Vikundi vya huduma ndogo za fedha na wafanyabiashara Mtwara wapatiwa elimu ya fedha
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji...