AslayVEVO 1 day ago  
kontawa 2 weeks ago  
Mr Nay 4 weeks ago  
AslayVEVO 1 day ago  
Alikiba 1 day ago  
Rayvanny 5 days ago  
Mbosso 1 month ago  
kontawa 8 hours ago  
MariooOfficial 1 day ago  
AfricanBOY 5 days ago  
BarnabaClassic 2 weeks ago  
YoungLunyaVEVO 5 days ago  
ASAKE 1 day ago  
Mashabiki wa HARMONIZE 4 days ago  
Jay Melody 3 weeks ago  
Taifa Leo Entertainment
SHINA LA UHAI: Je, wajua muziki ni dawa ya maradhi mbalimbali?

NA JURGEN NAMBEKA KWA watu wengi, muziki hutumika tu kwa ajili ya kujiburudisha. Lakini je, wajua kwamba muziki pia ni dawa na waweza tumika kama tiba? Kulingana na wataalamu, katika baadhi ya maradhi, muziki waweza kusaidia mgonjwa kupata nafuu ya haraka, na hivyo kuongeza kasi ya kupona. Ndiposa sasa kuna nyanja ya tibamuziki inayotia fora

1 day ago


Taifa Leo Entertainment
KIPWANI: Asema ‘views’ si hoja, bora muziki mzuri

NA SINDA MATIKO MWANADADA Laurriete Rota sio tu mwanamuziki anayetokea Pwani na hususan Mombasa, lakini pia yeye ni mwanasaikolojia. Majina yake ya usanii ni Larota Africa na muziki anaoufanya sio wa Kipwani Pwani, ila ni Afro-Soul, Afro-Fusion na vitu kama hivyo. Nafasi ilitokea ya sisi kupiga stori, nami nikaona isiwe kesi kuwapasha haya. Toka umeanza

2 weeks ago


Taifa Leo Entertainment
KASHESHE: Amwaga povu zito

NA SINDA MATIKO ALIKIBA anasema sababu moja inayofanya muziki wa Afrika Mashariki kukwama na kushindwa kwenda mbali ni ubinafsi. Kulingana na King Kiba, wa kulaumia ni wasanii wa Kenya na Tanzania sababu wamejawa ubinafsi. “Kwa ujumla nitazungumzia jambo lililo wazi. Ili kuuza na kutangaza muziki, unahitaji umati. Ndio sababu Wanigeria na Waafrika Kusini wanatoboa sababu

2 weeks ago


Taifa Leo Entertainment
TALANTA: Kiongozi wa nyimbo

NA PATRICK KILAVUKA UKAKAMAVU, ujasiri na kujiamini vimekuwa vigezo ambavyo vimemfaa zaidi katika jitihada za kuongoza nyimbo katika tamasha za muziki na shuleni hususan siku za sherehe za utamaduni na hafla nyinginezo. Isitoshe, misakato na sauti mithili ya ninga husisimua wengi anapoongoza nyimbo. Ana azma ya kuzamia uimbaji siku za majaliwa akifahamu fika kwamba usanii

3 weeks ago


Taifa Leo Entertainment
Washukiwa 5 waiba vyombo vya kanisani na kuvificha baa

NA ALEX NJERU WASHUKIWA watano wamekamatwa kufuatia wizi wa vifaa vya kanisa ambavyo vilipatikana vimefichwa katika baa. Wezi hao walivunja kanisa la Mutube Baptist mjini Chuka kaunti ya Tharaka Nithi usiku wa kuamkia jana na kuiba vyombo vya muziki, mafuta takatifu na kola ya pasta. Baada ya kuiba vyombo hivyo vya thamani ya Sh400,000, washukiwa

3 weeks ago


Taifa Leo Entertainment
Wasichana wa Thika Shakers Ballerina Dance wajizolea sifa kwa kutumbuiza kwa miondoko ya kipekee

NA LAWRENCE ONGARO KIKUNDI cha akina dada kinachofahamika kama Thika Shakers Ballerina Dance kimeanza kutumbuiza umma huku kikijizolea sifa tele. Mwanzilishi wa kikundi hicho Harub Swaleh anasema chipukizi hao ni wa umri wa kati ya miaka mitano hadi 12 huku wakiwa shule za msingi. Alisema japo kikundi hicho ni kipya mjini Thika, kinapata umaarufu mkubwa kwa

1 month ago


Taifa Leo Entertainment
DOMO: Huku kuanika tumbo kwasinya

NA MWANAMIPASHO KUNA wimbo wa zilizopendwa niliosikiliza juzi, ukanikuna akili. Sijui jina la wimbo ila najua wasanii walotunga wanaitwa Jamnazi Afrika. Ubeti ulionikosha kwenye wimbo huo unaenda hivi. “Mimi ninalo jambo lanisumbua akili, ulimwengu umepasuka mahali. Mungu alipanga usiku saa ya kulala, mbona walimwengu mumebadili mipango. Usiku sasa umegeuka mchana na mchana ni kama usiku

1 month ago


Taifa Leo Entertainment
Veemisc ni mwanamuziki anayefanya vizuri pia katika uigizaji na biashara

NA JOHN KIMWERE AMEPITIA changamoto nyingi baada ya kuwa yatima akiwa na umri mdogo. Hata hivyo ni kati ya wasanii wanaokuja wanaolenga makubwa siku zijazo. Veronicah Muthoni ama ukipenda Veemisc ni mwanamuziki, mwigizaji chipukizi na mfanyibiashara. ”Ingawa nilivutiwa na muziki tangu utotoni mwangu na nilianza utunzi wangu mwaka 2018 sijapiga hatua kubwa,” anasema na kuongeza

6 months ago


Taifa Leo Entertainment
Shiney apiga abautani akiweka zingatio kwa muziki wa Injili

NA JOHN KIMWERE NI ndoto ya kila msanii kuona anaimarika katika kazi zake na kutambulika kote duniani. Anne Samba maarufu Shiney kamwe hajabaki nyuma licha ya pandashuka ambazo amepitia. Amepania kuibuka kati ya wasanii wenye sauti duniani. Bila shaka sura na sauti yake sio geni kwa wapenzi wa muziki wa densi hasa katika Kaunti ya

6 months ago


The Citizen Entertainment
The unsung Kenyan factor in Diamond Platnumz' YouTube hits

Globally, in the past 12 months, Kenya was the main hub driving Diamond’s YouTube streams, attracting over 136 million views, with 107 million views originating from Nairobi.

6 months ago


The Citizen Entertainment
Diamond Platnumz’s ‘Mtasubiri’ video banned in Tanzania

A ban was due to a complaint by sections of Christians who cited the scene at the beginning of the video where a choir member leaves practice scene and head somewhere elsewhere in a romantic gateway.

6 months ago


Taifa Leo Entertainment
KASHESHE: Ezekiel Mutua arudisha ngori

NA SINDA MATIKO KUFUATIA kurejeshwa kwa leseni za muziki, sasa wahudumu wa matatu na waandalizi wa shoo wapo kwenye ngori ya kupigwa faini ya hadi Sh500,000 Afisa Mkuu Mtendaji mpya wa MCSK, chama cha ukusayaji na ugavi wa mirabaha kwa wasanii, Ezekiel Mutua, amerejesha sheria hiyo ya utoaji wa leseni za muziki, kwa watumizi wa

6 months ago


Taifa Leo Entertainment
Harmonize motoni Nairobi kwa kukosa kuimba vilabuni

NA MERCY SIMIYU MWANAMUZIKI Rajab Abdul Kahali, maarufu kama ‘Harmonize’ kutoka Tanzania, Jumapili jioni aliachiliwa na polisi baada ya kukamatwa asubuhi kwa madai ya kutofika katika vilabu kadhaa jijini Nairobi kutumbuiza licha ya kulipwa. Mwanamuziki huyo alipangiwa kutumbuiza katika vilabu vya Volume001, Captain’s Lounge eneo la Athi River na Cocorico kilichoko Roysambu. Lakini kwenye kikao

