Taifa Leo Educational
Watahiniwa wahamishwa kwa ndege ya KDF msituni Boni

NA WAANDISHI WETU WAKATI wanafunzi wapatao milioni 2.5 walipokuwa wakijiandaa kwa mitihani yao ya kitaifa ya Gredi 6 na Darasa la Nane jana Jumatatu, watahiniwa kutoka shule zilizo msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu, walikuwa wanapitia hali isiyo ya kawaida. Safari yao ya elimu haijawa rahisi. Imekuwa ikitatizwa mara kwa mara kwa sababu za kiusalama.

1 day ago


Taifa Leo Educational
MWALIMU WA WIKI: Mbunifu, mtafiti na mwajibikaji pia

NA CHRIS ADUNGO FAHARI kubwa ya mwalimu ni kuona mtoto aliyeingia shuleni bila kujua lolote akipiga hatua kubwa katika safari ya elimu na kuanza kufahamu stadi za kusoma na kuandika. Kufundisha wanafunzi wa madarasa ya chini kunahitaji mwalimu kutumia mbinu anuwai zitakazomwezesha kukuza ubunifu wa watoto na kuwaamshia ari ya kuthamini masomo. Zaidi ya vifaa

2 days ago


Mtanzania Educational
‘Kuwe na ualimu elimu maalumu kwa viziwi wasioona’

Na Norah Damian, Mtanzania Digital Serikali imeshauriwa kuanzisha mafunzo ya ualimu wa viziwi wasioona ili kukabili upungufu wa walimu wa kada hiyo. Ushauri huo umetolewa Novemba 25,2022 na Mkuu wa Kitengo cha Wenye Ulemavu wa Uziwi Wasioona katika Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, Mwalimu Maura Adriano, wakati akizungumza na Mtanzania Digital. Amesema wamekuwa wakiletewa walimu

2 days ago


Mtanzania Educational
China, FCC wawakumbuka wanafunzi wenye ulemavu Uhuru Mchanganyiko

Na Norah Damian, Mtanzania Digital Ubalozi wa China kwa kushirikiana na Shirika linalohudumia wanawake na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu (FCC) wametoa msaada wa vyakula, sare za shule na dawa kwa wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko. Masaada huo wenye thamani ya Sh milioni 18 unajumuisha sare za shule, sare za

2 days ago


Taifa Leo Educational
UTAFITI: Chuo chatafiti mitishamba kutathmini ufaafu wake

NA LABAAN SHABAAN NI kawaida kuwakuta wachuuzi wa dawa za mitishamba barabarani wakipigia debe bidhaa zao kuwa dawa mjarabu za magonjwa sugu na kinga ya maradhi mbalimbali. Ila ni ngumu kuamini kama dawa hizo zimepitia mchakato wa kutathmini ubora kwa afya. Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU) kimeanzisha kituo cha kutafiti tiba kutoka kwa mimea na

6 days ago


Taifa Leo Educational
Walimu wadai Sh1 bilioni wakijiandaa kupigania mkataba mpya

DAVID MUCHUNGUH na GERALD BWISA MUUNGANO wa walimu umesema kuwa walimu wanaoshikilia nyadhifa za kaimu wanaidai serikali Sh1 bilioni huku ukipanga kujadili upya maktaba wao wa malipo ukisema kuwa mkataba unaotumika sasa unalemaza taaluma zao. Mwenyekiti wa Kitaifa wa Muungano wa Walimu wa Shule za Sekondari (Kuppet) Omboko Milemba, alieleza Taifa Leo kuwa mwongozo wa

6 days ago


Taifa Leo Educational
Kikao cha Kindiki chavurugwa na milio ya risasi

Na KITAVI MUTUA HOTUBA ya Waziri wa Usalama Kithure Kindiki katika eneo la Ngomeni, Kaunti ya Kitui ilivurugwa kwa muda na milio ya risasi iliyofyatuliwa na majangili ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakazi kwa miaka mingi. Milio ya risasi ilisikika umbali wa kilomita mbili kutoka Shule ya Msingi ya Mandongoi, Mwingi Kaskazini ambako Waziri huyo alitua kuongoza

1 week ago


Taifa Leo Educational
MKU yatoa chakula cha msaada na bidhaa nyingine muhimu Kitui

NA LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI na wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya walizuru kaunti ya Kitui mnamo Ijumaa, ili kugawa chakula kwa familia maskini. Msaada huo ulinufaisha pia watoto kutoka familia zisizo na uwezo wa kifedha huku ukitolewa kupitia kitengo cha mawasiliano cha chuo hicho. Shughuli hiyo ilifanyika katika Shule ya Msingi ya Enziu iliyoko katika

1 week ago


Mtanzania Educational
UTPC, IMS wakutanisha waandishi vijana kujadili uhuru wa kujieleza na haki ya kupata taarifa

Na Clara Matimo, Mwanza Jumla ya wanachama 10 kutoka Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza(MPC) pamoja na wanafunzi 15 vijana wanaosomea fani ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino(SAUT) kilichopo jijini Mwanza wamekutana kwenye mdahalo uliolenga kujadili kuhusu uhuru wa kujieleza na haki ya kupata  taarifa. Mdahalo huo uliofanyika Novemba

1 week ago


Taifa Leo Educational
Mtahiniwa azuiliwa kwa njama ya kuchoma bweni

NA GEORGE MUNENE na KNA MWANAFUNZI mmoja wa shule ya upili anazuiliwa katika kituo kimoja cha polisi cha Kirinyaga baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kujaribu kuteketeza mali ya shule. Mvulana huyo, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule mmoja ya upili ya wavulana, alikamatwa Jumamosi kwa madai ya kujaribu kuchoma bweni moja

1 week ago


Taifa Leo Educational
WANTO WARUI: Wanafunzi wa Gredi ya Saba ni wa shule za upili, KNUT iwaachie KUPPET

Na WANTO WARUI KUMEKUWA na mvutano mkubwa kati ya vyama viwili vya walimu nchini, KNUT na KUPPET. KNUT ambacho ni chama cha walimu wa shule za msingi kinataka wanafunzi wa Gredi ya 7 wabaki katika shule za msingi baada ya kufanya mtihani wa KPSEA. Kwa upande mwingine, KUPPET ambacho ni chama cha walimu wa sekondari kinapendekeza

1 week ago


Taifa Leo Educational
Mwili wa mlinzi wapatikana ndani ya darasa

NA GEORGE MUNENE MWILI wa mlinzi wa Shule ya Msingi ya Kanjuu, eneobunge la Gichugu, Kirinyaga, jana Jumamosi ulipatikana ndani ya darasa ambalo halitumiki kwa shughuli za masomo. Wanafunzi ambao walikuwa wakicheza karibu na darasa hilo waliona mwili wa mlinzi huyo Peter Chomba Ndumbi, 62.

1 week ago


Taifa Leo Educational
UJASIRIAMALI: Muundaji mahiri wa bidhaa za aina yake

NA PATRICK KILAVUKA ANNE Mutua amekulia jasho lake kwa miaka 30, akiunda bidhaa za shanga na maarufu zaidi mikoba akitumia aina ya shanga zinazofahamika kama saramic. Lakini kabla ya kuamua kuingilia kazi hiyo, alikuwa na matamanio ya kusomea uanahabari baada ya kufaulu vyema na kutarajiwa kujiunga na chuo kikuu. Hata hivyo, hawakuwa na uwezo kifedha.

2 weeks ago


Taifa Leo Educational
Wajenzi wapata kaburi la halaiki la zamani shuleni

KNA NA LUCY MKANYIKA UJENZI wa madarasa ya watoto wenye ulemavu katika Shule ya Msingi ya Voi, Kaunti ya Taita Taveta, umelazimishwa kusitishwa kwa muda baada ya wajenzi kupata kile kinachoaminika kuwa kaburi la halaiki la jadi. Wanahistoria na watafiti mbalimbali sasa wameanza kumiminika eneo hilo baada ya kupatikana mifupa ya binadamu, bangili, pete na

2 weeks ago


Mtanzania Educational
SAUT yazindua Kigoda cha Utafiti cha Mkapa

*Balozi Prof. Mahalu amtaja kuwa ndiye muasisi wa vyuo vikuu binafsi nchini Na Clara Matimo, Mwanza Chuo Kikuu  cha Mtakatifu Augustino(SAUT) kilichopo jijini Mwanza, jana Novemba 12, 2022, kilizindua Kigoda cha Utafiti cha Benjamin Mkapa ambacho  kitajikita zaidi kwenye tafiti na mafunzo lengo likiwa ni kuenzi mchango wake katika kukuza  sekta ya elimu ya juu

2 weeks ago


Taifa Leo Educational
Mke wa Naibu Rais aahidi kuhakikisha shule ya Mugumoini inapata sura mpya

NA LAWRENCE ONGARO SHULE ya msingi ya Mugumoini mjini Thika itafanyiwa ukarabati na mabadiliko kadha ili ipate sura ya kisasa. Mkewe Naibu Rais Rigathi Gachagua, Pasta Dorcas Gachagua, alisema aliwahi kuwa mwanafunzi katika shule hiyo miaka za sabini na themanini. “Mimi nilipokuwa msichana mdogo nilisomea shule hii ya Mugumoini. Na pia niliishi katika kijiji cha mabanda

2 weeks ago


Taifa Leo Educational
Hofu wanyakuzi wamezea mate ardhi ya shule ya viziwi

NA ALEX KALAMA MUUNGANO wa Viziwi nchini umeibuwa hofu kuhusu njama ya kunyakua ardhi ya shule ya upili ya Viziwi ya Pwani iliyo katika Kaunti ya Kilifi. Maafisa wakuu wa bodi ya muungano huo wakiongozwa na Bw Francis Ng’ang’a, wamesema ardhi hiyo ni ya ekari 30 na walipotembelea shule hiyo walipata ugavi umefanywa katika ekari

2 weeks ago


Taifa Leo Educational
TUSIJE TUKASAHAU: Kwa kuvipuuza vyuo vikuu Kenya Kwanza inakiuka sehemu ya 30 ya Mkataba wa Elimu

WAZIRI wa Elimu Ezekiel Machogu Ijumaa wiki jana alitangaza kuwa serikali ya kitaifa haitaendelea kufadhili vyuo vikuu vya umma na vile vya kadri. Badala yake alitoa wito kwa vyuo hivyo vya elimu ya juu kuzalisha mapato kivyao kufadhili mipango yao ya kimasomo na kimaendeleo. Akiongea alipozuru Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Dedan Kimathi (DeKUT), Nyeri,

3 weeks ago


Taifa Leo Educational
Mrembo mwenye azma ya kuvuna sifa kama Lionel Messi

NA PATRICK KILAVUKA LICHA ya wembemba wake na umri mdogo, mwanadada huyu ni moto wa kuotea mbali katika kusakata boli kama winga! Aliwasha mshumaa wa talanta yake kama difenda. Ana matamanio ya kuwa mchezaji wa kitaifa na kimataifa kama Lionel Messi. Pauline ‘Mamu’ Kakivi, 12, ni mwanafunzi wa Gredi ya Sita katika Shule ya Msingi

3 weeks ago


Taifa Leo Educational
MWALIMU WA WIKI: Mwalimu bambam na mwanamitindo stadi

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU bora anastahili kuchangamkia masuala yanayohusiana na mtaala na kuwa mwepesi wa kubuni mbinu anuwai za ufundishaji. Kwa kuwa safari ya elimu ni sawa na vidato vya ngazi, wanafunzi wanahitaji mazoezi mengi ili wajiamini katika usomaji na ujifunzaji wa dhana mpya. Haya ni kwa mujibu wa Bi Anne Otieno Adhiambo ambaye kwa sasa ni mwalimu katika

3 weeks ago


Taifa Leo Educational
Chuo kikuu cha MKU chapokea vifaa kwa ajili ya wanafunzi

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya kimepokea vifaa vipya katika kitengo cha uandishi, ili kuboresha masomo ya wanafunzi hao. Mwenyekiti wa bodi ya chuo hicho Prof Simon Gicharu aliwasilisha vifaa hivyo kwa wahadhiri wanaosimamia kitengo cha uandishi. Prof Gicharu aliwahimiza wanafunzi wajinufaishe na vifaa hivyo katika kitengo hicho cha uandishi na usambazaji wa

3 weeks ago


Taifa Leo Educational
Naibu Chansela wa KU arejea chuoni kwa kishindo

DAVID MUCHUNGUH na DANIEL OGETTA NAIBU Chansela wa Chuo Kikuu cha Kenyatta, Prof Paul Wainaina ambaye alitumuliwa kutoka kwa nafasi hiyo, jana Alhamisi alirejea katika wadhifa wake na kuapa kulinda ardhi ya chuo hicho. Prof Wainaina, baada ya kurejea afisini, pia alisema kuwa atapigana ili Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Kenyatta (KUTRRH) irejeshwe kwa

3 weeks ago


Taifa Leo Educational
GWIJI WA WIKI: Kelsy Kerubo

Na CHRIS ADUNGO KELSY Kerubo ni miongoni mwa wasanii wa humu nchini wanaoinukia vyema katika tasnia ya muziki. Upekee wake ulingoni ni upevu wa masimulizi na wepesi wa kuita maneno ya sifa kila anapojikuta katika majukwaa ya kumtukuza Mungu. Japo ana ndoto ya kuwa mwanahabari, kipaji cha uanamuziki kilianza kumtambalia katika umri mdogo mno. Shule za msingi

3 weeks ago


Taifa Leo Educational
Aliyeghushi cheti cha digrii kupata kazi benki ashtakiwa

NA RICHARD MUNGUTI MTAFITI wa masuala ya uhalifu wa kimitandao katika benki moja jijini Nairobi ameshtakiwa kujipatia kazi hiyo kwa kughushi cheti cha digrii katika somo la sayansi ya kompyuta kutoka chuo kikuu. Gerald Lumuchele aliyefikishwa mbele ya hakimu mwandamizi mahakama ya Milimani jijini Nairobi Bw Bernard Ochoi alikana alighushi cheti hicho cha digrii kutoka

3 weeks ago


Taifa Leo Educational
Mtaala wa CBC: Wadau watoa maoni mseto

NA WAANDISHI WETU WAZAZI wanaotoa maoni mbele ya jopo kazi linalochunguza ufaafu wa mtaala wa Utendaji na Umilisi (CBC), wamependekeza mageuzi kadhaa kabla ya wanafunzi kujiunga na shule za sekondari ya chini. Katika Kaunti ya Nyandarua, wazazi waliambia jopo lililoundwa na Rais William Ruto, kwamba watoto wao ni wachanga kuhudhuria sekondari ya chini katika shule

3 weeks ago


Taifa Leo Educational
Wito watolewa kuwe na sheria madhubuti kulinda ujuzi na ubunifu wa wanachuo

Na LAWRENCE ONGARO HUKU wanafunzi wa vyuo vikuu wakiendelea kuonyesha ubunifu ili kuzima ukosefu wa ajira, baadhi ya kampuni kubwakubwa zinajaribu kuwapunja. Naibu Chansela wa Chuo Kikuu cha Zetech mjini Ruiru Dkt, Njenga Munene, aliwatetea wanafunzi wabunifu aliosema wengi hunyanyaswa na kampuni kubwa. Akihutubu katika hafla ya maonyesho ya ubunifu iliyohudhuriwa na zaidi ya wabunifu

4 weeks ago


Taifa Leo Educational
Wanachuo wakamatwa kwa utapeli

NA MARY WANGARI MAKACHERO kutoka Idara ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) mnamo Jumatatu, Oktoba 31, waliwakamata wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Egerton kwa kuwatapeli mamilioni ya pesa wazazi na wanafunzi wanaojiandaa kwa Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE). Washukiwa hao Francis Manyara Ogata almaarufu Ranchodas na Bravin Ombongi wote wakiwa wanafunzi wa

4 weeks ago


Taifa Leo Educational
WANTO WARUI: Serikali itumie kawi ya jua kufanikisha elimu dijitali katika maeneo kame

Na WANTO WARUI KATIKA karne hii ya 21, elimu imeingia katika daraja lingine ambapo ni wanafunzi wanaosomea katika sehemu za miji wanafurahia mazingira mazuri ya elimu huku maelfu wakihangaika gizani na kusomea katika mazingira ya karne ya 20. Jambo hili linaleta mgawanyiko na ukosefu wa usawa katika elimu nchini. Licha ya juhudi za serikali kusambaza

4 weeks ago


Taifa Leo Educational
WALIOBOBEA: ‘Sirkal’ alipokataa wadhifa serikalini

KWA HISANI YA KENYA YEARBOOK NCHINI Kenya, nyadhifa za uwaziri haziwezi kuchukuliwa kama zinazotoshana- au kuwa sawa. Kila moja ina ushawishi wake, na hii pengine inaelezea kwa nini baadhi ya nyadhifa za uwaziri huwa zinang’ang’aniwa. Wizara hizo ni kama fedha, usalama wa ndani, afya, kawi na elimu ambazo kwa kawaida husimamiwa na watu wa karibu

