukabiliana na kunguni waliovamia majengo yao. Hii ni kufuatia malalamishi kutoka kwa wakazi na wasafiri kuhusu ongezeko la kunguni wanaowahangaisha usiku kucha katika lojing’i moja almaarufu Yurop. Baadhi ya wapenda burudani wanaopanga makazi Yurop kwa shughuli za
1 month ago
NA PETER CHANGTOEK SASHA Seraphine Mbote alijiuzulu kutoka kwa kazi aliyokuwa akifanya kama meneja wa ‘Spa’ na kuanzisha kampuni yake ya utalii nchini Zanzibar, mnamo 2015. Wazo la kuianzisha kampuni yake ya Maridadi Tours lilimjia akilini baada ya kutalii mno maeneo tofauti. Baada ya kutalii, alikuwa akipakia picha za safari hizo mitandaoni, na wengi wakaanza
1 month ago
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Eliamani Sedoyeka jana aliongoza mapokezi ya Mawakala hao kutoka katika masoko ya kimkakati katika nchi tofauti. Nchi walizotoka Mawakala hao ni Marekani, Canada, Mexico, Ubelgiji na Brazil. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Mawakala hao, Prof. Sedoyeka amesema..”Leo tumeanzisha Mega Trip ambayo kwa kawaida Wizara kupitia Bodi ya
1 month ago
NA VALENTINE OBARA GAVANA wa Mombasa, Bw Abdulswamad Nassir, amedokeza mipango ya kaunti hiyo kubuni sheria mpya itakayoisaidia kunufaika kutokana na makongamano mengi yanayoandaliwa hotelini. Akizungumza Jumatatu wakati wa warsha ya viongozi wa mashtaka, Bw Nassir alisema kaunti inalenga kukuza mbinu ya kuvutia watalii kupitia kwa warsha na mikutano. “Tunataka kuwa na sheria ndogo ya
1 month ago
NA ENOCK NYARIKI JIONI watalii na waelekezi wao walirejea vilipokuwa vyumba vya kupanga. Juma, mkuu wa Idara ya Parachuti, aliondoka moja kwa moja kuenda kumwona Bwana Kaburu. Ofisi ya Bwana Kaburu ilikuwa katika Idara ya Upangaji zilipokuwa pia ofisi nyingi za wakuu wa idara mbalimbali mbugani. Juma, alizungusha kitasa cha mlango wa ofisi ya bosi
1 month ago
NA KNA SEKTA ya Utalii (KTB) imejawa na furaha baada ya meli iliyo na watalii 620 kutia nanga katika bandari ya Mombasa. Akiwapokea wageni hao, Katibu wa Wizara ya Utalii John Ololtua alisema kufika kwa meli hiyo kwa jina World Odyssey ni ishara sekta ya utalii imeanza kunoga. Bw Ololtua aliandamana na maafisa wakuu katika
1 month ago
NA SINDA MATIKO MWIGIZAJI staa Idris Elba ameipa shavu Kenya, akiitaja kuwa moja kati ya sehemu anazozizimia. Kwenye mahojiano yake na toleo jipya la jarida la Forbes, Elba aliisifia Kenya kuwa nchi bora zaidi Afrika iliyombamba. “Kenya ni moja kati ya sehemu bomba sana tulizowahi kutalii mimi na mke wangu. Kule ninaweza kusema ni kama
1 month ago
KALUME KAZUNGU NA VALENTINE OBARA MATUMAINI ya serikali ya Kaunti ya Lamu kuimarisha utalii eneo hilo yametiwa doa na mashambulio ya kigaidi yaliyochipuka upya wiki chache zilizopita. Tangu mwaka 2022, serikali ya kaunti hiyo ilikuwa imerejelea maandalizi ya tamasha na hafla mbalimbali za kusisimua watalii. Hata hivyo, baada ya utulivu wa muda mrefu, mashambulio yalianza
1 month ago
NA ENOCK NYARIKI ASUBUHI, Bwana Kaburu aliitembelea Idara ya Parachuti. Kama ilivyokuwa ada, shughuli zilikuwa nyingi huko kuliko kwingineko mbugani. Parachuti zilikwenda juu kwa umahiri mkubwa. Katika kila parachuti aliketi mtalii mmoja na mwelekezi wake ambaye angemwonyesha mtalii mahali salama ambapo wangetua. Watalii wengine walijilaza kwenye viti vya hinzirani idarani hapo huku wakiendelea kuota jua
2 months ago
Kiroyera Tours is located in Bukoba on the iconic Lake Victoria in northwest Tanzania. The lake region has been our ancestral home for generations and our families still live alongside its shores. It is a source of food, transport, inspiration and pleasure for our people, which we want to share with you! We extend a
The post Lake Victoria Sports Fishing & Kayaking in 2023! appeared first on Kiroyera Tours.