6 months ago


The Citizen Entertainment
Bongo Flava star Harmonize arrested in Nairobi

Tanzanian singer Rajab Abdul Kahali, aka Harmonize, arrested in Nairobi for allegedly obtaining money by false pretense

6 months ago


Taifa Leo Entertainment
KIKOLEZO: Muziki na siasa: Moto wa karatasi?

NA SINDA MATIKO UHUSIANO kati ya muziki na siasa hapa nchini unaweza ukaufananisha na mahusiano ya wasanii Harmonize au Diamond Platnumz na ma-ex wao. Huwa ni mahusiano yanayodumu kwa muda mfupi ilimuradi kutimiza mahitaji ya muda fulani kisha yanaisha. Mwaka huu ukiwa ni mwaka wa uchaguzi, wanasiasa wanafanya kila wawezalo kuhakikisha umaarufu wao unamfikia kila

7 months ago


Taifa Leo Entertainment
KASHESHE: ‘Chibu’ huyoo…azidi kupepea

NA SINDA MATIKO BAADA ya EP yake ya First of All, staa Diamond Platnumz ameanza maandalizi ya albamu yake itakayoandaliwa na produsa nguli wa Marekani, Swizz Beats. Diamond kafichua hayo kwenye mahojiano ya podcast ya Afrobeats inayoongozwa na Adesope. “Kila mtu anajua jinsi Swizz Beats alivyo mkubwa. Ningependa kumshukuru sana Swizz Beats kwa jitihada zake

7 months ago


The Citizen Entertainment
Diamond Platnumz fights to have back suspended YouTube account

Diamond Platnumz’s team has explained why the singer lost his official YouTube channel account. The Google-owned video streaming platform announced the account had been suspended for violating YouTube’s community guidelines. Wasafi Digital administrator Majidi Ramadhani revealed that the channel had been hacked prior to its termination by YouTube. “Diamond Platnumz YouTube channel was hacked last Sunday and the hacker(s) proceeded to go live. The content that the hackers aired didn’t go down well with YouTube as it violated its guidelines...

7 months ago


The Citizen Entertainment
Diamond Platnumz fights to get back suspended YouTube account

Diamond Platnumz’s team has explained why the singer lost his official YouTube channel account. The Google-owned video streaming platform announced the account had been suspended for violating YouTube’s community guidelines. Wasafi Digital administrator Majidi Ramadhani revealed that the channel had been hacked prior to its termination by YouTube. “Diamond Platnumz YouTube channel was hacked last Sunday and the hacker(s) proceeded to go live. The content that the hackers aired didn’t go down well with YouTube as it violated its guidelines...

7 months ago


The East African Entertainment
Diamond Platnumz fights to overturn YouTube suspension

Account was suspended for violating community standards; Diamond's team says it was hacked.

7 months ago


Taifa Leo Entertainment
Chipukizi Kimathi ajiuzulu mkondo wa mwisho Croatia Rally

Na GEOFFREY ANENE DEREVA chipukizi McRae Kimathi na mwelekezi wake Mwangi Kioni hawakuponea ukatili wa mbio za magari Croatia kwenye lami baada ya kusalimu amri katika duru hiyo ya dunia siku ya mwisho hapo Jumapili. Wakiendesha gari la Ford Fiesta R3, Wakenya hao walikuwa na siku mbili nzuri za kwanza mnamo Aprili 22 na Aprili