1 month ago


Taifa Leo Educational
USHAURI NASAHA: Katika elimu na maisha mtu hutiwa makali na wanaotangamana naye

NA HENRY MOKUA DEREVA anapofika mahali pasipo na magari usiku taa za gari lake huelekea kuwaka kupindukia. Hata hivyo, anapoanza kupishana na magari mengine mwako wa taa zake huonekana kufifia na za wenziwe kung’aa zaidi. Aghalabu hulazimika kujitahidi zaidi kulidhibiti gari lake. Huenda hata ikambidi apunguze mwendo hadi ajizoeze na hali yake mpya. Hali hii

1 month ago


Taifa Leo Educational
ZARAA: Mradi wa chuo kuwafaa wakulima wa Migori

NA LABAAN SHABAAN SHADRACK Otieno Obura ni mkulima wa mtama ambaye amenufaika na miradi ya majaribio ya kilimo unaoendelezwa na idara ya kilimo ya Chuo Kikuu cha Rongo. Obura, aliyeanza kilimo mwaka wa 1997, anaendeleza kilimo cha mimea mbalimbali kama vile ndizi, mahindi, miti, miche, mihogo, mtama na ufugaji ng’ombe katika shamba lake kijijini Ng’iya,

1 month ago


Taifa Leo Educational
ZARAA: Siri yake ni bidii shambani na kusaka wateja mitandaoni

NA SAMMY WAWERU HELLEN Wanjiku ni mkulima hodari mwenye maono ya kujikuza zaidi kwa kuzamia shughuli hizo za shambani. Baada ya kufuzu 2020 kwa kupata Digrii ya Ualimu kutoka Chuo Kikuu cha Chuka, aliamua kuendeleza kilimo-biashara alichoiingilia akiwa shuleni. Nyanya yake alikuwa mkulima hodari katika kilimo cha ndumaa, ambacho pia mama yake mzazi alikikumbatia.Wanjiku maarufu

1 month ago


Taifa Leo Educational
Njaa yapunguza pakubwa idadi ya watoto katika shule za Pokot

NA OSCAR KAKAI IDADI ya wanafunzi katika shule Kaunti ya Pokot Magharibi imepungua maradufu katika hali ya kutisha, kutokana na njaa inayovuma kwa sasa. Hali inazidi kuwa mbaya, huku baadhi ya shule sasa zikikabiliwa na uwezekano wa kufungwa kwa sababu ya kukosekana kwa wanafunzi shuleni. Kaunti-ndogo za Pokot Kaskazini na Pokot ya Kati ndizo zilizoathiriwa

1 month ago


Mtanzania Educational
TEWW yaanzisha jukwaa la kuwasilisha mapendekezo, ripoti

Na Ramadhan Hassan, Dodoma Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imefanikiwa kuboresha mazingira ya tafiti kwa kuanzisha jukwaa la kuwasilisha mapendekezo pamoja na ripoti za tafiti hizo. Kupitia jukwaa hilo takribani ripoti 12 za tafiti zilizofanywa na wanataaluma wa TEWW ziliwasilishwa. Hayo yameelezwa leo Oktoba 24,2022 jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Dk.

1 month ago


Taifa Leo Educational
MWALIMU WA WIKI: Ng’etich zaidi ya ualimu ni kocha

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU bora anastahili kuwa kielelezo chema kwa wanafunzi wake. Awahimize mara kwa mara katika safari ya elimu na awachochee kujitahidi masomoni ili wazifikie ndoto zao. Anatakiwa pia kuwa karibu na wanafunzi wake, atambue changamoto wanazozipitia, aelewe kiwango cha mahitaji ya kila mmoja na awaamshie hamu ya kuthamini stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma

1 month ago


Mtanzania Educational
NMB kuendelea kuipiga jeki Serikali sekta ya elimu nchini

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya NMB imeeleza kuwa imekuwa ikiwajibika kwa jamii kila mwaka ikiwa ni sehemu ya kusaidiana na Serikali juhudi za kuweka mazingira bora ya kufundishia na kusomea kwa kutoa msaada wa vifaa vya elimu katika shule za msingi na sekondari hapa nchini. Akizungumza katika mahafali ya 62 ya shule ya