2 months ago
Kiroyera Tours organised and hosted the 2nd annual conference on Bukoba’s Heritage, History and Culture. The event was held at our Bukoba Heritage Site on Kiroyera hill. This vibrant event brought together key dignatories and families in the local community to discuss the continued development of tourism opportunities for the benefit of Bukoba and the
The post 16-17th December 2022 Bukoba Heritage Conference, Tanzania! appeared first on Kiroyera Tours.
2 months ago
ENOCK NYARIKI FOLENI ya watalii iliendelea kuongezeka kwenye sehemu ya mapokezi ya mbuga ya wanyama ya Maasai Mara. Kwingineko mbugani, shughuli zilienea moto mmoja. Shughuli za wapishi stadi walioandaa mapochopocho anuwai kwa ajili ya wageni. Shughuli za wafanyakazi wa Idara ya Upangaji waliopita na kupituka vyumba ili kuwaonyesha wageni hao mahali ambamo wangezilaza mbavu zao
2 months ago
NA WINNIE ATIENO HUENDA kaunti za Pwani zilizo na raslimali mbalimbali kama vile bandari zianze kufaidi zaidi kutoka kwa rasilimali hizo, baada ya Gavana wa Mombasa Abdulswamamd Nassir kufanya kikao maalum na Rais William Ruto kuzungumzia, jinsi zitakavyofaidika na maliasili hiyo. Mnamo Jumatano, Bw Nassir alikutana na Dkt Ruto kujadili mikakati ya bandari ya Mombasa
2 months ago
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Geita imetoa Semina kwa wafanyabiashara wakubwa wanaofanya shughuli mbalimbali ikiwemo hoteli pamoja na nyumba za kulala wageni mkoani humo. Akizungumza mara baada ya Semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Geita (GEDECO) Ndg.Justine Katiti Afisa Huduma Mlipa kodi TRA mkoa wa Geita amesema lengo la semina
2 months ago
NA ALEX KALAMA WANAWAKE katika eneo la Malindi wamevalia njuga kazi ya uvunjaji kokoto ambayo miaka ya nyuma ilifanywa sana na wanaume katika eneo hili ili kutafutia familia zao riziki. Wanawake hao kutoka kijiji cha Muyeye awali walikuwa wakitegemea kazi za hoteli katika kukidhi mahitaji yao. Lakini kwa sasa wanakumbwa na changamoto nyingi za kiuchumi
2 months ago
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waajiri kote nchini wametakiwa kuhakikisha uwepo wa mazingira salama ya kufanyia kazi ili kuendana na sheria za ndani na kimataifa. Wito huo umetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Biashara wa OSHA, Netiwe Mhando, alipokuwa akizungumza katika kikao cha Majadiliano baina ya Wizara ya Maliasili na Utalii na wadau wa
2 months ago
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mhariri wa MTANZANIA DIGITAL, Faraja Masinde, ameibuka mshindi wa jumla wa tuzo za uandishi wa habari za watoto (TEFCRA) kwa mwaka 2022 zilizoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF) kwa kushirikiana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Tuzo hizo zimetolewa Alhamisi Desemba 29, 2022 katika hoteli
2 months ago
NA WAANDISHI WETU SERIKALI inaendeleza mipango ya kuanza kutumia huduma za feri kwa utalii wa baharini Mombasa. Baadhi ya wawekezaji katika sekta ya utalii wamekuwa wakipendekeza huduma za feri ziboreshwe, kisha zitumiwe kuwazungusha watalii sehemu mbalimbali za ndani ya bahari kama mojawapo ya mbinu za kipekee za kustawisha utalii Pwani. Kwa sasa, feri za Likoni
2 months ago