7 months ago


Taifa Leo Entertainment
DOMO: Ringtone ana wivu, acha tu

NA MWANAMIPASHO WAJUA kuna watu wenye tabia chwara wafananao na majina yao. Kwa mfano huyu msanii wa injili aitwaye Alex Apoko au ukipenda Ringtone. Nadiriki kusema hapa kuwa Ringtone ni moja kati ya wasanii wa ajabu kuwahi kutokea katika taifa hili. Unapokuwa na mtu ambaye kazi yako kila kukicha ni kukashifu maendeleo ya wasanii wenzako,

7 months ago


Taifa Leo Entertainment
KASHESHE: Mondi afukuzia kolabo na RiRi

NA SINDA MATIKO DIAMOND Platnumz ameanza kufukuzia kolabo na staa wa RnB badgirl RiRi. Kwa sasa, Platnumz kahamishia kambi yake Marekani ambapo juzi aliandaa pati ya kuwasikilizisha watu EP yake mpya First Of All aliyoachia wiki tatu zilizopita. Akiwa bado yupo huko Marekani, Diamond kafanya mahojiano na BBC na kufichua mchakato anaoendelea nao wa kufanya

7 months ago


The Citizen Entertainment
Bongo Flava artiste Maunda Zorro killed in a car accident

Bongo Flava artiste Maunda Zorro has died in a car accident.

7 months ago


Taifa Leo Entertainment
Changamoto hazikuzuia juhudi zake za kusomea uanahabari na kuwa msanii tajika

Na PETER CHANGTOEK CHANGAMOTO alizozipitia hazikumzuia kufanikisha ndoto yake kuwa mwanahabari na mwimbaji wa nyimbo za injili. Edith Bwire, ambaye anajulikana kwa jina la usanii kama Edith Bee Kadumbe, ni msanii wa nyimbo za injili aliyevuma kwa kibao chake kinachojulikana kwa jina Kadumbe. Licha ya changamoto kadha wa kadha maishani, hafi moyo asilani. “Nilizaliwa katika

7 months ago


Milard Ayo Entertainment
Mpiga picha wa Harmonize katoa siri kwanini Harmonize anamlilia Kajala (Video+)

Ni Headlines za mpiga picha wa msanii Harmonize aitwae Jabulant ambae time hii amefika katika studio za Ayo TV kueleza yale tusiyoyajua mpaka kupewa gari jipya.

7 months ago


Taifa Leo Entertainment
Ruto akaidi NCIC, atoa wimbo wa ‘Sipangwingwi’

NA WINNIE ONYANDO NAIBU wa Rais, William Ruto amekaidi amri ya Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC) baada ya kutoa wimbo ambao ameupa jina ‘Hatupangwingwi’, muda wa saa chache baada ya tume hiyo kulipiga marufuku neno hilo. Siku ya Ijumaa saa tano mchana, Tume ya NCIC iliorodhesha neno hilo kuwa miongoni mwa maneno

7 months ago


Milard Ayo Entertainment
Mrembo Bey T alivyotamba na kiswahili kwenye mdundo wa Amapiano akiwa na Boohle

Ni Mrembo kutokea nchini Kenya, Bey T ambapo time hii ametuletea video ya wimbo wake mpya ‘Utanicheza aliyoshirikiana na mrembo kutokea nchini Afrika Kusini, Boohle.

7 months ago


Mtanzania Entertainment
Jdart atamba Cutsleeve Riddim kutikisa dunia

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Bosi wa lebo Cutsleeve Records kutoka Japan, Jdart, ametamba kutikisa ulimwengu wa muziki kupitia kazi yake mpya, Cutsleeve Riddim yenye mkusanyiko wa nyimbo za wasanii kutoka mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania. Ndani ya Cutsleeve Riddim, Jdart ana nyimbo mbili ambazo ni BELIEVE inayowatia moyo vijana kupambania ndoto zao pamoja na

7 months ago


Milard Ayo Entertainment
Tommy Flavour katuletea hii video mpya ‘Lay down’

Ni Mkali kutokea lebo ya Kings Music, Tommy Flavour ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Lay Down.