1 month ago


Mtanzania Educational
Halotel yaipiga tafu Sekondari ya Bangulo

Na Imani Nathaniel, Dar es es Salaam Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya masomo vya zaidi ya Sh milioni 10 kwa walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Bangulo iliyoko jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Oktoba 20, 2022 Mkuu wa Kitengo cha

1 month ago


Mtanzania Educational
Chuo Kikuu cha Ibadan Nigeria chaonyesha utayari kushirikiana na Tanzania

Abuja, Nigeria Chuo kikuu cha Ibadan, Nigeria, chaonesha utayari wa kushirikiana na vyuo vya Tanzania katika kufundisha Kiswahili. Dhamila hiyo imebainishwa wakati wa ziara ya, Balozi Benson Alfred Bana chuoni hapo, Mei 10, 2022. Pamoja na mambo mengine, Balozi alifanya ziara hiyo kuushukuru Uongozi wa Chuo Kikuu cha Ibadan kumtunuku Shahada ya Udaktari wa Heshima

6 months ago


Taifa Leo Educational
WANTO WARUI: KNEC itatue tatizo la uhamaji wa wanafunzi wa CBC kutoka shule moja hadi nyingine

NA WANTO WARUI MFUMO mpya wa elimu unaojulikana kama CBC hatimaye umefikia kilele cha kuwatahini wanafunzi wake wa kwanza mwaka huu ambao ni wale wa Gredi ya 6. Hata hivyo, mambo bado hayajanyooka kwa kuwa mfumo wenyewe una changamoto kadha wa kadha ambazo zinaukumba. Moja ya changamoto hizo ni uhamishaji wa wanafunzi hasa wa Gredi

6 months ago


Taifa Leo Educational
Msichana aliyepata alama 367 sasa ni dobi

NA STANLEY NGOTHO MSICHANA mwenye umri wa miaka 14 aliyepata alama 367 katika mtihani wa Darasa la Nane (KCPE 2021) amelazimika kufanya kazi ya kuoshea watu nguo mjini Athi River kwa kukosa karo ya kujiunga na Kidato cha Kwanza. Aluoch Okoth alikuwa na ndoto ya kujiunga na shule ya sekondari ya wasichana ya Moi jijini

6 months ago


Taifa Leo Educational
Wito wazazi wakome kutumia kauli ya Magoha kuhepa kulipa karo

NA KNA MWENYEKITI wa Chama cha Wakuu wa Shule za Sekondari nchini, (KESSHA), Kahi Indimuli, ametoa wito kwa wazazi ambao watoto wao wanajiunga na Kidato cha Kwanza walipe karo na wakome kutumia kauli ya Waziri wa Elimu, George Magoha kuwa walimu hawafai kuwatuma wanafunzi nyumbani kwa sababu ya karo kujitetea na kuhepa kuwajibika. Bw Indimuli

6 months ago


Taifa Leo Educational
NGUVU ZA HOJA: Matunda ya kwanza kabisa ya mtaala mpya wa umilisi yatabainika mwaka huu

NA PROF JOHN KOBIA MTAALA wa umilisi umepiga hatua katika utekelezaji wake kwani wanafunzi wa kwanza katika mfumo huu katika shule za msingi, wameingia Gredi ya Sita muhula huu. Tathmini ya kwanza ya gredi ya Sita inatarajiwa kufanywa mwaka huu. Kuanzia mwaka ujao (2023) wanafunzi hao wataingia gredi ya saba ambayo ndio mwanzo wa daraja

6 months ago


Taifa Leo Educational
TUSIJE TUKASAHAU: Profesa Magoha asinyamaze walimu wakuu wakiwaongezea wazazi gharama zaidi

WAZAZI wengi wanalalamikia hatua ya walimu wakuu wa shule za upili kuwataka wawanunulie watoto wao, wanaojiunga na kidato cha kwanza, vitu vingi “visivyo na umuhimu mkubwa”. Baadhi ya shule zimeagiza kwamba wanafunzi hao wanunuliwe vitu kama vile vifaa vya michezo, jembe, panga, karatasi za kutoa chapa, miongoni mwa vingine ambavyo sio vya kimsingi. Hii ni