NA WAANDISHI WETU BEI ya juu ya bidhaa imetatiza shamrashamra ambazo huandamana na sherehe za Krismasi kote nchini. Katika mahojiano na Taifa Jumapili, Wakenya kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walisema kuwa hali ngumu ya uchumi imewafanya kukosa kuandaa mapochopocho ya Krismasi kwa ajili ya familia zao. Usalama nao uliimarishwa maeneo mbalimbali hasa Pwani mwa Kenya ambako watalii
2 months ago
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wizara ya Maliasili na Utalii imewatangaza Faru wawili na kuwapa majina ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Regine Heiss. Hatua hiyo imefikiwa leo Desemba 20,2022 jijini Dar es Salaam katika hafla ya makabidhiano ya magari 51 aina ya Land Cruiser yenye thamani ya Sh bilioni
3 months ago
NA PHILIP MUYANGA MAHAKAMA ya Mombasa imeagiza hoteli ya kitalii kumlipa mfanyakazi wake wa zamani Sh1.9 milioni kwa kumfuta kazi kiharamu. Jaji Agnes Nzei, aliamuru hoteli ya Swahili Beach Resort Ltd imlipe Bw David Oseme, pesa hizo kama fidia kwa kumfuta kazi kimakosa, mshahara wa mwezi mmoja na mshahara ambao alikuwa hajalipwa wa Januari, 2019.
3 months ago
Na Norah Damian, Mtanzania Digital Kampuni Sisalana inayomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imeongeza thamani ya kilimo cha mkonge kwa kuzalisha bidhaa mbalimbali ambazo zimeleta mageuzi sokoni. Kampuni hiyo yenye makao yake makuu mkoani Tanga inazalisha bidhaa za mkonge kama vile kamba, mazulia, mikoba na nyingine. Akizungumza juzi kwenye Maonesho ya
3 months ago
NA KNA WADAU wa sekta ya hoteli Pwani, wameomba Shirika la Huduma za Feri za Kenya (KFS) kuboresha huduma wakati huu wa likizo. Kulingana nao, idadi ya wageni inayozidi kuongezeka ukanda huo inatarajiwa kuongeza msongamano katika kivukio cha feri Likoni. Afisa Mwelekezi wa Chama cha Wahudumu wa Hoteli tawi la Pwani, Dkt Sam Ikwaye, alisema
3 months ago
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imepokea maoni kuhusu Rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii kutoka kwa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii wakati wa kikao kazi kilichofanyika jengo la OSHA, leo Desemba 6, 2022, jijini Dodoma. Aidha, hatua ya maandalizi
3 months ago
NA AREGE RUTH SHINDANO la ndani la ‘Base Yetu Pool’ ambalo lilifanyika mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia, linaendelea kuthibitisha kuwa Pool ni mchezo ulio wazi kwa wote bila kubagua jinsia. Walikuambia kuwa michezo ya Pool ni hifadhi ya wachezaji wa kiume pekee? Walikudanganya. Nancy Tenai kutoka Eldoret ni mwanaspoti wa kike ambaye amedhihirisha kuwa,
4 months ago
NA WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika biashara za hoteli wameanza kutafuta njia mbadala ya kujizolea faida, wiki mbili baada ya serikali ya kitaifa kupiga marufuku mashirika ya umma kuandaa mikutano na warsha za mafunzo hotelini. Mojawapo ya mbinu mpya ambayo imeanza kupangwa, ni kutumia majengo ya kihistoria ya dini kuvutia mahujaji katika maeneo ya Pwani. Wiki
4 months ago
NA SAMMY WAWERU MSITU Kirisia, ulioko Maralal, Samburu uliwahi kuvamiwa na maskwota kutoka eneo hilo. Jamii inayoishi humo ikiwa ni wafugaji wa kuhamahama, ilikuwa imeunda manyatta – makazi maalum, miti ikaangushwa, baadhi wakiingilia shughuli ya uchomaji makaa na kilimo. Maliasili iliharibiwa, msitu uliokuwa chanzo cha chemichemi za maji na mvuto wa mvua ukawa hauna thamani
4 months ago