7 months ago


Milard Ayo Entertainment
Mrembo K.Michelle katuletea hii video mpya itazame ‘Scooch’

NI Mrembo kutokea nchini Marekani, K.Michelle ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Scooch.

7 months ago


Milard Ayo Entertainment
Harmonize ampa onyo kali Mwijaku, amwambia “Hili suala liache tu, hakuna aliyekamilika”

NI Headlines za Msanii kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii ameonekana kukwazika ama kukerwa pale Mwijaku anapozungumza mahusiano yake pasipo ruhusa.

8 months ago


Milard Ayo Entertainment
Kufuatia tukio la Will Smith kumchapa kibao Chris Rock, Jada Smith kayaandika haya

Jada Pinkett Smith amevunja ukimya baada ya Mume wake Will Smith kukosolewa kwa kumpiga kibao Mchekeshaji Chris Rock kwa kufanya mzaha juu yake.

8 months ago


Milard Ayo Entertainment
Will Smith amuomba radhi mchekeshaji Chris Rock

Usiku wa kuamkia Jumatatu zilifanyika utoaji wa tuzo za Oscar katika ukumbi wa Dolby Theatre huko nchini Marekani.

8 months ago


Milard Ayo Entertainment
Ay katuletea hii video mpya akiwa na Juma Nature ‘Masta’

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Ambwene Yessaya a.k.a AY ambaye time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Masta.

8 months ago


Milard Ayo Entertainment
Harmonize afunguka sababu za kuachana na briana, amkumbuka Kajala

NI Headline za staa kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae leo Machi 29, 2022 kupitia mtandao wake wa instagram yaani insta story ameeleza sababu za kuachana na mpenzi wake Briana.

8 months ago


Taifa Leo Entertainment
KIKOLEZO: Walivyofungwa na mikataba ya kinyonyaji

NA SINDA MATIKO UKIMTIZAMA rapa mkongwe wa Marekani Birdman na staa wa Bongo Flava Diamond Platnumz, utagundua wanafanana. Hawafanani kwa kuzungumza, sura, maumbile au nini, ila wanafanana kwenye dunia ya muziki. Wote ni wanamuziki wakubwa wenye heshima zao lakini pia ni ma-CEO wa lebo kubwa, Diamond akiwa ni mmiliki wa WCB Wasafi naye Birdman akimiliki

8 months ago


Taifa Leo Entertainment
Mapenzi kwao basi!

NA SINDA MATIKO MIAKA mingi imepita -saba hivi nafikiri, Diamond Platnumz alipoingia studio na kutunga wimbo Mapenzi Basi. Ngoma ilikuwa hiti licha ya kuwa hakuitolea video. Moja kati ya mishororo kwenye wembe huo, jamaa aliimba… “Haya mapenzi basi, hayana maana, yalinifanya mi nichekwe…” Kipindi hiki kilimkuta msela akiwa amezenguana na mpenzi wake wa muda mrefu

8 months ago


Milard Ayo Entertainment
Omah Lay katuletea hii video mpya itazame hapa ‘Attention’

Ni Mkali kutokea Nigeria, Omay Lay ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wake aliyomshirikisha Justin Bieber.

8 months ago


Milard Ayo Entertainment
Picha:Bawacha wamjulia hali Prof. Jay Muhimbili Dar es Salaam

Viongozi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) akiwemo Kaimu Mwenyekiti baraza hilo Sharifa Suleiman wamemtembelea Mwanamuziki, Profesa Jay aliyelezwa Hospitali ya Taifa Muhimbili akipatiwa matibabu.

8 months ago


Milard Ayo Entertainment
Tazama Harmonize afika Chato, ashiriki kumbukizi ya hayati Magufuli (video+)

Msanii wa muziki nchini, Harmonize ni miongoni mwa watu waliojitokeza Chato, Geita kwa ajili ya kushiriki shughuli ya mwaka mmoja tangu kufariki kwa Dr.Johb Pombe Magufuli ambaye ni Rais wa awamu ya Tano.