6 months ago


Taifa Leo Educational
VYAMA: Chama cha Kiswahili katika shule ya upili ya Senior Chief Koinange, Kiambu

NA CHRIS ADUNGO LICHA ya uchanga, Chama cha Kiswahili cha Senior Chief Koinange Girls (CHAKIKO) kinazidi kupata umaarufu miongoni mwa wanafunzi na walimu katika shule hii iliyoko Kaunti ya Kiambu. Zaidi ya kupiga jeki Idara ya Kiswahili, chama hiki kilichoasisiwa mnamo Mei 2021 kinalenga pia kutambua, kukuza na kulea vipaji vya wanafunzi katika ulingo wa

6 months ago


Taifa Leo Educational
GWIJI WA WIKI: John Muli

Na CHRIS ADUNGO MWALIMU John Muli ni tajiri wa vipaji. Ukimkosa darasani akifundisha Kiswahili na Jiografia katika shule ya upili ya St Charles Lwanga (Kitui), utamkuta studioni akirekodi nyimbo, akiwa mfawidhi wa hafla na sherehe mbalimbali au akichangia makuzi ya Kiswahili kupitia mijadala ya kitaaluma mitandaoni. Baada ya kuhitimu Hati ya Masomo ya Sekondari (KCSE)

6 months ago


Taifa Leo Educational
Hali si hali wanafunzi wakiingia sekondari

NA WANDISHI WETU WALIMU katika shule ya Sekondari ya Kanga walishangaa mvulana mmoja alipofika kujiunga na kidato cha kwanza akiwa na sanduku tupu. Wakati wanafunzi wengine walipokuwa wakiwasili wakibeba bidhaa tofauti na kutimiza mahitaji yote kabla ya kusajiliwa, Geoffrey Omollo ambaye ni yatima, alisema alifanikiwa kupata kamusi na viatu vya michezo vilivyoraruka alivyochangiwa na wasamaria

6 months ago


Taifa Leo Educational
Korti yaokoa mzazi kumpeleka mtoto katika shule ghali

NA BRIAN OCHARO MAHAKAMA ya masuala ya familia Mombasa imeamua kuwa wazazi hawastahili kulazimishwa kulipia mambo wasiyoweza kugharimia, wanapowajibika kutimiza haki za watoto. Akitoa uamuzi katika kesi ambapo mwanamume alishtakiwa kwa kutomlipia mtoto wake karo katika shule ya kibinafsi, Jaji John Onyiego alisema ushahidi ulionyesha kuwa baba huyo hana uwezo wa kusomesha mtoto katika shule

6 months ago


Taifa Leo Educational
Ndoto za nyota wa KCPE zafifia kwa kukosa karo

NA WAANDISHI WETU MAMIA ya wanafunzi waliotia fora katika Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Msingi (KCPE), wamo hatarini kukosa kujiunga na shule za upili kwa sababu ya umaskini. Licha ya mashirika mbalimbali, serikali ya kitaifa, za kaunti na wahisani wengine kutangaza misaada ya kielimu, imebainika bado kuna watoto wengi ambao hawajapata fedha za kutosha

6 months ago


Taifa Leo Educational
Kaunti yasaidia wazazi kubeba mzigo wa karo

NA WINNIE ATIENO BAADHI ya wazazi katika Kaunti ya Kwale, wamepata afueni baada ya serikali ya Gavana Salim Mvurya (pichani) kuwapa msaada wa elimu. Bw Mvurya na naibu wake Bi Fatuma Achani wameahidi kuendeleza mradi wa elimu kwa wanafunzi wote ili wasikumbane na changamoto za ukosefu wa karo. Serikali ya Bw Mvurya imekuwa ikiwapa wanafunzi

6 months ago


Taifa Leo Educational
WANTO WARUI: Shule za upili ambazo si maarufu zadhihirisha uwezo wao katika mitihani

Na WANTO WARUI MATOKEO ya mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) ya 2020/2021 yaliyotangazwa na Waziri wa Elimu, George Magoha yalithibitisha kuwa, shule za sekondari zisizo na sifa kuu nchini zina uwezo wa kutoa wanafunzi bora katika mitihani ya kitaifa. Kinyume na matarajio ya wengi, shule hizo ambazo baadhi yao ni za kutwa, zimeweza kuwatoa

6 months ago