8 months ago


Milard Ayo Entertainment
Alichokifanya Harmonize kwa Madam Ritha baada ya kumuita kwenye jukwaa Dodoma (video+)

Tamasha la Serengeti Music Festival 2022 lilifanyika kwa siku ya pili mfululizo usiku wa kuamkia leo ambapo miongoni mwa Wakali walio-perform ni Harmonize ambae alimpandisha Madame Rita na kumshukuru.

8 months ago


Taifa Leo Entertainment
Karan Patel ndiye mfalme wa Nakuru Rally

Na GEOFFREY ANENE DEREVA Karan Patel anaendelea kufanya vyema kwenye Mbio za Magari za Kitaifa za Kenya (KNRC) baada ya kuzoa taji la Nakuru Rally, Jumamosi. Akielekezwa na Tauseef Khan, Patel alitawala kilomita 155.34 za kushindania pointi baada ya kurejesha gari lake la Ford Fiesta R5 wa kwanza kwa saa 2:01:27.0. Patel hakuwa ameshinda mbio

8 months ago


Mtanzania Entertainment
Moto wa Asa, Wizkid usipime…

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital SIKU chache baada ya kuachia ngoma mbili kwa mpigo za Mayana na Ocean, staa mrembo kutoka nchini Nigeria, Asa amezindua rasmi albamu yake yenye ngoma kumi ndani yake, akiwashirikisha wakali kibao akiwemo staa mkubwa wa muziki nchini hu Wizkid. Katika albamu hiyo aliyoipa jina la V (Five), Asa pia amewashirikisha

9 months ago


Milard Ayo Entertainment
Rapper Ricky Rick afariki kwa kujinyonga nyumbani kwake

Msanii wa Hip Hop kutokea nchini Afrika Kusini, Ricky Rick amefariki dunia.

9 months ago


Milard Ayo Entertainment
Macvoice ametuletea hii collabo yake akiwa na Mbosso, itazame hapa

NI Msanii kutokea Lebo ya Next Level Music,Macvoice ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Only You aliyomshirikisha Mbosso.

9 months ago


Milard Ayo Entertainment
Gunna na Chloe wametuletea hii video mpya ‘You and Me’ itazame hapa

Ni Mkali Gunna akiwa na Chloe wametuletea hii video mpya ya wimbo wao uitwao You and Me.

9 months ago


Milard Ayo Entertainment
Nandy kafunguka billnass kumvalisha Pete ‘Washenga walipendekeza mahari ya Milioni 10’

Ni Headline za msanii kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae Jumapili iliyopita 20, Feb, 2022 alivalishwa pete na mchumba wake Billnass.

9 months ago


Milard Ayo Entertainment
Studio Session: Adekunle katuonesha alivyorekodi wimbo na msanii wa Marekani (video+)

Ni Mkali kutokea Nigeria, Adekunle Gold ambae time hii anamiliki vichwa vya habari nchini kwao baada ya kuachia wimbo mpya aliyoshirikisha Ty Dolla Sign.

9 months ago


Milard Ayo Entertainment
Queen Naija na Big Sean wametuletea hii video mpya ‘Hate our love’

Ni Wakali kutokea nchini Marekani, Mrembo Queen Naija na Big Sean ambapo time hii wametuletea hii video mpya ya wimbo wao uitwao Hate our love.

9 months ago


Milard Ayo Entertainment
Mkali wa Nigeri Adekunle Gold katuletea hii collabo yake akiwa na Ty Dolla Sign

NI Mkali kutokea Nigeria, Adekunle Gold ambae time hii ametuletea hii collabo yake mpya aliyoifanya na msanii wa Marekani Ty Dolla Sign.

9 months ago